ufanisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    Mkurugenzi wa NIDA abadilishwe ili kuongeza mapato na ufanisi ili ijitegemee na kupeleka mapato serikalini kama TRA

    Ni wakati sasa mkurugenzi wa NIDA abadilishwe. Ni wakati wa NIDA ijitegemee yenyewe isipewe fedha na serikali tena Kama NIDA ingepata kiongozi mbunifu ingeingiza mapato mengi sana kama wafanyavyo TRA. Serikali yetu ifanye yafuatayo: Mkurugenzi abadilishwe. Mkurugenzi mpya imarisha kitengo...
  2. A

    Viongozi wa kuwalaumu Kwa hasara za majengo Dar na Ufanisi wa Bandari ni hawa

    Kumetokea tabia ya baadhi ya viongozi na wanasiasa kudai hasara au matatizo ya Tanzania ya Mosi kuhamia Dodoma kuliko fanywa na Hayati Magufuli, ni kukosa ueledi wa uongozi, bila kujua Mpango wa Nchi alioacha Mwalimu ilikuwaje. Kuhusu Dodoma, Mwalimu aliacha Ofisi za Waziri Mkuu na Wizara...
  3. ElietSe

    Jinsi ya kuongeza ufanisi wa kutunza kumbukumbu za biashara

    Kutunza taarifa za biashara ni eneo la muhimu kwa kila mfanyabiashara. Hii husaidia kujua mali ilyotoka, iliyoingia, mali zilizopo, madeni, mauzo na faida au hasara iliyopatikana. Wengine hutunza taarifa zao kwa kutumia vitabu maalum na wengine hutumia digital tools kama computer au simu...
  4. Roving Journalist

    Ripoti kuu ya Mwaka ya Ukaguzi wa Ufanisi Mwaka wa Fedha 2022/23

    CAG amewasilisha Ripoti hii Kwa mujibu wa Kifungu cha 143 (4) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Kifungu cha 28 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418, kuhusu Ukaguzi wa Ufanisi kwa kipindi kinachoishia tarehe 31 Machi 2024 MUHTASARI Taarifa hii ya jumla ya...
  5. G

    Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

    1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema. 2. Madege:- Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya...
  6. Yusto Bitalio

    Ufanisi wa Bima za NHIF Tanzania

    Kwanza kabisa nianze kwa kuwapongeza watoa huduma za afya Tanzania, lakini kuna swala nimelishuhudia ambalo sidhani kama lipo sawa. Binafsi nilipatwa tatizo la macho, nikaenda hospitali (ipo Dodoma) nikawa nimeonana na daktari kwa kutumia bima ya NHIF ambayo mimi ni mteja wao. Nilionana na...
  7. R

    Kwa waliochanja Chanjo ya CORONA Njoni mtoe uzoefu Ili tupime ufanisi.

    Salaam, Shalom. Kwa mara ya kwanza, Nchi yetu ilipokea Rasmi Chanjo ya CORONA virus Kutoka nje aina ya Johnson Johnson mnamo July 24, 2021. Na Chanjo Ile sie tulipewa Bure tofauti na Nchi zingine kama DRC, wao wakinunua Chanjo Kwa kugombania kuhofia kufa Kwa Corona. Hadi sasa imebaki miezi 4...
  8. Mdeke_Pileme

    Wataalamu wa Maabara watoa dukuduku lao, kuhusu sakata la utoaji majibu yasiyo sahihi katika Vituo vya Afya

    Baada ya jukwa la JamiiForums kuchapisha nakala kwenye mitandao ya kijamii inayosema :- Bodi ya Maabara Binafsi za Afya ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya imesema inayafanyia kazi madai kuwa baadhi ya Maabara zinatoa majibu ya uongo ili Zahanati ziuze Dawa, ikiwa ni ufafanuzi uliotolewa baada...
  9. B

    Watendaji watakiwa kufanya Uchaguzi kwa ufanisi

    Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Rufaa (Mstaafu) Mhe. Mbarouk Salim Mbarouk akizungumza wakati akifunga mafunzo kwa watendaji wa Uchaguzi ambao wanakwenda kusimamia uchaguzi mdogo katika Kata 23 za Tanzania Bara yaliyofanyika kwa siku tatu mkoani Morogoro. Uchaguzi unataraji kufanyika Machi...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Asya Sharif Omar: Kukaimisha Watimishi Muda Mrefu Kunaondoa Ufanisi

    Mbunge Asya Sharif Omar: Kukaimisha Watimishi Muda Mrefu Kunaondoa Ufanisi Mbunge Asya Sharif Omar amesema ipo changamoto kwa wizara ya Maji watumishi wake ngazi ya Wakurugenzi na wakuu wa vitengo kukaimishwa kwa muda mrefu katika nafasi walizopo. Akichangia hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge...
  11. Shining Light

    Ufanisi wa manjano na asali katika kutuliza kikohozi

    Manjano na asali imekuwa tiba iliyokuwa ikinisaidia sana katika makuzi yangu endapo nilikuwa nasumbuliwa na kikohozi. Unachanganya manjano kwenye asali, pia siku zingine unakamulia maji maji ya Tangawizi bila kuweka na machicha yake kwa sababu inaweza kusabibisha karahaa kwenye koo. Mara...
  12. Candela

    Uhamiaji bado tatizo la milenia, tusubiri miaka 1000 watakuwa na ufanisi

    Iko hivi, nilikuwa namsaidia mtu kuomba passport nisafiri nae, zamani ilikuwa unaambatanisha makolokolo kibao lakini baada ya NIDA nikajua process zimepingua hasa ukizingatia huyu mtu wazazi wake wote wana NIDA nikajua ile sehemu ya kiapo cha mzazi NIDA zao zinatosha maana waliapa mahakamani...
  13. Shining Light

    Kupigia kura mtandaoni: Urahisi, Usahihi, na Ufanisi katika Mchakato wa Uchaguzi

    Kupigia kura mtandaoni imekuwa njia yenye urahisi mkubwa katika michakato ya kupiga kura kipindi cha uchaguzi, baadhi ya nchi haswa za ulaya, nchi za Baltic kama vile Estonia, zimetumia njia hii tangu mwaka 2005. Hii njia inapunguza kupoteza muda ikilinganishwa na mfumo wa kura za jadi...
  14. BARD AI

    Chanjo ya Virusi Vya UKIMWI (PrEPVacc) yasitiswa baada ya kutoonesha ufanisi

    Majaribio hayo yaliyoanza katika Nchi za Tanzania, Uganda na Afrika Kusini yamesitishwa kutokana na takwimu za waliochanjwa kuonesha Chanjo waliyopata haina ufanisi katika kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Majaribio yalikuwa sehemu ya mpango wa #PrEPVacc, ulioanza Desemba 2020 ambapo...
  15. Sky Eclat

    Mafundi kuweni wakweli katika ufanisi wenu, msihadae wateja

    Picha ya juu ni mchoro wa nyumba tarajiwa na picha ya chini ni fundi alichotoa
  16. K

    Naomba ushauri juu ya ufanisi wa drilling rig zinazouzwa Alibaba

    Itifaki ikiwa imezingatiwa, rejea kichwa cha habari. Ndg zangu ktk jitihada za kupambana huku shambani nakwamishwa na ukosefu wa maji. Nimejaribu kueasiliana na wachimbaji wa visima virefu, bei zao zinaweza kuzidi urefu wa mlima Kilimanjaro. Katika kuzuru huku na huku nikakuta sana za kazi...
  17. Roving Journalist

    Balozi Hassan Simba: Wizara ya Mambo ya Afrika Mashariki ijitegemee ili kukidhi mahitaji ya sasa ya Jumuiya hii

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya Kamati Kutathmini Ufanisi na utendaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo tarehe 12 Oktoba, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/VsXnOx4lr3U?si=uW9N1rjK-vSrKI8l...
  18. covid 19

    "Kampuni yetu ya Teknolojia tunatafuta Mwekezaji wa kuongeza nguvu ya mtaji na Ufanisi kwenye kazi "

    Jambo, Tunatafuta mwekezaji mwenye nia ya kuwekeza katika kampuni yetu ya teknolojia inayojihusisha na kuuza vifaa vya usalama wa elektroniki na shughuli zingine za teknolojia. Tunaamini kuwa uwekezaji wako utatusaidia kuongeza ufanisi wetu na kufikia wateja wengi zaidi. Kuhusu kampuni yetu ni...
  19. Roving Journalist

    Maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani: Rais Samia aahidi kutatua changamoto za walimu ili kuleta ufanisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kushughulikia changamoto za Walimu nchini hatua kwa hatua ikiwa ni pamoja na kuwapandisha Madaraja na kutoa malipo ya stahiki mbalimbali. Rais, Dkt. Samia ameyasema hayo tarehe 6 Oktoba 2023, alipokuwa...
  20. HelcopterChopa

    Mabadiliko TANESCO yachochee ufanisi wa Shirika, ubora wa huduma na uhakika wa umeme

    Mabadiliko ya wakurugenzi katika mashirika kadhaa ya umma, ikiwa ni pamoja na shirika la umeme Tanzania, Tanesco yakachochee ufanisi, ubora na uhakika wa huduma za umeme nchini. Awali, mishale ya lawama za kukatikatika kwa umeme nchini zilielekezwa kwa waziri wa nishati wa wakati huo ambae...
Back
Top Bottom