Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

francoo1

JF-Expert Member
May 28, 2014
1,055
708
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤

Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄

Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na myahudi?

Kweli Iran bado mtoto mdogo sana kwenye game.
 
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄
Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na myahudi?
Kweli Iran bado mtoto ndogo sana kwenye game.
Kuna makosa madogo ukiyafanya madhara yake ni makubwa sana!

Ndicho kilichotokea!
Nyuma ya kifo kuna sababu haijalishi ni nzuri au mbaya!

Irani licha ya kufanya walichokifanya kwa Israel lilikuwa ni suala la Muda tu. Pengine tusubiri matukio mabaya zaidi kutokea.
 
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤
Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄
Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na myahudi?
Kweli Iran bado mtoto ndogo sana kwenye game.
Kwani ile airforce 1 ina miaka mingapi?
Ajali ni ajali na 95% ya ajali ni uzembe.
Ndio maana ajali yoyote lazima kuwe na uchunguzi.
Ila kwa ajali ya chopper ya rais wa iran ni full uzembe.
 
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤

Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote
ndo umuhimu wa bajeti kubwa na cash harafu viongozi wasasa waendena na nyakati hakuna kizazi kinapenda starehe kama hiki kilichozaliwa mwaka 1978 ambao hiyo chopa ilitengenezwa
 
Kwani ile airforce 1 ina miaka mingapi?
Ajali ni ajali na 95% ya ajali ni uzembe.
Ndio maana ajali yoyote lazima kuwe na uchunguzi.
Ila kwa ajali ya chopper ya rais wa iran ni full uzembe.
Airforce One ni ndege ya 1980s na ni maalum. Bado huwa inafanyiwa modernization na Boeing na contractors wengine.

Wakati hii helicopter iliyombeba Rais wa Iran ni product ya Marekani ambao wameiwekea vikwazo Iran. Haiwezi kuwa supplied na components wala kuwa serviced na manufacturers. Wala kupata genuine spare parts kutoka kwa original producer haiwezekani. Hivyo hii ngalangala ilikuwa prone to failure, dude la 1970s na services za kuungaunga.

Iran kwa bahati mbaya wanapata sana ajari za ndege sababu ya sanctions. Ikitokea bahati nzuri wakapunguziwa vikwazo najua watanunua ndege za Kimarekani na Ulaya kwa fujo.
 
Si watengeneze zao? Ujeuri na ubishoo mwingi kumbe wanavaa nguo za kuazima? 😆🤣
 
Siku mwisho wako hapa duniani ukifika hakuna chochote kinacho weza kuzuia usiondoke , masuala ya ulinzi sijui intelegensia ,cheo umaarufu, pesa hivyo vyote ni taka taka mbele ya kifo.
ni kweli ila kuna ajali zingine uzembe wa binadamu unachangia
 
Back
Top Bottom