Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.
Najiuliza maana ya upendo nini?
Mpaka uwe na kingi ndio ushee?
Au pesa kipindi michango ya sherehe?
Au mzazi anayetamani mtoto uendelee?
Ndio maana anakulea ile umlee
Inasadikika kuwa upendo wa kweli ni kujali
Mama mzazi homa ikikushika tu halali
Tabasamu analokupa unaposhika Masarali...
Takribani mikopo yote inayotolewa kwa watu binafsi, taasisi au nchi huwa na masharti. Pamoja na kwamba masharti hayo kukubaliwa na pande zote za mkopo husika (Mkopeshaji na Mkopaji), masharti hayo huandaliwa na Mkopeshaji kwa ajili ya kulinda maslahi yake-urejeshwaji wa mkopo pamoja na faida...
Baadhi ya maeneo ya Kinondoni Kaskazini yamekosa umeme toka saa tatu asubuhi mpaka ninapotuma huu uzi hivi sasa.
Je! Kuna changamoto yoyote ile iliyojitokeza, na pengine imekwisha kutolewa taarifa hapo kabla na uongozi wa TANESCO siku ya leo ya tarehe 02-06-2024. Pengine taarifa hiyo imenipita...
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu.
Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao msingi wake ni kutokuwa na uelewa wa kina wa mambo na elimu ya vitu umewavutia watu wengi katika...
Habari za jumapili wanajamii forums
Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza hivi lengo kubwa la kufunga ndoa ni nini.Kinachonipelekea kujiuliza hayo maswali ni kutokana na kutoona tofauti kati ya waliofunga ndoa na wasiofunga ndoa.Ukiangalia kiundani wanandoa wengi wanachepuka balaa ni wazinzi wa...
Naomba msaada simu yangu aquos sense 5g natumia laini ya voda NI week sasa nimtumia mtu SMS may be Habari! Kule nakotuma SMS zinaenda zinaenda zaidi ya 5 Yani inakuwa kama hivi
Habari
Habari
Habari
Habari
Naona NI Kero nimejaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja wanasema hawaoni tatizo kwenye...
Shalom,
Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa?
Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero.
Karibu mseme changamoto zenu tuwasaidie.
Nawasubiria kwenye comments
Wadiz
Na Comrade Ally Maftah
Kuna ule usemi kitu kikiwa kitamu unasema "KITAMU KAMA NIININI" nataka tujue niinih ni nini?
NIININIH NI!
1. UTARATIBU WA VIKAO VYA KIKANUNI NA KIKATIBA
Chama cha Mapinduzi kina utaratibu wa vikao mbalimbali, mambo yake yanajadiliwa kistaarabu na kwa usiri.
2. MATUMIZI...
Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo.
Kwa anayewafahamu anisaidie
Nimekuwa nasikia watu wakiongea EFD mara TRA wamepiga watu adhabu kuhusu EFD ila sina uelewa wa kutosha sababu mimi ni kweli nanunua bidhaa na kuna wakati napewa hizo risiti wanazosema za EFD na kuna wakati sipewi.
Swali langu kwa TRA na wajuzi ni wakati gani hizo risiti zinatolewa na wakati...
Majuzi tulipokea utambulisho wa mtoto wa kaka, kaleta kijana huyo kila mtu alichokaaaaa
Mtoto wa kaka nae ndio wale matajiri waliosomaga ulaya kuanzia sekondari mpaka chuo, ungetegemea alete mzungu, mmarekani mweusi au mwafrika well off but nooo katuletea mbongo, wa bongo,
Baada ya kumaliza...
Watu wengi wamekua wakijiuliza kwa nini siku hizi night clubs zinakufa sana, mfano Maison na nyinginezo hapa Tanzania.
Ukweli ni kwamba night Clubs Dunia nzima zinakufa kwa sababu kizazi Z ambao ndio walipaswa kua wanaruka majoka usiku kucha hakipendi kwenda night Clubs.
Sababu nyingine ni...
Habari!
Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge.
Vikao vya halimashauri...
Habari kwenu wanajamii wote.
Nataka kujua na kwa faida ya wengine, hivi jina " Machinga lina asili gani? Kwanini Machinga awe na jina lake badala ya kuitwa tu mchuuzi au mjasiliamali?
Mwenye uelewa zaidi na asili ya jina "Machinga" atusaidie.
SERIKALI KUANZA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU VITAMBULISHO VYA NIDA VYENYE UKOMO NA VISIVYO NA UKOMO
Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate ameuliza swali lililoelekezwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu...
Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko.
Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini.
Mfano ni huu hapa👇wa watumishi wa Tume ya Madini.
1. CPA. William E. Mtinya
Director, Corporate Services Department.
2. CPA. Elikana P. Buremo...
Naomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE
Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.