kikokotoo

Kikokotoo cha mafao
Neno kikokotoo limepata umaarufu mkubwa baada ya Serikali kutangaza namna mpya ya kuchakata mafao anayopata mstaafu baada ya kustaafu ajira yake.

Serikali ilisema mstaafu atapewa asilimia 33 ya mafao yake kwa mkupuo.
  1. BigTall

    Kikokotoo kilivyomtenda mstaafu Jeshi la Magereza

    Aliyekuwa mtumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania, Salum Shamte (56), amesimulia namna kanuni za kukokotoa mafao (kikokotoo) ilivyosababisha apigwe butwaa baada ya kupokea ujumbe (sms) wa kiasi cha fedha za pensheni ya kustaafu alicholipwa. Anasema alipokea sms ikionyesha malipo ya Sh21 milioni...
  2. T

    "Wakati watu wanalia kuhusu kikokotoo nilikuwa naona kawaida, sasa nimeona ukali wake" Mtumishi aliyeambulia 10M baada ya kustaafu miaka 33 Magereza

    Mara nyingi tunajiona tuko salama, tunafikiri mabadiliko, kanuni, sheria za kigandamizi zinazofanywa na watawala hazituhusu sisi hasa hawa watumishi wa uma; watu wa magereza, wanajeshi, maaskari police, watumishi wa almashauri, walimu, mahakimu n.k. Hutashangaa kusikia kada hizi zikikemea...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro Aililia Serikali Sakata la Kikokotoo

    MBUNGE NDAISABA AILILIA SERIKALI SAKATA LA KIKOKOTOO "Je, Serikali ina mpango gani wa kurekebisha kanuni ya Kikokotoo ili kuongeza kiwango cha mafao ya mkupuo kwa wastaafu? - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Serikali ina mpango gani wa kuhakikisha kwamba inalipa madeni...
  4. U

    MEI MOSI: Unatoka home kwenda kusikiliza ahadi ya kuondolewa kikokotoo na nyongeza ya mishahara, badala yake unakutatana na WADUDU..!!

    Wafanyakazi wa sekta ya umma Tanzania, mnapoambiwa kuwa CCM ni sumu hatari inayoua taratibu, muwe mnaelewaga na kisha mchukue hatua.. Sasa ona hapa... Mmeenda Arusha na matumaini kibao ya kusikia "nani kama mama" anatoa kauli kuondoa kikokotoo kandamizi cha mafao ya kustaafu kwenu na ahadi...
  5. kavulata

    Wastaafu, tatizo lenu sio kikokotoo bali mishahara yenu midogo

    Wastaafu wanailalamikia kikokotoo Cha mafao yao ya kusataafu wakituhumu kikokotoo kinawapa hela ndogo ya mkupuo. Ukweli kikokotoo Kiko sahihi ila shida yetu kubwa ni mishahara midogo sana inayozalisha makato ya mafao ya hifadhi ya jamii. Mishahara yetu ni midogo sana kuliko ya nchi nyingi za...
  6. ACT Wazalendo

    Dorothy Semu: Kikokotoo Kinawaumiza Wafanyakazi

    Tunasimama na Wafanyakazi Tanzania, Kikotoo cha mafao kinawaumiza wafanyakazi. Chama cha ACT Wazalendo kinaungana na wafanyakazi wote Duniani katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi. Siku hii ni muhimu sana katika kuwaleta pamoja wafanyakazi katika kutafakari hali yao, maslahi na stahiki zao...
  7. S

    Rais Samia hajaonekana kwenye Sherehe za Mei Mosi, yuko wapi?

    Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu? === Pia soma: Dkt. Mpango: Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake
  8. K

    Kikokotoo kupatiwa majibu leo

    Kwa upepo ulivyo vuma kule Bungeni huenda leo tukapata majibu ya kikokotoo Leo.
  9. Replica

    TALGWU: Kikokotoo ni fumbo, uzima ni majaaliwa. Tupewe hela zetu zote tukafie mbele

    Heri ya siku ya wafanyakazi, huku kusini mwa nchi imepambwa na mabango lukuki ila moja limenivutia. Waajiriwa wanataka fao lao lote wakafanye maisha mengine na si mafungu kama Serikali wanavyoona. Kwanini mtu pesa yake ameiifadhi maisha yake yote ya kufanya kazi halafu siku ya kuipata mnaanza...
  10. H

    Swali ambalo wanaotetea kikokotoo kipya Huwa hawataki kujibu

    Najua Kuna nyuzi nyingi kuhusu kikokotoo kipya vs kile Cha zamani, Lakini ili kuondoa utata naomba mods waache huu uzi, Kwani hili swali likijibiwa utata wote utaisha.. Hili ni maalum kwa WALE WANAODHANI KIKOKOTOO KIPYA NI KIZURI, SWALI: mwalimu YASINI amestaafu akiwa na mshahara basic tsh...
  11. DOMINGO THOMAS

    Ufafanuzi kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu

    Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye. Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya kustaafu bado iko mbali saaana. Wapo wengine wanaoongea kwa kuwa kikokotoo kipya kimewagusa kwa namna moja...
  12. BOB LUSE

    Wafanyakazi kutoka nje wanalipwa mafao yao yote bila kujali kikokootoo

    Wafanyakazi kutoka nje ambao wamefanyakazi hapa nchini. Kwa miaka mingi, wanalipwa mafao yao yote bila kujali kikokootoo. Kuna haja kuhusisha wenye mafao katika kuamua wapewe kiasi gani, kuepuka double standard
  13. Nsubhi

    Riport ya CAG na kikokotoo

    Kwenye report ya CAG imeonekana kuna mabilioni yamepotea kila secta lakini pia kuna mabilioni kwenye mifuko ya jamii wamekopeshana wafanyakazi wa mifuko ya jamii na mabilioni mengine serikali imekopa na haitaki kulipa. Hivyo danadana zote hizi wanajua tatizo liko wapi hivyo wanaangalia mdhaifu...
  14. BARD AI

    Musukuma: Kikokotoo cha 33% kitazalisha Watumishi wezi, hawatajli tena kazi

    DODOMA: Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amesema Setikali inatakiwa kufanyia kazi malalamiko ya Watumishi kuhusu suala la Kikokotoo cha 33% vinginevyo wataanza kuiba kwasababu wanajua wakistaafu hawatalipwa mafao yao yote. Amesema "Kuna vitu vinazungumzwa tunaona kama haviwaumizi...
  15. Tulimumu

    Wafanyakazi wote nchi nzima tuungane na kufanya yafuatayo kuhusu vita ya kikokotoo

    Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua mamilioni yao kwa mkupuo wakijufanya wao ndio wenye akili zaidi ya kujua matumizi ya pesa kuliko wafanyakazi...
  16. Kiboko ya Jiwe

    Ipigwe kura kupitia mfumo wa PEPMIS, watumishi wenyewe waseme kama wameuridhia mfumo wa kikokotoo

    Watumishi hawana haja ya elimu kuelimishwa kuhusu kikokotoo. Kila mmoja sasa anajua faida au hasara ya hichi kikokotoo kipya kwa kulinganisha wastaafu wa miaka 4 iliyopita. Serikali kila siku wanakipamba hichi kikokotoo, watumishi hawana pa kusemea. Ipigwe kura sasa ya kukubali au kukataa...
  17. DOMINGO THOMAS

    Msaada kuhusu malipo ya Mifuko ya hifadhi ya Jamii

    Mtu aliyechangia mfuko zaidi ya mmoja, (PSSSF & NSSF) malipo ya mafao yake i.e malipo wa pensheni ya uzee, malipo ya fao la mirathi etc atalipwa na mifuko yote miwili kwa kutumia Totalization formula.
  18. Dalton elijah

    Mabadiliko ya sheria ya mafao ya retirement benefits act, (cap. 225)

    BADILIKO 1: Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa mkupuo) sawa na 25% ya mshahara wa rais alioupokea katika kipindi chote alichokuwa madarakani. Yaani...
  19. tpaul

    Ukweli mchungu: Vifurushi vipya vya NHIF vitaumiza wanachama zaidi ya kikokotoo kinavyoumiza wafanyakazi

    Watu mnaopigia debe vifurushi vipya vya NHIF mnapaswa kutafakari kwa umakini sana. Hivi vifurushi vipya ni vya kipuuzi na ovyo kuliko kikotoo na sheria mpya ya mafao kwa wenza wa vigogo. Kigezo kimoja tu kinachotumiwa kuwapinga AFTHA ni kukosa ubinadam....kwamba walipaswa kutoa notice ya siku...
  20. OKW BOBAN SUNZU

    Je, CHADEMA wakiamdamana kwa Kikokotoo Uchwara, wafanyakazi mtaunga mkono?

    Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha. Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi. Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea...
Back
Top Bottom