Tafuta hela, Kariakoo majengo yanaota kama uyoga

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
2,340
1,660
Hali ya uchumi inaimarika sana nchini. Pamoja na lawama za mfumuko wa bei, hiyo ni mojawapo ya growing economy hatuezi ikwepa.

Kariakoo kuna uvunjaji na ujenzi wa majengo ya ghorofa karibia 100. Hii ni idadi kubwa sana.

Tafsiri ya haraka pia mazingira ya biashara eneo hilo kitovu cha Afrika Mashariki imeimarika sana. Kariakoo pana hela.

DP World nao wakiboresha pale bandarini, mambo yatakuwa mazuri zaidi.

Serikali ijitahidi kuweka miundombinu hasa ya barabara katika viwango makini.

Kijana usilale, fursa zipo nyingi.
 
Hali ya uchumi inaimarika sana nchini. Pamoja na lawama za mfumuko wa bei, hiyo ni mojawapo ya growing economy hatuezi ikwepa.

Kariakoo kuna uvunjaji na ujenzi wa majengo ya ghorofa kazibia 100. Hii ni idadi kubwa sana.
Tafsiri ya haraka pia mazingira ya biashara eneo hilo kitovu cha afrika mashariki imeimarika sana. Kariakoo panahela.

Dp wedi nao wakiboresha pale bandarini, mambo yatakuwa mazuri zaidi.

Serikali ijitahidi kuweka miundombinu hasa ya barabara katika viwango makini.

Kijana usilale, fursa zipo nyingi.
Niwe mkweli, kama huioni hela basi toka ulipo au badili mbinu. Lkn niamini mm hela ipo, na ipo haswa.

Majengo yanashuka kama uyoga japo building materials zimepanda bei

Namba E inatembea kwa speed ya 6g, hv karibuni tutaingia namba F

Hela ipo, kama huioni toka hapo au badili mbinu
 
Hali ya uchumi inaimarika sana nchini. Pamoja na lawama za mfumuko wa bei, hiyo ni mojawapo ya growing economy hatuezi ikwepa.

Kariakoo kuna uvunjaji na ujenzi wa majengo ya ghorofa karibia 100. Hii ni idadi kubwa sana.

Tafsiri ya haraka pia mazingira ya biashara eneo hilo kitovu cha Afrika Mashariki imeimarika sana. Kariakoo pana hela.

DP World nao wakiboresha pale bandarini, mambo yatakuwa mazuri zaidi.

Serikali ijitahidi kuweka miundombinu hasa ya barabara katika viwango makini.

Kijana usilale, fursa zipo nyingi.
Chai
 
Wamepiga DPW Hao! wamekosa maarifa ndio maana unaona wanajenga kwa kasi wameshindwa hata kujificha! inasemekana ni mtoto wa malkia nchi ya kusadikika
Unajua ukipita hapa Karikoo, kuna nyumba za chini kama 200 hivi zimevunjwa na ghorofa zinasimama hadi kufikia floor ya 10 ndani ya mwezi, hizi pesa si za kawaida hata kidogo, haijawahi tokea Tanzania. Na zote ukisoma yale mabango, msanifu ni yule yule, wanaitwa ‘Vertex services’, maana yake haya majengo yote anajenga mtu mmoja..
 
Unajenga ghorofa kariakoo Hadi useme pesa IPO?

Ndio wale wale ambao Huwa wanajivunia utajiri wa shemeji zao!!
 
Back
Top Bottom