elimu

  1. E

    SoC04 Lugha ya kufundishia na kujifunzia katika mfumo wa Elimu Tanzania

    Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni umeonekana kulegalega mno. Hali inayosababisha kupoteza imani kwa mashirika ya ndani na nje katika kiwatumia wataalamu wetu. Ni ukweli usiopingika lugha inayotumika kufundishia inaweza kuwa sababu ya kujenga umahiri thabiti au uliolegalega...
  2. M

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Serikali ya Uthubutu, Uwajibikaji mzuri kwa maendeleo bora katika Sekta ya Elimu

    Tofauti na awamu nyingine za maraisi waliopita , serikali ya sasa chini ya awamu ya sita ikiongozwa na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan inaonesha kujenga shule nyingi Kwa ajili ya kutataua changamoto ya ukosefu wa madarasa. Zaidi kuwepo wa Elimu ya bure mashuleni bila...
  3. B

    SoC04 Tubadili mfumo wa elimu ili kusaidia jamii

    Utangulizi Salamu kwenu wana jukwaa. Andiko langu kwa Tanzania niitakayo litajikita katika Nyanja ya Elimu ya awali, msingi mpaka sekondari (Kidato cha Nne) Mfumo wa Elimu yetu bado haujaweza kukidhi matarajio ya wanafunzi wengi pamoja na wale wanaohangaika kuwasomesha. Wakati wanafanya...
  4. I

    SoC04 Mabadiliko yanahitajika katika mfumo wa elimu ya Tanzania katika miaka kadhaa ijayo

    Katika elimu ya chuo kikuu. 1: Kwenye mfumo wa elimu ya chuo kikuu kwa sasa mwanafunzi anapoanza chuo huwa anasoma masomo mengi tofauti tofauti ambayo mengine ni nje ya kile ambacho amelenga kukisomea. Kwa maoni yangu mimi naona pale mwanafunzi anapoanza chuo kwa mwaka wa kwanza ningeshauri kuwa...
  5. P.J

    VITABU BORA VYENYE MAFANIKIO ZAIDI KATIKA SUALA LA ELIMU HASA MASOMO YA SAYANSI

    Ni chimbo lilo sheheni materials NOTES nzuri kweli kweli za masomo ya sayansi Physics , Chemistry, Biology & Mathematics. Hizi ni NOTES adimu sana , hazikupi shida mwalimu pamoja na mwanafunzi un apokuwa unazitumia Humfanya mwanafunzi aone raha ya kujisomea mwenyewe . Chimbo lake ni Adimu...
  6. Pascal Mayalla

    Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?

    Wanabodi Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na kwa Maslahi ya Taifa, kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi na Jumapili kwenye gazeti la Nipashe na kwenye kipindi cha KMT on Channel Ten TV, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio Jumatano saa 9:30 alasiri. Hoja ya leo ni...
  7. Gotze Giyani

    Mfumo mbovu wa elimu ndio unazalisha ukosefu wa ajira kwa wasomi vijana wa kitanzania

    Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili nasisi tuweze kupunguza matatizo ya kukosa ajira kwa wahitimu wa chuo.Mfano unakuta ajira zimetangazwa...
  8. G

    SoC04 Matumizi ya teknolojia katika elimu

    Dunia ya sasa ipo katika MAPINDUZI makubwa sana ya Teknolojia na hii imepelekea karibia KILA kitu SASA kinafanywa KWA Teknolojia kubwa bila kujarisha ni sekta gani. Nina tarajia na kuzishauri mamlaka zinazohusiana na ELIMU kujikita katika matumizi ya Teknolojia kama njenzo muhimu katika kutoa...
  9. S

    Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati

    Wadau mimi ni mdau wa elimu kama mjumbe wa kamati mojawapo ya shule. Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati. Mfano fedha ya Machi na Aprili 2024 hadi sasa hazijaingizwa. Mitihani ya muhula wa kwanza ni hatihati kufanyika. Bwana Mkenda...
  10. Yoda

    JWTZ liwe na kitengo cha elimu kwa raia, kuna upotoshaji mkubwa kulihusu

    Wiki iliyopita katika mizunguko yangu ya kusaka noti nilipanda daladala iliyokatiza Kurasini, kuna mahali magari yakasimama kuruhusu wanajeshi wengi waliokuwa wakivuka barabara kwa makundi huku wakiimba nyimbo zao. Kama mnavyojua Watanzania ni watu wanaopenda na wazuri sana kuanzisha soga...
  11. A

    SoC04 Mfumo wa elimu bora wa kujitegemea na kujiajiri

    Tanzania tuitakayo: Kumekuwa na changamoto kubwa ya vijana walio maliza chuo kukosa ajira , hii inapelekea vijana kuwa tegemezi katika familia zao. Chanzo ya vijana kukosa ajira ni mfumo mbovu wa elimu ambaye inamwandaa mwanafunzi kuja kuajiriwa na sio kujiajiri! Tunahitaji Tanzania ya vijana...
  12. H

    SoC04 Elimu ni taa ya nchi na wananchi wenyewe

    Elimu ni taa ya nchi na wananchi wenyewe. Elimu ikipatikana Kwa ufasaha Kwa mlaji wa mwisho inachochea watu kuzipenda na kuihitaji katika maisha yao.elimu Kwa baadhi ya wazee wetu walio pata kazi serikalini bila kuwa na elimu kubwa nao waliona hilo Kwa kupishana na fulsa nyingi na kubwa ndio...
  13. mussason

    SoC04 Kuunda Mustakabali wa Elimu Tanzania kupitia Tanzania Innovation Hub for Education (TIHE)

    "Tanzania Innovation Hub for Education (TIHE)" ni mradi wa kipekee unaolenga kuimarisha sekta ya elimu nchini Tanzania kwa njia ya ubunifu na teknolojia. TIHE itakuwa kitovu cha ubunifu ambacho kitakusanya wataalamu, wabunifu, na wadau wa elimu kutoka ndani na nje ya nchi ili kushirikiana katika...
  14. J

    SoC04 Mabadiliko kwenye nyanja ya Siasa Elimu kwa wananchi

    Tanzaniani tuitakayo ya miaka 5 hadi 25 ni ile ambayo kwanza tukubali kuanda kizazi Bora kutoka chini ambacho kitakuwa kimeandaliwa katika Mfumo mzuri wa elimu, Siasa , uzalendo, na teknoljia ambayo itaendana mahitaji ya Dunia ya sasa kivipi? Katika Mfumo wa elimu tunahitaji kuona mabadiliko...
  15. M

    Serikali iongeze zaidi wataalamu wa elimu maalum ya lugha za ishara na alama

    UMUHIMU WA KUENEA KWA ELIMU MAALUM YA LUGHA ZA ISHARA NA ALAMA 1) Itasaidia ongezeko la wataalam ; hii ni pale tunaelimisha zaidi kuwa kila mtu ana haki ya kupata elimu. Elimu maalum kwa ajili ya wasio ona,wasio sikia, Autism, na watu wengine wenye mahitaji maalumu hawa huwa na uwezo mkubwa...
  16. Jackwillpower

    MDAHALO WA ELIMU Part 2 NA SHEIKH SULE

    MDAHALO WA KIELIMU: Season 2 Waislamu mwalimu wenu anakibarua kizito Baada ya MDAHALO wa kwanza walimu wakiislamu Sule,mazinge na genge lao kupigwa KO Sasa tumeandaa MDAHALO mwingine kuendelea kupinga upotishaji na kuwaleta waislam kwa Yesu Tukimaliza mada hizo mbili katika mjadala wa uso...
  17. L

    SoC04 Serikali iandae Mtaala wa Elimu uanaoibua vipaji vya Watoto

    Vipaji imekuwa ni ajira inayolipa katika inchi zilizoendelea,inchi nyingi zilizoendelea duniani zimewekeza kwenye kutambua na kuibua vipaji vya watoto. Andiko hili linaelezea umuhimu wa Serikali kuibua vipaji mbalimbali vya watoto kupitia vipengele vifuatavyo 1.UTANGULIZI. 2.TATIZO LIKO WAPi...
  18. R

    Hivi kwenye ujinga kuna elimu?

    Kuna wakati binadamu inabidi tusikilize ujinga ile tuweze kunga'mua kilichofanyika na wengine kuwa ni ujinga ila usipo sikiliza huo ujinga hutoweza kuujua ujinga muda mwingine inabidi tusiupuzie ujinga . Sio lazima ukubaliane na mimi ila waza mwenyewe.
  19. C

    SoC04 Kabla ya kuwaza jinsi gani ya kuiboresha Elimu zaidi nchini, tuiheshimu na tuipe nafasi Elimu tuliyonayo sasa katika nafasi mbalimbali za uongozi nchi

    Kiongozi ni mtu mwenye maono ambayo yatakayowawezesha watu wake kufikia malengo flani waliyopanga au aliyonayo mwenyewe kwa maendeleo ya watu anaowaongoza na jamiii kiujumla. Uongozi ni kitu muhimu kwenye kila kitu(ngazi) iwe Taifa, familia, Taasisi, Biashara na hata katika maisha ya mtu...
  20. Kyambamasimbi

    TIE Maboresho ya mtaala wa Elimu. Hivi kuna haja ya kuendelea kufundisha kuandika barua ya kirafiki mashuleni?

    Habari wajf Leo nimeshangaa kuona eti Bado watoto wanafundishwa kuandika barua ya kirafiki mashuleni zama hizi za sayansi na Teknolojia? Kwa maono yangu wafundishwe kutumia simu nanna ya kutuma sms. Leo hii wadau wewe ulimwandikia lini ndugu au rafiki barua ya kirafiki?
Back
Top Bottom