Nimekuletea faida chache za kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula ni muhimu kuzingatia mida ambayo huwa unapata Milo yako kila siku
Kuywa maji nusu lita kabla ya kula chakula inasaidia kuleta hamu ya kula
Kunywa maji nusu lita kabla ya kula inasaidia kupunguza matatizo tumbo kujaa ya...
Ndoto za kijana yeyote makini ndani ya taifa itatimia kama ana afya Bora tu na sio Hela nyingi.hela Zita tafutwa kama kijana ana nguvu na afya tele.vitu muhimu ambavyo vina tunapaswa kuvifanya Kwa kutunza vizazi vijavyo.
1.tufanye mazoezi.n vizuri miili yetu tukiipa kipaombele kwenye mazoezi...
Habari wana-JF,
Ziara za Rais nje ya nchi zinapowajumuisha wasanii, hata bila maonesho ya sanaa, zinaweza kuleta manufaa makubwa kwa wasanii binafsi na taifa kwa ujumla. Hizi ni baadhi ya faida hizo:
Faida kwa Wasanii
Mtandao wa Kijamii na Kitaaluma:Wasanii wanapata fursa ya kukutana na wadau...
Wakuu,
Nimeona haya madude siyaelewi nataka siku moja niwe mmoja kati ya wawekezaji au wana hisa katika haya mavitu.
Je, mnaruhusiwa kuwekeza kama kikundi?
Zao la tumbaku ni miongoni mwa mazao ya biashara ambayo kwa kiasi kikubwa iliaminika kwa miaka mingi kuwa na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi. Hili sio jambo la kufichika kutokana na ukweli kuwa maeneo mengi ambayo watu huzalisha tumbaku, wengi wameamini kuwa ukuaji wao kiuchumi...
Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye barafu mengi
Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hata wachezaji wakia kwenye pipa lililojaa mabarafu mengi sana
Utangulizi
Kutokana na ongezeko kubwa la magari hasa katika maeneo ya mjini ni wakati sasa wa serikali kuchukua hatua madhubuti ili kuimarisha sekta ya usafirishaji nchini na kulinda miundombinu ya barabara.
Moja ya hatua zinazoweza kuchukuliwa ni pamoja na ujenzi wa barabara maalum kwa ajili...
Arusha 17 Mei 2024 - Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuendelea kutengeneza faida kubwa inayoiwezesha benki hiyo kutoa gawio kwa wanahisa wake kutokana na uwekezaji wao ndani ya benki hiyo.
Rais Mwinyi alitoa pongezi hizo wakati...
Kama unaamini Mungu ni wa Yasiyowezekana, alafu wewe unavimalengo vinavyowezekana, au unaogopa kukusudia jambo kubwa linaloumiza kichwa, humuamini huyo Mungu.
Malengo au lengo lisilowezekana katikati ya malengo yako litakusaidia kwanza wewe ubadilike ili litokee. Wewe kabla ya kutekeleza na...
Wataalam wa Biashara na Ujenzi, kuna faida gani kwenye Ushirika kwenye ujenzi JV (Joint Venture ) kwenye ujenzi wa jengo la biashara?
Juzi niliandika jengo linatafuta Mwekezaji kujenga au kukarabati, sasa changamoto ninayokutana nayo, wapo baadhi wamependekeza tufanye Ushirika "JV" sasa...
Salaam,Shalom!!
Twende haraka kwenye mada, biashara ya Michezo ya kubahatisha Kwa sasa imetapakaa Nchi nzima Hadi vijijini, na sijawahi kushuhudia wahusika wakifunga biashara hizo Kwa kufilisika,
Betting haihitaji gharama kubwa katika uwekezaji, akishanunua mashine na kujenga ofisi hapo hapo...
Laiti mtoa sadaka angejua kwa yakini kwamba sadaka yake inapitia kwenye (mkono) wa Mwenyezi Mungu kabla ya kuingia mkononi mwa masikini, ingekuwa ladha ya mtoaji.. ni kubwa kuliko ladha ya mpokeaji..
-ibn alqayyim
Je unajua faida ya kutoa sadaka?
Sikilizeni enyi watoa sadaka, nyinyi na ambao...
Sikukuu ya Mei Mosi, inayojulikana pia kama Siku ya Wafanyakazi Duniani, inaadhimishwa kwa kusherehekea mchango wa wafanyakazi katika kujenga jamii na kuboresha hali zao za kazi.
Sikukuu hii ina historia ndefu ya kutetea haki za wafanyakazi na kuimarisha mazingira ya kufanya kazi, na imekuwa...
Habari wanadamu
Hivi mnalionaje suala la ongezeko la watu duniani, na upungufu wa watu miaka ya mbeleni?
Yani kwa wakati huu watu wanaongezeka lakini tuendako watu watapungua kama tafiti zinavyoonesha.
Je, nini faida ya watu kuongezeka na hasara zake na ipi faida ya watu kupungua na hasara...
Raia wengi wa Tanzania bara au kama wengine wanavypenda kujiita Watanganyika ni kama vile hawaelewi faida za muungano, hawafahamu wananufaika vipi na huu muungano. Kila mara ambapo hoja za muungano zinaibuliwa wanachama wengi wa chama tawala huwa wanapenda kusema tutaulinda muungano na kurudia...
Watu wengi hudha kuwa kuoga ni takwa la kiafya kumbe sio kweli kuoga kuna madhara mengi kuliko kutokuoga
Utafiti uliofanywa na wanasayansi umethibitisha kuoga mara kwa mara huleta madhara kiafya kwasababu huondoa kinga muhimu kwenye ngozi na kusababisha maradhi katika mwili
Kama hakuna ulazima...
Kuna mambo hapa tanzania hususani hii biashara ya Forex imekuwa na majigambo mengi yani mtu ana kuonesha kapiga usd 5000 kwenye news kama CPI,NFP na n.k bado hapo hapo anaweka group au darasa la malipo watu walipie.
Au watu wa mikeka aka bettting
Kuna mashaka sana na hawa watu wa forex na betting
Nyasi ni aina ya mimea inayojumuisha familia mbalimbali ya Poaceae (au Gramineae). Mimea hii ina tabaka ya nje ngumu inayoitwa utando wa nje, inayojulikana kama epidermis, na tabaka la ndani lenye seli zinazojaa maji. Zaidi ya hayo, nyasi zina mfumo wa mizizi ambao unajumuisha mizizi mingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.