mifumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MURUSI

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Tuwekeze sasa kwenye mifumo ya uwajibikaji, tuache kutegemea mtu atutatulie shida zetu bali Mfumo ndio utatue

    TUJENGE MIFUMO YA UWAJIBIKAJI, KAMWE TUSITEGEMEE KUWA NA NAMBA ZA OCD AU ASKARI WA USALAMA BARABARANI. Taifa tunapaswa kuwekeza sasa kwenye mifumo imara ya uwajibikaji ili leo na kesho hata kama kiongozi hayupo basi mifumo ifanye kazi, tuweke mifumo tukifikiria kwamba kuna siku viongozi wote...
  2. H

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika miaka ijayo ni muhimu mifumo ya Tehama katika sekta Afya isomane kuanzia ngazi ya zahanati Hadi hospitali ya taifa

    Sekta ya Afya hapa Tanzania ni miongoni mwa sekta nyeti ambazo serekali imeweka mkazo katika kufanya maboresho ili kuweza kuboresha utoaji huduma Bora za Afya kwa watanzania. Baadhi ya mifumo ya Tehama ambayo hutumika katika sekta ya Afya ni kama vile " District health management information...
  3. IBRA wa PILI

    Naombeni darasa kuhusu hii mifumo ya simu ya sasa na zamani

    Mambo vipi wakuu hapa juzi Kati nilinunua simu ya redmi used note 12 5g ushauri alinipa mkuu Chief-Mkwawa hii simu nimeuza baada ya mwama mmoja kuja na dau kubwa zaidi ya lile nililo nunulia. Sasa kivumbi kipo hapa ambapo nimetoka kapa na nahitaji darasa kubwa Tu na wadau wengine pia watapata...
  4. Z

    SoC04 Matumizi ya taasisi za Mawasiliano na mifumo ya Kidijitali kama njia ya mawasiliano (kutoa taarifa) kati ya wananchi na viongozi

    UKUAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kunipa fursa ya kuchangia mawazo muhimu yatakayosaidia TANZANIA yetu katika miaka 5-25 ijayo, kupitia Jamii forums. Dunia ya sasa imetawaliwa na mifumo ya utandawazi kupitia teknolojia ya viwango vya juu ya matumizi ya mtandao...
  5. mwanamichakato

    Mapinduzi ya sheria na mifumo ya kodi kwa maendeleo

    Mamlaka ya Mapato wamekuwa wakijitahidi sana kukusanya mapato (kodi) kwa kutumia mbinu mbalimbali ili kufikia malengo ya mwezi na mwaka. Mpanuko wa mahitaji ya fedha katika nchi umekuwa ukiongezeka kila leo na kila mwaka, hivyo mahitaji ya fedha yamekuwa makubwa hata kupelekea nchi kukopa zaidi...
  6. E

    SoC04 Kutumia Mifumo ya Blockchain katika Usimamizi wa Ardhi na Hati za Umiliki

    Wazo hili linahusu matumizi ya teknolojia ya blockchain katika usimamizi wa ardhi na hati za umiliki ili kuongeza uwazi, usalama, na ufanisi katika sekta ya ardhi nchini Tanzania. Blockchain ni teknolojia ya kuhifadhi taarifa katika mfumo wa kidijitali ambao ni salama na haubadiliki. Kila...
  7. HYDROVENTURE

    Tunauza na kufunga pump za maji kwa ajili ya mifumo inayotumia nishati ya jua na umeme

    Furahia umeme wa nishati ya jua (Solar Energy) kwa gharama nafuu ambazo zitakupunguzia ulipaji wa bili kubwa za umeme,utumiaji mkubwa wa mafuta kwa ajiri ya uendeshaji wa pump za maji.Karibu tukufungie Automatic Power Backup System,Solar Pumping System za gharama nafuu kabisa. Tunapatikana...
  8. OMOYOGWANE

    Ukimaliza chuo ukakaa mtaani miaka mitano bila ajira, mifumo ya ajira serikalini inakutema

    Chukulia mfano umemaliza chuo mwaka 2015, 2016, 2017, 2018 na 2019 kishuka chini alafu jaribu kuomba ajira serikalini. Pitia vigezo vyote kabla ya maombi 😀 kivyovyote vile lazima kuna kigezo kimoja utakuwa haukidhi hasa hasa umri. Mfano Tangazo la ajira za polisi la juzi. Watu wamesoma...
  9. Rufiji dam

    Kwanini mifumo haisomani?

    Leo nilikuwa na kazi ya kupeleka TRA maombi yangu ya kufanyiwa makadirio ya kulipa kodi maana nimefungua kampuni na wenzangu. Karatasi zangu zote zipo kamili kasoro nakala za vitambulisho vya NIDA, Afisa wa TRA akapekua akaniuliza nakala ya NIDA nikawa sina. Lakini nikajiuliza hawa hawa TRA...
  10. Boaz simon

    Biashara ya mifumo simamizi ya shule

    Ndugu zangu , Naitwa BOAZ SIMON BIGARAGU Niko iringa kwa sasa naomba kushare ujuzi wangu kwenu juu ya biashara ninayoifanya ya kuuza mifumo simamizi ya uendeshaji wa shule. Nina mifumo ya simamizi ya shule ya aina mbili, ninayo school management system kwa upande wa secondary na kwa upande wa...
  11. EDIGAR IC

    SoC04 Mageuzi ya mifumo ya Elimu tuondokane na unyonyaji kwa wakulima

    Inafahamika ni gharama sana kwa sisi kuanzisha mitaala yetu ,lakini ni dhahiri na ni wazi kuwa tutakapo iianzisha na kuisimamia itakuwa ni yenye Tija. Tuanze na ★★Elimu ya Sekondari ya juu yaani kidato cha tano na sita. Wazazi ambao wengi ni wakulima hipa ada. Vijana hao wakifauru huendelea...
  12. H

    SoC04 Umuhimu wa mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa Udhibiti wa Mifumo ya TEHAMA ya Taasisi, Mashirika ya Umma

    UTANGULIZI: Mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa udhibiti wa mifumo ya TEHAMA (General Intergrated Control of IT systems) ni mfumo wa pamoja utakaosimamia na kudhibiti matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika taasisi au mashirika ya umma kwenye utendaji wa shughuli zao. Mifumo hii itakayodhibitiwa naweza...
  13. ACT Wazalendo

    Hoja Sita za Kutaka Mabadiliko ya Mifumo ya Uchaguzi, Haki na Kulinda Rasilimali za Nchi

    Uchambuzi wa ACT Wazalendo kuhusu mpango wa bajeti wa Wizara ya katiba na sheria kwa mwaka wa fedha 2024/25. Utangulizi. Tarehe 29 April 2024 Wizara ya katiba na sheria iliwasilisha hotuba ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Bunge liliijadili na kuidhinisha kiasi cha Shilingi Bilioni...
  14. James Hadley Chase

    TTCL kufanya maboresho ya mifumo

    Nimepita mtandaoni huko nimekuta hili shirika limeweka tangazo kwamba kutakuwa na maboresho leo usiku kuanzia saa 6 mpaka tarehe 28. Maboresho hayo yatahusisha T-PESA, data(mliofunga faiba mjiandae kisaikilojia) SMS, kupiga simu, kununua salio, kutuma na kupokea pesa,
  15. Z

    Mbunge Musukuma ashauri V8 za Mawaziri zifungwe mitungi ya gesi ili kubana matumizi

    Mbunge wa Geita Msukuma ameishauri serikali Kufunga mitungi ya gesi kwenye magari yote ya mawaziri ili kubana matumzi. Ameyasema hayo leo hii 25/04 Bungeni wakati akichangia Bajeti ya wizara ya nishati. Kwa sasa magari ya mawaziri, gari moja yaani V8 ikitoka Dar kwenda Dom inatumia laki 5...
  16. Roving Journalist

    Ripoti kuu ya Mwaka ya Ukaguzi wa Mifumo ya TEHAMA ya mwaka wa Fedha 2022/23

    Taarifa ya Jumla ya Mwaka kuhusu ukaguzi wa mifumo ya TEHAMA kwa mwaka wa fedha 2022/23 imetolewa kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, sura ya 418. Taarifa hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi...
  17. Victor Mlaki

    Mikopo umiza, kausha damu ni matunda ya mifumo ya kibenki iliyojaa urasimu

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kwenye vyombo vya habari madhila wayapatayo wakopaji wa taasisi za mikopo midogomidogo hususani akina Mama inaonekana sauti ya vilio ni kama imepanda zaidi. Kwanza kabisa taasisi hizo pamoja na kupewa jina baya kana kwamba zinakosea sana ni zao la mifumo mibovu...
  18. Ritz

    Muda mfupi uliopita, IOF iliamua kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga kutokana taarifa za Iran kushambulia

    Wanaukumbi. 🚨 Muda mfupi uliopita, IOF iliamua rasmi kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga "kutokana na hali ya usalama." Kwa saa kadhaa, jeshi la anga na ulinzi wa IOF vimekuwa katika hali ya tahadhari na tayari kabisa, wakihofia jibu la Iran kwa shambulio la IOF la...
  19. N

    Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

    Chukulia mfano suala la sex, ile ni starehe ya wote lakini dunia imekua brainwashed kwa kuaminishwa mwanaume anafanyiwa favor ambayo in return inatakiwa kulipia posho, hii posho ya sex wadada wa mjini siku hizi wanaiita matunzo. Mambo yapo ivyo karibu kila nyanja zinazohusu masuala ya kijinsia...
  20. Z

    Duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi

    "Uko duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi pindi wanapograduate. Na hii inatokana na mifumo mizuri ya uendeshaji inayozingatia upatikanaji wa mda kwa mwanachuo kujitafuta nje ya ratiba ya masomo yake. "Huku kwetu, nmekutana na kijana mmoja...
Back
Top Bottom