harmonize

  1. Mhaya

    Harmonize avunja record ya dunia ya kuachia Album inayosifia tu Mamlaka

    Ni wazi kwamba hakujawahi kutokea msanii aliyewahi kuachia Albamu yenye nyimbo zinazosifia tu Mamlaka. Wasanii wengi uachia tu Single track za kusifia mamlaka au kiongozi wa juu wa serikali, lakini Mmakonde huyu ameenda mbali zaidi na kuachia Album yenye nyimbo zote zinazosifia Mamlaka na...
  2. Arnold Kalikawe

    Mwamposa ahudhuria uzinduzi wa Album ya Harmonize

    Mchungaji Mwaposa ameonekana Katika tamasha la uzinduzi wa Album ya Harmonize kitu kilichozua maswali. Mwamposa ni mchungaji kitu ambacho kinamfanya asiwe mpenzi wa nyimbo nyingi za Harmonize kwa sababu haziendani na maadili ya kikristo, licha ya hilo Harmonize ni Muislam tofauti na mwamposa...
  3. Accumen Mo

    UCHAMBUZI: Kutaka kupigana kati ya Harmonize na Mwakinyo katika mazingira yake waliyokutana hamna logic!

    salamu wanandugu, Kama kichwa cha uzi . Niliona video katika mitandao ya kijamii ikizunguka sana (viral video) ,ikimuonyesha Harmonize na Mwakinyo wakitishiana kupigana . Ila ukweli kabisa pale hakuna ngumi labda ni kick , hawakuwa serious. Tuangalie kwanza mazingira waliyokutana. kama...
  4. LIKUD

    Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni haramu kama ilivyo nyama ya nguruwe. Kwahiyo kwa hermonize kuingia kwenye muziki tayari...
  5. Mhaya

    Sawa Harmonize kakososea, ila mungu wako sio mungu wa Harmonize

    Yaani sisi huwa tunarudi palepale, tunamtetea sana Mungu kwa kuhisi Mungu hawezi kujitetea. Binadamu huwezi kusimama mbele na kumtetea Mungu, maybe kama Mungu huyo hana nguvu. Kuna vitu ni vya kawaida tu, nachukuliaga poa sana, Mungu ninayemuabudu mimi, anayenibariki na kunipa afya njema huwa...
  6. Mjanja M1

    Ushauri: Harmonize acha kuandika Kiingereza

    Harmonize wewe ni msanii Mkubwa Tanzania lakini unafeli sana anapolazimisha kuandika English lhali bado hujakijua vizuri. Harmonize unaonekana haupo Serious kwenye post zako kwa kuandika Ngeli Mbovu na zisizo na maana kwa wanaojua English pekee. BADILIKA MKUU.
  7. sinza pazuri

    Ni kweli Harmonize alimsaliti Mzee wa Mjegeje?

    Habari zinazotembea kwa kasi ya ajabu hapa mtaani kwangu ni tuhuma za usaliti wa Harmonize kwa shabiki yake na supporter wake namba moja Mzee wa Mjegeje. Mzee huyu ambae alikuwa kama balozi wa Harmonize kila pande ya nchi anapoenda lakini alipopatwa na ugonjwa alipotafutwa Harmonize kwa simu...
  8. Mhaya

    Wito wa kuacha kuhudhuria Show zote za Harmonize

    Harmonize kumpiga beat shabiki ni kitendo cha kuonesha kutokuheshimu mashabiki waliouzulia show yako. Shabiki katenda wajibu wake wa kuja kwenye show yako, alafu kisa tu kazengua mahala fulani unampiga beat kwamba utampiga kichwa na ashindwe kuamka. Hii kauli aliyotoa Harmonize sio ya...
  9. Mjanja M1

    Harmonize ashutumiwa kuwabania Wasanii wake kufanikiwa kimuziki

    Msanii Anjella amemvulia uvivu boss wake wa zamani Harmonize baada ya kusema kuwa aliwabariki kiroho safi kwenda kutafuta Rizki sehemu nyingine. Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Instastory) Anjella Amedai kuwa Harmonize ndio mtu anaeongoza kuwabania Rizki zao huku akisema anaweza kuweka hadi...
  10. Intelligent businessman

    Dharau by Ibraah FT Harmonize

    Ukisikia wiki ya Hit ndio hii, Ibraah wa Kondegang ameachia wimbo uitwao Dharau ambao ame shirikiana na Boss wake Harmonize nadiriki kuwa ambia ni kisanga, awa jamaa kwa Melody ni balaa yaani ni hatari tupu, Ngoma inapanda Tending kwa speed ya 5G uko mjini Youtube. .
  11. Mjanja M1

    Harmonize ku-sign wasanii wengine wawili kwenye lebo yake

    Msanii Harmonize ameamua ku-sign wasanii wengine wawili kwenye lebo yake ya Konde Gang baada ya kutemana na wasanii Killy, Cheed, Country boy na Anjella ambao walijitoa kwenye lebo yake ya Konde Gang. Ameandika msanii Harmonize kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, "Nimekaa hapa...
  12. Mjanja M1

    Video: Penzi la Poshy lamuingiza Harmonize Kanisani

    Penzi kati ya Harmonize na mwanadada Poshy Queen linaendelea ku-make headlines kwenye mitandao ya kijamii. Harmonize amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost Video akiwa Kanisani na mpenzi wake Poshy Queen. Ikumbukwe kuwa Harmonize ni Muislamu kiimani na Baba yake mzazi ni Ostadhi. ✍️ Mjanja M1
  13. Mjanja M1

    Harmonize aandika jina la Mama yake range rover anayoimiliki

    Tunaweza kusema kuwa Harmonize ni moja kati ya wasanii wanaomuenzi mchezaji machachari wa PSG Achraf Hakimi kwenye harakati za kukwepa kuibiwa mali na Wanawake wa mjini. Range Rover ya Msanii Harmonize kwenye Registration number jina linasoma Habiba Chivalavala, hilo jina sio la mtu mwengine...
  14. Mjanja M1

    Baba Levo: Kama nikifa leo au kesho basi mjue Harmonize ndio ameniua

    Baba Levo bado anaugulia maumivu makali ya shingo baada ya kula kichapo kutoka kwa Harmonize. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Babalevo amesema, "Shingo linaniuma, kama nikifa leo au kesho kwa tatizo hili basi mjue Harmo ndio ameniua" - Baba Levo Ikumbukwe kuwa Baba levo ameshachukua RB na...
  15. Mjanja M1

    Baba Levo amfungulia kesi Harmonize

    Baba Levo amemfungulia kesi msanii Harmonize na kumchukulia RB polisi. Baba levo amedai kuwa usiku wa kuamkia leo February 11,2024 msanii huyo wa muziki wa bongofleva alimshambulia. Ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram:- "Hii Itakuwa Mara Yangu Ya Mwisho Kuwa Mnyonge Kuwa...
  16. Mjanja M1

    Baba Levo adai kushambuliwa na Harmonize

    Mwanamuziki na mtangazaji wa Wasafi Fm Babalevo adai kushambuliwa na mwanamuziki Harmonize. Baba Levo ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Pamoja na kutoa taarifa hiyo Baba Levo hajaweka wazi sababu ya kushambuliwa na mwanamuziki huyo.
  17. S

    Cheki machawa wa Diamond walivyo"mnyali" Harmonize siku ya kwanza alipofika WCB.

    Machawa siyo watu jamani. Hapa Diamond angetia neno tu Harmonize angerudi Mtwara kubangua korosho.
  18. Mjanja M1

    Video: Harmonize hajui kuimba Kiingereza

    Hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya Producer mkongwe wa muziki wa BongoFleva nchini Master Jay. ANGALIA VIDEO HAPA Je ni kweli Harmonize hajui kuimba kwa Lugha Kiingereza? Written by Mjanja M1 ✍️
Back
Top Bottom