Ndugu zangu Watanzania,
Ni hatari sana kuwaongoza watu na kuwapeleka katika njia ambayo haiwapi matumaini ya maisha na wala haionyeshi kuleta unafuu wa maisha kwa watu wala uhakika wa kutimiza ndoto zao au kuinuka kiuchumi. Njia ambayo muda wote watu wanaona giza mbele yao,hawaoni wanakokwenda...
Tumeshuhudia usafiri wa helkopta ukiondoa nafsi za viongozi mbalimbali hasa katika kampeni za kisiasa au operesheni mbalimbali zikiwemo za kijeshi.
Ni usafiri ambao unafaha sana kuzunguka eneo kubwa kwa muda mfupi lakini ukumbana na changamoto kubwa ya hali ya hewa au hitilafu.
Akili yangu...
Kuheshimu imani ya mtu, hasa katika nchi isiyo na dini, ni suala nyeti sana. Ndiyo maana Watanzania wengi wanapotaka kufanya sherehe, kama si Waislamu, huhakikisha kuwa mchinjaji wa nyama itakayotumika ni Muislamu.
Lakini itakuwaje ikiwa wewe si Muislamu na ukatembelewa ghafla na rafiki...
Mada hii itakuwa ni mada maalum ya kujulishana usahihi wa maneno yakiswahili,sanasana uandishi wa maneno hayo au maana n.k
Yapo maneno yanayotutatiza ama katika uandishi au matumizi yake,hapa pawe uwanja wakuchambua,kurekebisha nakuelimishana juu ya maneno hayo.
Nikianza namimi binafsi maneno...
Haiingii Akilini Mlinzi unaagana nae Usiku Saa 4 unamuacha kakaa Lindoni huku Taa inammulika, ukiamka Usiku Kimachale ili nawe pia kufanya Lindo lako la Kisirisiri kwani Siku hizi hakuna Kuaminiana bado unamkuta kakaa pale pale Taa inammulika halafu Asubuhi ukiamka na Kukutana nae anakuambia...
Namshukuru mungu mwingi wa Rehema na muumbambaji wa vitu vyote vilivyopo duniani.
Mimi ninampango wa kuanza kufanya shughuli za kilimo ili nifanikiwe, sasa katika kufuatilia utaratibu nitumie kilimo kipi Kwa maana nikodi mashamba au ninunue ndipo nikapewa mchongo na mtu ambaye nafahamiana naye...
Hii inawahusu watoto wanaoasiliwa wakiwa wadogo, kabla ya "kujitambua".
Ukiema usubiri mpaka awe mtu mzima ndipo umwambie ukweli, inaweza isiwe sahihi. Kunaweza kumwumiza nafsi kufahamu kuwa kipindi chote alichoishi na wewe hakuwa mwanao wa kumzaa.
Ukisema umjulishe angali akiwa mdogo, alu...
Siku ya wafanyakazi inapaswa kuwa siku ya mijadala serious ya hatima ya uchumi na mipango ya Taifa. Siku ya wafanyakazi ni siku maalumu ya watunga sera duniani kuzipitia na kuzichambua sera za uchumi.
Siku hii haipaswi kufanyiwa mzaa wala kugeuzwa siku ya kiuni kama ilivyofanyika leo Arusha. Ni...
Tangu sheria ya kumlinda mtoto wa kike hasa wanafunzi wale waliochini ya umri wa miaka 18 kumekuwa na mazoea fulani ambayo jamii inahitaji kuyafanyia ufumbuzi
Jambo la kwanza.
Sheria imejikita zaidi kuwaangalia wahanga( Watoto) lakini jamii haina mafunzo ya kutosha kuhusu kujilinda kwa watoto...
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu hasa wale wapenzi wa zamani wa muziki wa dansi kujiita wachambuzi wa muziki hadi kufikia kuwashawishi wamiliki au viongozi wa Redio hasa zile za binafsi kuwaajiri wakiamini watakuwa kivutio na ushawishi kwa wasikilizaji.
Lakini kiuhalisia hawa watu hawana ujuzi...
Tanzania Tunayoitaka na Viongozi Wabeba Maono Ni sawa? Jua linapochomoza huwa na hali ya utulivu na pambazuko lenye kuvutia ila kila linapozidi kutoka huwa na hali tofauti na mazingira hali ambayo kuna wakati wanadamu hushindwa kuivumilia na kutoa maongezi tofauti na yale ya mwanzo waliyokuwa...
Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili
"Lugha ya Kiswahili kwa sasa ni Lugha rasmi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Afrika (AU). Kila tarehe...
Nimeshawishika kushiriki maarifa haya baada ya kuwepo kwa taarifa za matumizi na uhifadhi mbaya wa silaha hasa kwa raia.
Kila mtu Tanzania anayo haki ya kumiliki silaha kwa matumizi binafsi kama vile ulinzi binafsi, kuwinda n.k. Leo sitaongelea namna ya upatikanaji wa haki hii bali vitu vya...
Hasa wenye makabila ya asili ya Tanzania
Biashara inaenda vizuri bila tatizo mfanyabiashara anaona haitoshi yafaa kuiwekea ulinzi, anamtafuta mganga kufanya zindiko.
Biashara ikianza kufeli huamini kuna mtu kaingilia kishirikina, suluhisho ni kwenda kwa mganga
Biashara ikiwa na wateja...
Wakuu kwema?
Nahitaji kujua usahihi wa maneno haya kati ya Njozi na Njonzi. Nimekuwa nikisika wengi wakati wa usiku wakitakiana njonzi njema, wengine njozi njema.
Lipi ni neno sahihi?
Ahsanteni!
kubeti ni tamaa ya kutoa kidogo na kupata kingi ndani ya muda mchache imetufanya vijana wengi tuishi kwenye dibwi la kubahatisha na kutaka vya haraka mpaka wengi wetu hudondokea kwenye madhara ya ushoga na liwati.
Jamii inaharibika kwa kuwa betting inadhoofisha akili na vijana wengi hatufanyi...
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu.
Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni haramu kama ilivyo nyama ya nguruwe.
Kwahiyo kwa hermonize kuingia kwenye muziki tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.