ukosefu wa ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ismaili sogora

    Kutokana na ukosefu wa ajira kwa vijana Serikali iangalie namna kuunda Bodi ya Mifuko wa Ajira

    Kutokana na ukosefu wa ajira kwa vijana Serikali iangalie namna ya kuunda Bodi ya Mifuko wa Ajira. Kuundwa kwa bodi ya mfuko wa ajira kutoka kwatika vyanzo mbalimbali vya kodi kutasaidia kupatina kwa fedha za kuajiri wahitimu wengi waliopo mtaani.
  2. H

    SoC04 Viwanda vidogo Mwokozi ukosefu wa ajira Tanzania

    Viwanda vingi ndani ya kila mkoa au wilaya ni mwokozi wa ajira Kwa vijana wasomi na wasio wasomi. Kiwanda sio lazima kiwe kama vile vya mo au azam ndio kiwe kiwanda hapana viwanda viko kwenye makundi matatu kundi la pili nala tatu watanzania tuna limudu. Watanzania tujifunze kuanzisha viwanda...
  3. Gotze Giyani

    Mfumo mbovu wa elimu ndio unazalisha ukosefu wa ajira kwa wasomi vijana wa kitanzania

    Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili nasisi tuweze kupunguza matatizo ya kukosa ajira kwa wahitimu wa chuo.Mfano unakuta ajira zimetangazwa...
  4. Wakusolve

    SoC04 Mustakabali wa Teknolojia na suluhisho la ukosefu wa ajira na kukuza uchumi wa Tanzania

    Teknolojia nini? Teknolojia ni hatua ya mabadiliko kutoka katika matumizi magumu ya kazi kuja katika njia rahisi ya utendaji kazi kwa urahisi na haraka. Au Teknolojia ni sayansi ya hali ya juu ya ubunifu wa vitu na kubadilisha vitu vilivyokuwa na mifumo wa njia nyingi za uchakataji wa jambo...
  5. A

    Tetesi: Ukosefu wa ajira kuisha 2026

    Vijana wote nchini. Hebu fanyeni Jambo moja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu wa 2025. Chagueni CCM ili kutokomeza tatizo la ajira nchini.
  6. Raphael Alloyce

    Kukabiliana na ukosefu wa ajira kwa vijana kunahitaji njia kamili na yenye kujitahidi kutoka kwa Serikali

    HATUA MADHUBUTI YA SERIKALI Katika upeo wa kisasa wa uchumi wa dunia leo, mojawapo ya changamoto kubwa inayokabiliwa na serikali ni kushughulikia ukosefu wa ajira kwa vijana. Tatizo hili siyo tu linaathiri watu binafsi bali pia lina athari kubwa kwa ustawi wa jamii na utulivu wa kiuchumi. Ili...
  7. N

    Ukosefu wa ajira unavyodunisha uripoti wa wanafunzi wa kidato cha kwanza miaka hii

    Mzazi ana watoto wawili aliowasomesha kwa tabu hadi chuo kikuu lakini wote wako nyumbani na hakuna mwenye ajira hata mmoja. Leo mzazi huyu kumpeleka mtoto sekondari tena anaona ni kumtania kabisaaa. Hiyo ndo sababu ya uripoti duni wa wanafunzi wa kidato cha kwanza; 2023 ulikuwa mkubwa lakini...
  8. Immortal Techniques

    Inflation & Unemployment: Mfumuko wa Bei na Ukosefu wa Ajira.Tanzania Wapi tunaelekea?

    Utangulizi: Wabobezi wengi wa uchumi Duniani wanakubaliana adui namba Moja kwenye Uchumi ni Inflation & Unemployment,hakuna uchumi wowote Duniani unaokoa bila kuzalisha ajira Kwa wananchi wake, Tanzania ni nchi yenye watu Estd.63 Million sensa ya mwaka 2022 kati ya hao 70% wako chini ya Umri...
  9. R

    Kampuni ya KPMG yatangaza kusimamisha malipo kwa wafanyakazi 12,000

    Taarifa ya kusitishwa kwa malipo iliripotiwa kwa mara ya kwanza na FT, huku wafanyakazi wakipata nyongeza ya mishahara ikiwa tu watapandishwa vyeo rasmi, kabla ya mapumziko ya Krimasi Inasemekana kwamba washirika wa KPMG hulipwa zaidi ya pauni £700,000 kila mwaka kabla ya malipo ya ziada...
  10. Mammamia23

    SoC03 Mabadiliko ya mifumo ya elimu katika kupambana na changamoto ya ukosefu wa ajira

    Ukosefu wa ajira umekua ni changamoto kubwa Katika nchi ya Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani. Changamoto hii Kwa kiasi kikubwa imechangiwa Kwa kiasi kikubwa na mifumo mibovu ya elimu Katika nchi yetu ambayo haikidhi vigezo vinavyohitajika kwenye soko la ajira na Dunia inayokuwa Kwa kasi...
  11. D

    SoC03 Ukosefu wa ajira

    UKOSEFU WA AJIRA "Tunateseka kupita kiasi Africa, Tusaidieni, Tunamatatizo Africa. Tumepoteza haki zetu kama watoto. Tuna Vita na maradhi, hatuna chakula dah! tunahitaji Elim na tunaomba mtusaidie kupata elim ili nasi huku tuwe kama ninyi." Ni ujumbe unao patikana katika miili ya Yoguine na...
  12. The Festival

    Namna Serikali inapaswa kupambana na changamoto ya ukosefu wa ajira nchini

    Ni matumaini yangu kwamba sote tuko poa. Kwa wale ambao wana changoto tunawaombea kwa Mola Mkuu awatatulie shida zao. Moja kwa moja kwenye jambo husika. Kupata job serikalini sio shughuli ndogo. Mbaya zaidi hilo ndio kimbilio na tumaini kwa vijana wengi. Pitia jukwaa la ajira na tenda utapata...
  13. O

    Tatizo la ukosefu wa ajira, makosa ni ya Serikali, Jamii au mtu mwenyewe?

    Katika jamii na taifa kwa ujumla kuna tatizo kubwa la ukosefu wa ajira. Watu wengi: waliohitimu mafunzo na wenye taaluma pamoja na wasio wahitimu pia wasio na mafunzo, hawana kazi za kufanya. Kwa vyovyote vile, hali hii si nzuri kwa ustawi wa mtu mmoja mmoja, jamii au taifa. Suala la kazi au...
  14. M

    Ukosefu wa ajira na umasikini unasababishwa na viongozi wa serikali wasio kuwa na maono

    Bila shaka mu wazima kabisa. Leo katika mizunguko yangu ya kusaka tonge,, nimepita barabara ya g/mboto... Nimeona wameanza Ujenzi wa barabara na vituo vya magari ya mwendo kasi,, wakati gari imesimama kwenye foleni nimetafakari mengi sana... 1. Nimeona wakandarasi wa kichina, hivi kwanini...
  15. Rashidi Jololo

    Kupanda kwa gharama za maisha kunachangiwa na Katiba Mbovu ya CCM. Vijana tutumie fursa ya mradi huu sasa

    Vijana wenzangu amkeni sasa, Maisha magumu, ukosefu wa ajira, kupanda kwa gharama za maisha na mambo mengine ya hovyo kabisa, chanzo chake ni KATIBA hii mbovu inayowanufaisha serikali ya CCM, viongozi wake na familia zao. Serikali ya CCM ni wanufaika wakubwa wa umasikini wetu na taabu nyingine...
  16. H

    Msaada: Natafuta kazi

    Hi, Kijana wa kazi yupo kwa muhitaji wa kijana wa kazi usafi wa mazingira kukata maua nyasi na kazi zingine za kusafisha mazingira. Kukaa kwa boss mshahara wa maelewano
  17. Sildenafil Citrate

    Makinda ashangaa wasomi wanaokula bure makwao

    Wakati kilio cha watu kukosa ajira hasa kwa vijana kikiendelea kushika kasi, Kamisaa wa Sensa Tanzania Bara, Anne Makinda, amesema kuna idadi kubwa ya wasomi wanaoishi kwa wazazi wao wakila bure kwa kutotaka kufanya shughuli za kuingizia kipato. Makinda ametoa kauli hiyo leo ijumaa, Septemba...
  18. Sildenafil Citrate

    Mchango wa Balozi za Tanzania kwenye kusaidia upatikanaji wa Ajira kwa Watanzania

    Naibu waziri wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amesema kuwa Balozi zinatafuta fursa za ajira kwa kuingia mikataba ya ajira nje ya nchi, pia kuhakikisha usalama na maslahi yao. Serikali kupitia TAESA inawezesha watanzania kuomba...
  19. Mtambo 1272019

    SoC02 Suluhu mbadala ya ukosefu wa ajira nchini Tanzania

    SULUHU MBADALA YA UKOSEFU WA AJIRA NCHINI TANZANIA Maana ya ukosefu wa ajira. Kwa maana ya kawaida na inayoeleweka na wengi. Ukosefu wa ajira humaanisha kitendo au hali ya mtu kukosa au kutokuwa na shughuli(kazi) rasmi ya kumuingizia kipato. Neno “ Ukosefu wa ajira “ imekuwa wimbo wa...
  20. D

    SoC02 Suluhisho la ukosefu wa ajira Tanzania

    Suluhisho la ukosefu wa ajira Tanzania. Utangulizi; Ukosefu wa ajira imekuwa tatizo kubwa Sana kwa nchi zinazoendelea na nchi yetu Tanzania ikiwa miongoni. Tatizo linaanzia kwa mfumo wa elimu unaowaandaa vijana wasomi namna ya kuja kukabili hii hali ya ukosefu wa ajira imekuwa haina tiba...
Back
Top Bottom