majengo

  1. MIKAEL MTANZANIA

    SoC04 Tunaweza kuzuia majanga mbalimbali na kama sio kuyamaliza kabisa haswa kwa kutumia teknolojia

    kwa mkono wa: Mikael Mtanzania. Yeyote asiyekubali kubadilika basi mabadiliko yatamuacha nyuma. Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi hasa yanapotokea majanga au unapotokea moto umewaka sehemu mfano majumbani mwawatu au kwenye majengo kumbi na sherehe malalamiko yanayo tokea ni kuwa zima moto...
  2. T

    China yahitimisha kubadilisha majengo ya misikiti kutoka mtindo wa Kiarabu na kufuata mtindo wa Kichina

    Mwaka 2018 China ilitangaza kuyabomoa majengo yote ya kidini yenye usanifu wa tamaduni nyingine na kuyajenga kwa kufuata majengo ya Tamaduni za Kichina. Katika waraka huo wa mpango mkakati wa miaka 5, China ilisema itabomoa majengo mengi ya kidini ya mtindo wa Kiarabu ama mtindo mwingine usio...
  3. TheForgotten Genious

    SoC04 Jeshi la Zimamoto na uokoaji lipatiwe vifaa vya kisasa ili kukabiliana na majanga ya moto katika misitu,maeneo yasiyo fikika na majengo marefu

    UTANGULIZI. Majanga ya moto ni miongoni mwa majanga ambayo hayatabiriki na huleta athari kubwa sana katika jamii kama vile watu kupoteza maisha na mali,kwa Tanzania majanga mengi ya moto yamekuwa yakileta maafa makubwa kipindi yanapotokea hii nikutokana na sababu mbalimbali ikiwepo ukosefu wa...
  4. Roving Journalist

    NHC yanunua eneo la Urafiki lenye ekari 50 na majengo yaliyopo kwa Shilingi Bilioni Tatu

    Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua rasmi eneo la Urafiki na majengo yaliyokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China (Tanzania - China Friendship Textile CO LTD) Jijini Dar es Salaam. Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Nyumba la Taifa, Muungano Saguya ameyasema hayo...
  5. P

    Nahitaji Msanifu majengo mwenye uwezo wa kufika site kwangu

    Wakuu habari zenu. Nahitaji ramani Kwa ajili ya Apartment za kupangisha. But kabla ya kupewa ramani nahitaji mhusika afike site ili aone namna ya eneo lilivo. Site ipo Kiabakari - Musoma, ni vema pia kama mhusika atakuwa mkazi wa maeneo hayo. PM Iko wazi tufanye kazi Kwa Msanifu majengo...
  6. M

    Tafuta hela, Kariakoo majengo yanaota kama uyoga

    Hali ya uchumi inaimarika sana nchini. Pamoja na lawama za mfumuko wa bei, hiyo ni mojawapo ya growing economy hatuezi ikwepa. Kariakoo kuna uvunjaji na ujenzi wa majengo ya ghorofa karibia 100. Hii ni idadi kubwa sana. Tafsiri ya haraka pia mazingira ya biashara eneo hilo kitovu cha Afrika...
  7. A

    Viongozi wa kuwalaumu Kwa hasara za majengo Dar na Ufanisi wa Bandari ni hawa

    Kumetokea tabia ya baadhi ya viongozi na wanasiasa kudai hasara au matatizo ya Tanzania ya Mosi kuhamia Dodoma kuliko fanywa na Hayati Magufuli, ni kukosa ueledi wa uongozi, bila kujua Mpango wa Nchi alioacha Mwalimu ilikuwaje. Kuhusu Dodoma, Mwalimu aliacha Ofisi za Waziri Mkuu na Wizara...
  8. D

    Tanesco mmekubali kutumika kudai kodi ya majengo (TRA) kinyume na mkataba wenu? Kwa hili Tutawashitaki; serikali hamna huruma

    Hiki ni nini serikali imefanya? Yaani majukumu ya TRA wameyaingiza TANESCO ili iweje! Kodi ya jengo, kodi ya ardhi ni miongoni mwa kodi za kizamani sana zilizopitwa na wakati kama ile kodi ya kichwa! Ni utwana uliopitiliza kuendelea kukusanya kodi hii kibabe! Sheria ziko wazi kabisa kwamba...
  9. ndege JOHN

    Serikali kwanini isijenge majengo mazuri mikoa au wilaya kuliko kuyajaza mikoa iliyojengeka kama Dar, Pwani, Arusha, Dodoma?

    Kwa sababu uzuri mikoa hiyo iko karibu na Dar hivyo wageni wakishuka Dar ni rahisi kuifikia Kwa mfano likajengwa tower pale Kilwa kuna athari gani ilihali wageni wangependa pia kutembelea mji wa Kilwa ama Lindi pia panafikika kirahisi au mfano Singida na Dodoma iko karibu, kwanini tusijenge pia...
  10. greater than

    Points 10 za ujenzi wa nyufa katika majengo

    MAKALA YA 7 Karibu katika Makala yenye kukuhabarisha mambo kadhaa Juu ya Ujenzi,leo tunaangazia japo kwa ufupi juu ya "Nyufa" 1.Nyufa ni mpasuko/Mipasuko inayojitokeza katika sehemu ya jengo I.e Ukuta,Nguzo,beam au msingi. -Nyufa ni tatizo la pili kwa ukubwa linalokumba majengo ukiachana na...
  11. Aliko Musa

    Kinondoni; Matumizi 4 Ya Vibali Vya Ujenzi Kwenye Uwekezaji Ardhi Na Majengo

    Kibali cha ujenzi ni nakala itolewayo na serikali kwa ajili ya kuruhusu ujenzi au ukarabati/maboresho ya majengo. Nakala hii ni njia mojawapo ya serikali kuchochea aina fulani ya makazi ya ubora fulani. Kibali cha ujenzi ni kiashiria cha kiuchumi kwenye maendeleo ya afya ya sekta ya ujenzi na...
  12. greater than

    Huu ni moja kati ya mitindo migumu ya kudesign majengo

    Mara ya mwisho tuligusia mitindo/styles za muonekano ambazo wale wenye Ukwasi/matajiri,hupenda kuitumia. Sasa tuangazie mitindo ambayo hutumiwa kwa wingi na wenye kipato cha Kati. 1. A.MTINDO WA MODERN ulianzishwa miaka ya 1920 Ulianzia ulaya Umbo la jengo hutokana na kazi husika Utumizi wa...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Habari za Sabato Wakuu! Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa. Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria. Hapa...
  14. ndege JOHN

    Kwanini Ulaya haina majengo marefu kama ilivyo Asia Na America?

    Kama kiuchumi wako vizuri na wana historia kubwa kwenye mifumo ya maendeleo ya ulimwengu ila ukija kwenye upande wa majengo marefu (skyscrapers) mazuri inapigwa chini na nchi za Asia Shida nini je, ni utamaduni Wao tu au kuna nini yaani majengo 20 marefu zaidi Duniani hakuna hata moja kutoka...
  15. R

    Ushauri kuhusu mawazo yangu kabla sijampa kazi msanifu majengo

    Habari ndugu wana Jamii Forums, Nipo kwenye mchakato wa kumtafuta msanifu majengo anichoree ramani ya nyumba ya kuishi familia ghorofa moja ndogo simple isiyo na makorokoro mengi maana kiwanja ni kidogo. Nyumba yangu ya kwanza, msanifu majengo mweledi kabisa alitumika na bado chumba...
  16. greater than

    Tuangazie katika Mitindo/Styles za muonekano wa majengo

    MAKALA MAALUM karibuni katika Makala nyingine yenye kuelimisha japo kwa uchache Juu ya mambo katika yaliyopo katika ujenzi. Leo tutaangazia katika Mitindo/Styles za muonekano wa majengo. 1.Kama ilivyo kwa Mavazi na Simu;Majengo nayo huwa na muonekano wa mitindo tofauti tofauti yenye kuvutia...
  17. greater than

    Ngoja niwahabarishe mambo kadhaa usiyo yajua katika ujenzi

    Ngoja niwahabarishe mambo kadhaa usiyo yajua katika ujenzi. 1.Jengo/Nyumba siyo lazima liwe na msingi. Unabisha....? Nenda Msasani makangira(Namanga), Kuna nyumba kadhaa hazina msingi. 2.Unyevu ndiyo sababu kubwa ya kuharibika kwa Majengo . unabisha....? Chumvi,ukungu na kutu vyote hutokana na...
  18. A

    KERO Serikali ibadilishe mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo, washushe mzigo kwa Wapangaji uende kwa Wamiliki

    Naiomba serikali iweke chaguo katika ulipaji wa kodi ya majengo. Serikali iandae mfumo wa kuomba Control number kupitia namba za mita ili mwenye jengo aweze kufanya malipo kwa muda anaoutaka na ikiwa hajalipia kwa muda fulani mfano miezi 6 au mwaka mzima basi deni hilo lihamishiwe moja kwa moja...
  19. Mjukuu wa kigogo

    Mmiliki wa shule ya sekondari Elly's iliyopo Halmashauri ya Mji wa Bunda baadhi ya majengo yako yanahifadhi wanafunzi watukutu wa shule jirani

    Salaam zangu zikufikie mmiliki wa shule ya Sekondari ELLY'S ILIYOPO halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara. Inafahamika wazi shule yako Ina wanafunzi wachache sana huku ikiwa na majengo mengi yasiyotumika. Majengo haya yasiyotumika imekuwa hifadhi kuu Kwa wanafunzi watukutu wa shule za...
  20. MK254

    Aibu sana: IDF wagundua data center ya HAMAS nchini ya majengo ya shirika la Umoja wa Mataifa (UNRWA)

    Jamaa waliwekeza data center yenye mitambo mikali chini ya majengo ya shirika la Umoja wa Mataifa ambalo lilibuniwa kwa ajili ya kuwasaidia Wapalestina maskini. Mazombi mnasaidiwa kwenye njaa zenu ilhali hapo hapo kwenye shirika la msaada la kuwapa chakula ndio mnaona mjenge makao makuu ya...
Back
Top Bottom