sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Bunda: Programu ya chakula Shule ya Sekondari Mwibara ina shida

    Imeshindwa kwa sababu Chakula hakikutolewa baada ya wazazi kutokuchangia, na walimu wamewazuia wanafunzi kutokuondoka kwenda kula mpaka saa 11:30 jioni, hivyo kushinda shuleni na njaa. Hata ule muda wa saa 8:30 masomo yanapoisha hawawaruhusu kwenda kupata chakula ili masomo ya jioni yaendelee...
  2. Ndagullachrles

    Jumuiya ya wazazi (CCM)Kilimanjaro yapigwa pini, ni kuhusu ujenzi wa bwalo la chakula Kibo Sekondari

    Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia kupitia ofisi ya Udhibiti wa uborq wa shule Manispaa ya Moshi ,imeagiza kusitishwa mara moja ujenzi wa bwalo la chakula kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kibo. Hatua hii inakuja kufuatia malalamiko ya wazazi/walezi wa wanafunzi wa shule ya...
  3. Mparee2

    Tatizo la Maji shule ya Sekondari Same

    Kwa wasioijua Same Sekondari ni moja ya shule Kongwe za Serikali Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1952. Shule hiyo imekuwa na wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha sita (boys). Kulikuwa na jitihada kadhaa za kutaka kuleta wanafunzi wa kike (wasichana) ila ikashindikana kutokana na tatizo kubwa...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Dkt. Christina Mnzava Atoa Vifaa vya Michezo Lubaga Sekondari Manispaa ya Shinyanga

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Dkt. Christina Mnzava ameadhimisha sikukuu ya Muungano kwa kutoa VIFAA vya michezo ambavyo ni mpira wa miguu na mpira wa netball pamoja na jezi nzuri za kisasa za netball na football. Dkt. Mnzava akizungumza na qanafunzi na walimu wa shule ya...
  5. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Atoa Mabati 519 Ujenzi wa Bwalo, Serikali Kujenga Mabweni Shule ya Sekondari ya Bugene - Karagwe

    BASHUNGWA ATOA MABATI 519 UJENZI WA BWALO, SERIKALI KUJENGA MABWENI SHULE YA SEKONDARI YA BUGENE - KARAGWE. Serikali imeahidi kujenga Mabweni mawili pamoja na kukamilisha ujenzi wa bwalo katika Shule ya Sekondari Bugene wilaya ya Karagwe mkoani Kagera ili kuendelea kuboresha mazingira ya...
  6. Nyendo

    DOKEZO Je, Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini kimeuziwa taarifa za wanafunzi na Ndono Sekondari?

    Wazazi wa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne 2023 wamepokea ujumbe mfupi wenye taarifa halisi za Watoto kutoka Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora Mjini. Ujumbe huo ulisomeka kuwa, Mkuu wa chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora Mjini anakutangazia nafasi za masomo mzazi wa...
  7. Mjukuu wa kigogo

    Hongera sana Mkuu mpya wa shule ya sekondari Nyiendo halmashauri ya mji wa Bunda kwa uchapakazi uliotukuka

    Ukweli ni lazima usemwe tu hata kama watu wengi hawataupenda. Shule ilikuwa imepoteza mwelekeo kabisa.Kila siku ilipokuwa inapita unatamani heri ya Jana. Makundi baina ya walimu, morali ndogo kwa walimu wasio wanamtandao, kiwango kidogo cha nidhamu kwa wanafunzi yalikuwa baadhi ya mambo...
  8. A

    DOKEZO Kuna Walimu wa Shule ya Sekondari wanaharibu maisha ya Wanafunzi wa kike Kilwa (Lindi)

    Asee kuna hili jambo linanikera sana na lina Waharibia Wanafunzi future yao. Nikiwa Mdau muhimu wa Elimu naumia sana kuona Waalimu wa kiume kukatisha ndoto za mabinti kwa kukuanzisha uhusiano nao na kisha kuwapa ujauzito na wengine ndoto zao kuisha kabisa. Wapo Wanafunzi kadhaa walifaulu...
  9. Mjukuu wa kigogo

    Mmiliki wa shule ya sekondari Elly's iliyopo Halmashauri ya Mji wa Bunda baadhi ya majengo yako yanahifadhi wanafunzi watukutu wa shule jirani

    Salaam zangu zikufikie mmiliki wa shule ya Sekondari ELLY'S ILIYOPO halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara. Inafahamika wazi shule yako Ina wanafunzi wachache sana huku ikiwa na majengo mengi yasiyotumika. Majengo haya yasiyotumika imekuwa hifadhi kuu Kwa wanafunzi watukutu wa shule za...
  10. S

    Nawezaje kurekebisha jina katika vyeti vya sekondari na vyuo

    Wanajamii naomba msaada, Mi ni mmoja wa watu ambayo majina yetu yalikosewa wakati wa majibu ya darasa la saba, assume jina lako ni Hassan wakati wa matokeo ije Hassanae, kiukweli naboreka mno, nimesomea jina Hilo Hilo Hadi nikamaliza chuo, Sasa nimeanza masters nje jina linatokezea like lile...
  11. D

    Baadhi ya Shule za Sekondari hasa za wilaya ya Lushoto hazina ufuatiliaji Mzuri kutoka kwa Viongozi wa Halmashauri

    Baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto zimekuwa Mzigo kwa jamii kwani Bado shule hizo Mfano wana waagiza wanafunzi Review ( rejea)za masomo kitu ambacho rejea hizo zilipigwa marufuku na serikali kutokana na kuwafanya wanafunzi kukariri. Lakini bado Baadhi ya Shule hizo zimekuwa...
  12. Morning_star

    Nahitaji notice za sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne

    Wadau wapi naweza kupata notice za sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne kulingana na mtahala (syllabus) za wizara ya elimu Tanzania. Wapi naweza kuzipakua (download) kwa ajili ya vijana wetu? Wengi wetu tunaweza kuwa na changamoto ya hili jambo maana unaweza ukawa na kijana akataka...
  13. Mjukuu wa kigogo

    Karibu mkuu mpya wa shule ya sekondari Nyiendo hapaHalmashauri ya mji wa Bunda...

    Binafsi nipongeze mabadiliko yaliyofanywa ya kuleta mkuu mpya wa shule ya Sekondari Nyiendo hapa Bunda.Ushauri wangu kwako naomba ujikite kwenye maeneo yafuatayo ill ufanikiwe 1.Epukana na wapambe ambao kwa lugha za siku hizi wanaitwa "machawa".Hawa ndio sumu kwa maeneo mengi ya makazini...
  14. Morning_star

    Nini kilichoipata Shule ya Minaki Sekondari iliyoko Wilaya ya Kisarawe?

    Hii shule kwenye matokeo ya necta mwaka jana na mwaka huu haipo? Shida nini? Hii ni moja ya shule kongwe zikiwa pamoja na shule kama Pugu sekondari!
  15. H

    Tunahangaika sana na matokeo ya Sekondari lakini msingi mzuri unaanzia shule za msingi

    Niende tu kwenye mada salamu zenu. Elimu ya msingi ndio mambo yote, ndio kila kitu hapo hayo mengine ni muendelezo tu wa kumuandaa mtoto kuwa professional ndio maana imeitwa elimu ya msingi. Sasa kama mtoto hatapata msingi mzuri wa elimu basi huko mbele itakuwa shida kwake. Nimeona...
  16. N

    Sekondari zisizo za amali zaingia mkenge kufundisha mtaala mpya

    Ndugu wadau, Wote tunajua kwamba mtaala mpya umeanza mwaka huu 2024 kama ilivyoelezwa mara nyingi na wakuu wa wizara ya Elimu na hadi Waziri mwenyewe. Kadiri ya maelezo ni kwamba shule za sekondari zitakazoanza na mtaala mpya hasa kwa form one ni zile chache tu zenye mkondo wa amali. Shule...
  17. Execute

    Walimu bora wa shule za sekondari kwa nyakati zote hapa Tanzania

    Naomba tuwape heshima waalimu walioacha legacy inayodumu kwa wanafunzi wao. Mimi naanza na huyu. Mwalimu Mnzava - Mbeya secondary (Mbeya Day) Huyu mama alihamia hii shule miaka ya mwisho ya 1980s na alidumu hapo mpaka kustaafu kwake miaka ya 2010s. Kila mkuu wa shule alikuwa anakataa kabisa...
  18. Teko Modise

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza matokeo ya Kidato cha nne. Ufaulu waongezeka

    Leo tarehe 25/01/2024 Baraza la Mitihani Tanzania, litatangaza matokeo ya mtihani Kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana. Matokeo hayo yatatangazwa majira ya Saa 5:00 asubuhi kupitia youtube account ya Necta. Matokeo hayo utayapata hapa punde tu baada ya kutangazwa. ======= Katibu Mtendaji...
  19. LIKUD

    Wanafunzi wa kike shule za sekondari nyingi Mtwara wanadanga na wazazi ni kama wamebariki kabisa

    Ifike mahali sasa serikali ifanye uamuzi wa busara. 1. Ipunguze umri wa mwanamke kuruhusiwa kuingia katika ndoa kutoka miaka 18 hadi ( 14 & 15) kwa watu wa dini zote sio waislamu pekee maana sheria ya Ndoa ya mwaka 71 inasema kwamba mtoto wa kike Muumini wa dini ya kiislamu anaruhusiwa kuingia...
  20. Mjukuu wa kigogo

    Uongozi shule ya sekondari Nyiendo wilayani Bunda mtukumbuke walimu wa kujitolea-Part time teachers

    Chondechonde mkuu wa shule, kamati ya uongozi na bodi ya shule ya Sekondari Nyiendo tunawapigia magoti kwa huruma yenu mtusaidie kuhusu mambo yafuatayo. 1. Malipo ya mishahara yetu sasa tunaelekea ndani ya miezi minne hatujalipwa mishahara yetu.Sisi kama binadamu tuna wategemezi,tuna familia...
Back
Top Bottom