1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya...
Nimeona Makonda anaeleza kwamba amenusurika mara tatu kuuwawa; nimeona pia amekataa gari aliyoandaliwa kwenye mapokezi yake. Nimeona ameanza kukataa kupewa viwanja nikajiuliza wakuu wa mikoa waliotangulia upewa viwanja? Na nani ufanya hivyo?
Hofu kubwa aliyonayo akihusishwa na uafrika upo...
Katika mamia ya sheria nilizowahi kuzisoma hapa nchini Tanzania sijwahi kukutana na sheria inayomtaka Rais kuendeleza kile alichokianzisha mtangulizi wake, na badala yake nchi huwa ikiendeshwa kwa maono ya Rais aliyeoko madarakani.Tuna ushaidi kwa namna gani nchi imekuwa ikipoteza mamia ya pesa...
Nisikuchoshe,
Nimeona waziwazi maisha yalivyo mambo ni kama ya mwendazake, pamoja na muendelezo wa alipoishia hayati, bado hujapindua changamoto, kuna kufeli maeneo mengi.
Zaidi na zaidi unatumikia bahati njema alizoziacha jamaa yule.
Mbaya zaidi wahuni na wajanja wamekurubuni. Wanakula...
Namuongelea Kiongozi wetu, alianza vema sana kazi zake kwa kuhakikisha teuzi nyingi zinazingatia sifa, weledi, umoja wa kitaifa, dini na hata jinsia. Hata hivyo, kwa siku za karibuni ameanza kukengeuka kama mtangulizi wake.
Anateua watu wenye kutiliwa mashaka weledi wao angalia kama huyo KM...
Ni swali ambalo linaweza kuwa na majibu ya ndio na sio kutokana na hali halisi.
Alipoingia tu madarakani 'kwa kudra' kama alivyojinasibu, alifanya mabbadiliko mengi kwa haraka na pengine kwa kutaka kuridhisha kundi dogo la watu wenye maisha bora maarufu kama wawekezaji.
Huku watanzania wa hali...
Tarehe 9 mwezi wa pili mwaka 2020 Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa alikuwa mkutanoni Jijini Adis Ababa Ethiopia.
Huko nyuma nchini kwake katika shamba lake la wanyamapori la PHALA PHALA lililopo Jimbo la Limpompo linatokea tukio la kuvunja na kuiba.
Mfanyakazi wa ndani wa Rais pale...
Unaweza ukamkejeli kadri unavyojisikia kwamba alikuwa mtesaji, alikuwa mkabila alikuwa mkatili. Unaweza ukamsimanga kadri ya uwezo wa akili yako utakavyokuwezesha, hataweza kukujibu amelala usingizi wa milele na hataweza kuamka.
Amepumzika nyumbani kwake Chato, na siku alipokuwa njiani kuelekea...
Kila sehemu ambapo CAG kagusa inasemekana kuna upigaji wa pesa,na wafuasi wa genge lako wameenda mbali wanasema Mheshimiwa Magufuli ndiye kaiba hizo pesa.
Sasa wewe ukiwa ndiye kiongozi mkuu wa nchi kwa sasa naamini unajua siri zote za hii nchi,unajua pia mahali viongozi wenzio walipoficha...
Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.
Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
Nawakumbusha wana CCM wenzangu na watanzania kwa ujumla. Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan. Na sasa ni awamu ya 6. Rais Samia atakuwa madarakani kwa miaka 9.
Rais Samia, the irone lady with smart brain anakwenda kufanya transformation kubwa kwenye viwanda, uwekezaji na huduma za kijamii...
Nijambo la kujivunia, miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho
"Hakuna kama Samia "
Jumla ya miradi 133 yenye thamani ya US$ 2.98 ilisajiliwa kati ya mwezi March na...
Kuna watu wanapokea ofisi binafsi au ya umma kutoka mikononi mwa watu waliokuwa wanaamini ushirikina na ambao walikuwa wanapeleka wachawi na waaguzi kufanyia ibada zao ofisini. Ofisi kama hizi kiimani inaaminika hata Mwenye ofisi akiondok aidha kwa kuamishwa, kustaafu au kufa mizimu ile ubaki...
Saalam,
Wewe ni Rais wa Watanzani wote, waliona vyama na wasionavyo walio na dini na wasio nazo. Wenye elimu, na wasio na elimu ambao ni wengi. Matajiri na masikini ambao ni wengi.
Wananchi wa Tanzania wanahitaji Katiba mpya ambayo itawahakikishia Uhuru wa kweli wa kuamua mambo yao na kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.