viongozi wa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Kauli ya Rais Samia inaonesha Makonda kapewa baraka kuwaongoza viongozi wengine wote!

    Tunadhani hii case closed! Wengi ndani na nje ya CCM mmekuwa mkihoji kwa nini Mwenezi wa CCM Paul Makonda amekuwa akifanya ziara na misafara mirefu kuliko hata PM na Naibu PM. Katika ziara zake amekuwa akisikiliza kero za wananchi na kuwapigia simu papo kwa papo Waziri au Mkurugenzi na kutoa...
  2. Poppy Hatonn

    Viongozi wa serikali wanatukanana kama wahuni wa Kariakoo

    Labda ipo njia ya kistaarabu zaidi ya kuandika haya mambo. Tunashangazwa wote nadhani katika haya maneno yanayosemwa kati ya Katibu Mwenezi Makonda na Waziri Bashe. Na pia wapo wengine. Haya ni mambo mabaya. Kama Mbunge Gwajima alivyokuwa anasema jana kwamba mtoto wa tajiri wa Unguja alitoweka...
  3. Makamura

    Majaji, Viongozi wa serikali, Magari ya Jeshi yanaongoza kwa kuvunja Sheria za Usalama barabarani

    Katika watu wanaopaswa kutii sheria za barabarani ni Watu hawa, Majaji, Jeshi, Viongozi wa serikali, ila katika nchi yetu hii ipo tofauti sana, yan wanaongoza kuvunja sheria mnoo, bila hata sababu za msingi, na hata zingekwepo hawakupaswa kuvunja sheria. Unakuta wanapita Njia ya magari ya...
  4. S

    Matajiri wakubwa Tanzania si wafanya biashara bali ni wanasiasa, viongozi wa serikali na ndugu zao, kuonyesha kwamba kuna kitu hakipo sawa

    Ni kawaida kwamba katika nchi nyingi matajiri wakubwa utakuta ni wafanya biashara, lakini sio Tanzania. Kwa sasa wanaoongoza kwa kuwa matajiri wakubwa Tanzania ni wanasiasa waliopo madarakani au waliokuwa madarakani huko nyuma. Halafu wanafuatiwa na viongozi wa serikali, pamoja na ndugu zao...
  5. Erythrocyte

    TEC yashauri Viongozi wa Serikali wasiwe wasimamizi wa Uchaguzi

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu wa TEC Padri Kitima, leo 8/01/2024 Ametoa maoni ya Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki ndani ya Bunge la Tanzania, kama Mchango wa Kanisa hilo kwenye Miswada ya Sheria za Uchaguzi. TEC imesema kwamba Viongozi wa Serikali hawapaswi na iwe mwiko kwao...
  6. G Sam

    Kinana: Nakemea viongozi wa chama wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani

    Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara ndugu Abdulrahaman Kinana amekemea baadhi ya viongozi wa CCM wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani. Kinana amesema badala yake wanatakiwa kutumia vikao halali vya chama kufikisha ujumbe wao. Jiwe hili limerushwa.
  7. D

    Nashauri kwenye majanga viongozi wa serikali wafike mwisho; wataalam wapewe vipaumbele kwanza

    Wakati wa majanga kumekuwepo na kasumba viongozi kutangulia na makamera yao wakielekeza wataalam namna ya kufanya uokoaji! Hii haina afya kabisa! Kwa waliosomea elimu ya majanga watanielewa! Wakati wa majanga ingekuwa vyema zaidi wataalam wetu wangepewa nafasi ya kuonesha utaalam wao...
  8. Annie X6

    Karma can skip you and hit your kids. Viongozi wa serikali wenye imani hii inawahusu

    Ofisi ya Tais Tamisemi ina viongozi kama ngozi, kazi yao kulinda maslah ya wajuu yao. Ngozi kazi yake kubwa ni kukinga, hicho ndicho wanachokifanya watu wa Tamisemi. Ukiangalia idara za afya , elimu, ujenzi nk kazi yao ni kuweka limit nothing more than just keeping and helping leaders...
  9. Totozee

    Viongozi wa Serikali mjitafakari

    Siku hizi mjini Kuna kasumba ya viongozi wetu wanasiasa, kazi Yao ni kukera wananchi. Nasikitiswa na hivyo vitendo wanavyovifanya. Kuna serikali ya awamu ya Nne, Tano na Sita. Asilimia 98 ya watendaji ni wale wale, yaani ndio waliotenda hizo awamu zote. Lakini kinachosikitishwa ni kuwa madudu...
  10. Girland

    Magari ya viongozi wa Serikali na afya za wananchi wa Tanzania kipi muhimu?

    MASIKINI ATABAKI KUWA MASIKINI na tajiri atatajirika zaidi aliimba msanii Jaguar toka Kenya. Msemo huu unaonekana kukita mzizi nchini Tanzania. Tanzania inatumia bilioni 558 kwa mwaka kununua magari ya viongozi! Hatujapigia mahesabu gharama za vipuri,matengenezo na mafuta ya bure wanayopewa...
  11. R

    Mabadiliko makubwa ya viongozi wa serikali yakamilika; yatawagusa pia viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama

    Serikali inategemea kufanya mabadiliko makubwa kiutendaji hivi karibuni; mabadiliko hayo yataenda sambamba na kuwafuta kazi baadhi ya viongozi waliokwama kufanya kwa ueledi na viongozi wa vyombo vya dola. Lengo ni kuleta sura mpya za vijana watakaozitafsiri kwa vitendo 4R za Mhe.Rais Sambamba...
  12. I

    Viongozi wa Serikali siyo wazazi wetu bali ni watumishi wa umma

    Nimeona clip ya Nape Nauye akifoka na kumwambia Tundu Lissu amuheshimu Rais Samia kwa kuwa ni mama yake. Sawa hatukatai kuwa kila mtu anastahili heshima na si viongozi tu wa serikali na kisiasa. Kosa kubwa ni pale machawa wa viongozi wanataka chawa wao wasikosolewe wala kofokewa wanapofanya...
  13. GoldDhahabu

    Viongozi wa Serikali Wana nia ya kulitoa nchi kwenye umaskini?

    Wakati mwingine nahisi kukasirika! Hivi ni kweli viongozi wetu wanachukizwa na umaskini uliopo nchini? Angalia posho wanazolipana! Zinaendana na hali ya kiuchumi ya nchi? Angalia magari ya anasa wanayoyanunua kwa ajili ya matumizi ya watumishi wa Serikali! Wangeyanunuua kama wangetakiwa...
  14. G

    SoC03 Kuimarisha Utawala Bora kwa Kupunguza Ushirikiano wa Kisiasa katika Uteuzi wa Viongozi wa Serikali

    Mfumo wa uteuzi wa viongozi wa serikali umekuwa na changamoto kubwa nchini kwetu. Mara nyingi, uteuzi hufanywa kwa misingi ya uhusiano wa kisiasa au urafiki badala ya uwezo na uzoefu wa mgombea. Hii imepelekea kuwepo kwa viongozi wasio na uwezo wa kusimamia vizuri masuala ya umma na kusababisha...
  15. G

    SoC03 Kuweka Wazi Mfumo wa Uteuzi wa Viongozi wa Serikali na Kuimarisha Utawala Bora

    Katika nyanja ya Uongozi, kumekuwa na changamoto kubwa katika mfumo wa uteuzi wa viongozi wa serikali. Mara nyingi, uteuzi hufanywa kwa misingi ya uhusiano wa kisiasa au urafiki badala ya uwezo na uzoefu wa mgombea. Hii imepelekea kuwepo kwa viongozi wasio na uwezo wa kusimamia vizuri masuala ya...
  16. I

    Viongozi wa serikali mliopo Karimjee, yatafakarini matendo katika kuwatumikia wananchi mkiendelea kumuaga Bernard Membe

    Ninafuatilia kwenye runinga tukio la kuuaga mwili wa aliyekuwa mtumishi wa serikali na mwanadiplomasia mbobezi ndg Bernard Membe. Ninawiwa kuwaasa viongozi wetu wa serikali, bunge na mahakama mliopewa dhamana ya kulitumikia taifa letu, kulitazama jeneza la aliyekuwa kiongozi kama ninyi mlivyo...
  17. Roving Journalist

    Ripoti UN: Viongozi wa Serikali na Jeshi wanahusika na Mauaji, Ubakaji

    Ripoti ya Wataalamu wa Haki za Binadamu kutoka Umoja wa Mataifa (UN) imebaini baadhi ya Maafisa wa Serikali ya Sudan Kusini wamekuwa wakifanya Unyanyasaji Mkubwa dhidi ya Raia ikiwemo Kushambulia, Kujeruhi, Kuua na Ubakaji. Pia, Ripoti imesema Serikali haijaonesha kuweka uzito katika kudhibiti...
  18. M

    Viongozi wa CCM na Serikali mnajisikiaje mkiuona uwanja wa Azam Complex?

    Yaan ina tia hasira na pia inahuzinisha, mnashindwa ingia ubia na wamiliki wa Ccm wanaomiliki viwanja vingi mapato yakaenda halmashauri kwenye mgawanyo? hao waarabu wanaotunyanyasa ubora wa viwanja vyao unachangia. Huku mnaweza fanya kitu kizur kikatutambulisha watanzania. Hata mashindano yenu...
  19. K

    Rais Samia: Viongozi wa Serikali mjitathmini

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Serikali kujitathmini kwa nafasi zao kama wana maadili ya uongozi. Rais Samia amezungumza hayo alipofanya mkutano wa faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC)...
  20. Mtuturas

    Viongozi wa serikali, taasisi futurisheni kipindi cha mfungo wa Kwaresma

    Imekuwa kawaida kipindi cha Mfungo wa ramadhani viongozi wa serikali, taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kufuturisha. Sasa basi ili kuondoa dhana ya upendeleo au double standard ni vyema basi katika kipindi hiki cha Mfungo wa Kwaresma basi futari ikaandaliwa pia na taasisi hizo. Ni...
Back
Top Bottom