tundu lissu

  1. J

    Sikumbuki ni lini Tundu Lissu aliwahi kudanganya kwa kudhamiria, huyu ni Mwanasiasa wa Kipekee sana!

    Nimejaribu kupitia kumbukumbu zake mbalimbali mitandaoni na magazetini tangu akiwa mwanasheria wa Mazingira hadi Siasani NCCR na sasa Chadema kiukweli sijakuta Uwongo wa huyu Mwamba Ni nadra sana kuwapata wanasiasa wa aina hii Katika Dunia ya Leo Nimekuwa nikiwafuatilia sana Tundu Antipas Lisu...
  2. Erythrocyte

    Kuelekea 2025 Tundu Lissu awauliza Wanakijiji kama waliwahi kusomewa Mapato na Matumizi ya Kijiji chao, Wamjibu Hapana

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anaendelea na ziara yake ya kuelimisha wananchi huko Iramba, leo ilikuwa zamu ya Kijiji cha Kyalosangi, Kata ya Kinampanda, Iramba Magharibi. Pamoja na kuzungumzia Kikokotoo kwa wafanyakazi, Jambo lililowafanya Askari zaidi ya 50 waliokuwa kwenye...
  3. Mganguzi

    Kuelekea 2025 CHADEMA watafute mgombea mwingine wa urais, Tundu Lissu, Mbowe, Msigwa, Sugu na John Mnyika warudi bungeni! Nchi itakuwa salama zaidi

    Harakati za uchaguzi mkuu zinakaribia lakini naona watu imara tunaotaka wakatusaidie kwenye mhimili wa bunge tunaweza kuwapoteza kwa kutamani kugombea urais na kukosa fursa ya kutusaidia kutunga na kusimamia raslimali zetu huko bungeni. Tundu Lissu aachane na ndoto za kugombea urais aende...
  4. S

    Tundu Lissu tunaomba uingilie kati suala la mikopo ya mitandaoni labda serikali itachukua hatua

    Nchi hii kuna mambo ambayo bila kuongelewa na wanasiassa au watu maarufu, mambo hayo huendelea kufanyika hata kama yako kinyume cha sheria na yanaumiza wananchi. Mojawapo na hili la mikopo ya mitandaoni ambalo hata Raisi wa nchi sidhani kama amewahi kuliongelea. Hili kwa sasa ni tatizo kama...
  5. Komeo Lachuma

    Tundu Lissu ni Mwanasiasa pekee ambaye naweza msikiliza akiongea, na alikuwa pia Prof. Kabudi alipokuwa sober

    Tundu Lissu anajua kuongea. Hakuna mwanasiasa anaweza simama jukwaa moja na Tundu Lissu kubishana. Hakuna Chama Chetu CCM na nje ya chama au any chama. Lissu akianza kuongea utapenda msikiliza ana facts anajua mambo. Ni mzuri katoka kuelezea jambo. Kama ambavyo Prof Kabudi pia alikuwa na...
  6. sonofobia

    Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

    Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu. Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima? Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie. Na mimi namuunga mkono kwenye hili. Tundu asije tufanyia...
  7. mandella

    Tundu Lissu: Mbunge kinara wa kudidimiza maendeleo

    Jimbo la Tundu Lissu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''Tundu Lissu " ndie amekuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea yao binafsi akidai kua serikali ina pesa za kutosha za kuwajengea maabara. Source: New star tv ...
  8. Erythrocyte

    Tundu Lissu kuunguruma Temeke 26/5/2024

    Kwa Mujibu wa Taarifa iliyosambazwa na Chama chake , Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu atahutubia Mkutano wa Hadhara Wilayani Temeke, DSM. Nimeona magari ya Matangazo yakipita mitaani na kwamba mkutano huo utafanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga, Tandika Kwa vile kwa sasa niko DSM...
  9. chiembe

    Tundu Lissu, wanaposema wako nyuma yako kamanda, sasa ni muda wako wa kukusanya takwimu, 2025 usije sema umeibiwa kura

    Sasa ni muda wa Tundu Antipas Lissu kukusanya takwimu ili 2025 tusilaumiane. Maana wakiwa kwenye KeyBoard huwa wanatamba mko pamoja. Muda huu ndio kura za maoni za uchaguzi, tinajua kwenye ile kumi, tano alitoa Mbowe, tano Lema, hata Malisa hajakuombea mchango
  10. Erythrocyte

    Kibaigwa: Wananchi Wazuia Msafara wa Tundu Lissu, walazimisha awahutubie

    Walipopata Taarifa kwamba Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema utapita kwenye kijiji chao, Wananchi hao waliamua kumiminika Barabarani na kuzuia Msafara huo, kwa lengo la kupata neno la Matumaini kutoka kwake, Juhudi za Polisi kuondoa wananchi walioziba Barabara zimeshindikana Akihutubia...
  11. N

    Tundu Lissu ni almasi inayong'aa yenye kuleta matumaini kwa Watanzania

    Hakuna asiyemjua nguli huyu aliejipambanua kwa umahiri kwenye medani za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Tundu Lissu ni mwanasiasa na mwanasheria maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa utetezi wake wa demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria. Amekuwa Mbunge nchini Tanzania na amewahi...
  12. J

    Tundu Lissu asiye na Ulinzi risasi 16 kapona, Ebrahim Raisi mwenye Ulinzi kafia porini. Atukuzwe Mungu wa Israel!

    Viongozi tendeni wema kwa Watu wote na Mungu wa mbinguni atawapigania mjapopita Katikati ya Bonde la uvuli wa mauti. Muangalie Tundu Lissu aliposhambuliwa na risasi dereva alimvutia Upande wake na risasi zikaishia miguuni huu ni muujiza Muujiza wa pili ni Beki 3 Kuendesha Gari kwa Kasi ya...
  13. M

    Ndugu yangu Freeman Mbowe jiandae, Tundu Lissu anajiandaa kupambana na wewe kwenye nafasi ya uenyekiti

    Hii kumchangia changia ili anunue gari ni danganya toto tu lkn ukweli ni kuwa Maria na wanaharakati wenzake ndani ha Chadema wanamshawishi Lissu agombee uenyekiti wa Chama wakidhani kwa akili zao finyu ana uwezo wa kuingiza watu barabarani na kuiondoa serikali kwa njia za kihuni. Kumchangia...
  14. B

    TUNDU LISSU APOKELEWA JIMBONI KWAKE KWA KISHINDO, WATU WAMSUBIRI MPAKA USIKU

    18 May 2024 Ikungu, Singida Tanzania TUNDU LISSU APOKELEWA JIMBONI KWAKE KWA KISHINDO, WATU WAMSUBIRI MPAKA USIKU https://m.youtube.com/watch?v=jIYP_sl7lt0 Tundu Lissu akisimulia jinsi risasi zilipotoboa gari na kujeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana TOKA MAKTABA: Majeraha makubwa na...
  15. B

    Watanzania wapendekeza Gari la Tundu Lissu lipelekwe Makumbusho ya Taifa, Mwenyewe amshukuru Mungu kuwa hai hadi leo

    Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa. Akiwa anafafanua na kuonyesha namna gari lilivyoharibika kwa Risasi kwenye Mlango mkabara na kiti cha mbele alipokuwa...
  16. F

    Gari ya Tundu Lissu ni kielelezo cha gharama za kuitoa CCM madarakani. CHADEMA tumnunulie Lissu gari jingine

    Hili gari linatisha sana kuliangalia! Kinachonishangaza ni ujasiri wa Tundu Lissu kutaka kulitengeneza na kulitumia tena. Gari hilo ni kielelezo cha jinsi ilivyo vigumu kuutoa madarakani mfumo CCM. Gari hilo lihifadhiwe makumbusho ya Taifa kwani ni alama ya ukombozi wa mtanzania. Tundu Lissu...
  17. GENTAMYCINE

    Huyu Dereva wa Gari la Toyota Landcruiser Hardtop Nyeupe lenye Plate Number ya T216 DHH ya Tundu Lissu uthubutu wa Kuitumia kautoa wapi?

    Yaani mwenye Gari kapigwa risasi ambazo zilitaka Kumuua halafu bila hata huruma bado kuna Mtu sijui kwa Jeuri yake au Jeuri anayopewa kaona haitoshi akaamua kabisa kwenda na Kung'oa Plate Number ya Gari la Tundu Lissu ya T216 DHH na kuamua Kuitumia kama yake Dodoma hadi kuwa na Deni ya Kuegesha...
  18. Roving Journalist

    Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake

    Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA. Majibu hayo yamekuja baada ya member wa JamiiForums.com kuandika andiko likiwa na madai hayo Pia soma: Inadaiwa hasira za Lissu...
  19. B

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Sikuwa nafahamu kwamba huyu Tundu Lissu ana Ushawishi Mkubwa namna hii sio tu leo ambapo tunamuona kwenye Jukwaa la Siasa bali kazi ya kutetea Nchi, Taifa na Wanachi wake ameianza Zamani ktk Ujana wake woote. Kwamba Tundu Lissu anaweza kuwa na Influence kwenye Tasisi kubwa kama baraza la Taifa...
  20. U

    Video: Ubishani ni Zanzibar ni nchi au siyo? Wenzenu upande wa Zanzibar ni Wazanzibari au Watanzania? Wasira, Rais Samia vs Tundu Lissu: Nani mkweli?

    Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa; Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo.... Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana na kukubali kuwa lipo tatizo ktk muungano huu linalostahili kutatuliwa sasa na sio kesho kama...
Back
Top Bottom