utangurizi: Pamoja na uwepo wa jitihada za serikali katika kutoa elimu maalumu kwa watu wenye matatizo ya kusikia na kuzungumza, rakini bado kumekua na changamoto mbali mbali ambazo haswa zimekua zikitokana na kukosekana kwa lugha ya pamoja kati ya watu hawa na jamii inayo wazunguka hivo...
Napenda kuisihi Wizara ya Habari kusimamia suala la wakalimani wa lugha ya alama iwe suala la lazima katika vituo vya Televisheni ili kuwapa haki ya kutopitwa na taarifa ndugu zetu wenye changamoto ya usikivu.
Vituo vingi hapa nchini havitoi hiyo huduma na hii ni kutowatendea haki ya msingi...
Wakuu kwema? Twende moja kwa moja kwenye mada.
Watu wanaotumia lugha hii ni wachache ukilinganisha na wengine tunaoweza kuwasiliana kwa sauti/maneno. Kutokana na hii, watu wenye ulemavu huu wa kusikia hupitia changamoto kubwa toka watoto mpaka ukubwa wao.
Fikiria uko na mtoto mwenye changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.