Rafiki yangu mpendwa,
Kwenye harakati za kujenga utajiri na uhuru wa kifedha, huwa ni rahisi sana kujisahau kuyaishi maisha.
Ni mpaka pale mtu anapofikia lengo alilokuwa nalo ndiyo anagundua hapati furaha aliyotegemea angeipata.
Tatizo siyo kwamba utajiri na uhuru a kifedha hauleti furaha...
Je, ulipo kuna umeme?
Umeme umekatika saa 8 na dk 39 usiku huu na watu wengi sana wanasema makwao hakuna umeme
Tusubirie walete zile ngonjera za hitilafu kwenye grid hili shida halina staha kabisa tena limekosa haya na stara ya kuitwa shirika.
Ni uhayawani wa hali ya juu na umajinuni mkubwa...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari.
Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na...
Shalom,
Katika maisha enenda kwa namna njema na ipasayo hasa katika mtazamo wa kibinadamu na katika Mungu, heshimu watu, salimia watu usivimbe na usijione una mpenzi mzuri na uko level za juu.
Kisa kiko hivi nina jirani yangu dogo mmoja hivi ni Mhaya(Ishomile) kama kawaida mimi mama yangu ni...
Wakuu,
Hali ya mvua ndio kama tunavyoona, imekubali kwelikweli? Hali ikoje eneo lipo? Tupeane updates ya eneo uliko na kama unahitajika msaada wa haraka toa taarifa maepma kuepusha maafa zaidi.
Mazingira unamoishi ndo yanafanya baadhi ya vitu uvifaidi vikiwa fresh ilihali sisi wengine inabidi tusubiri vitufikie tununue Kwa pesa nyingi.
Mimi binafsi napoishi na ninapofanyia kazi ni karibu kabisa na ufukwe wa Bahari yetu ya Hindi ni kama mita 200 tu kugusa Beach haihitajiki usafiri...
Habari sisi ni kampuni tuliobobea kwenye utengenezaji wa Computer, na kutoa huduma za ki ICT kwa bei rafiki. Karibu tukuhudumie huduma zetu zipo kwenye hiki kipeperushi chetu. Karibu tukuhudumie.
Wakati tunashangaa wabunge kupata mshahara mkubwa.
Mnabidi kujua pia mbunge anahesabika Kama diwani katika Eneo lake mfano katika municipal yake anayotokea.
Hivyo Asali imeshafika kwa waheshimiwa madiwani kwahiyo Mbunge ananufaika pia na marupu rupu ya udiwani.
Asalaam,
Well, mimi ni mfanyabiashara ambaye nina milling machine nyingi kiasi. Sasa saivi natafuta masoko ya pumba sehemu mbalimbali nchini.
Nisaidieni wafugaji kuniambia bei za pumba huko kwenu inafikia kiasi gani nione kama kuna uwezo wa kufanya business expansion kidogo.
Natanguliza...
Tusikwepe ukweli kwamba kipindi cha mfungo wa mwezi Mtukufu Ramadan, kimekuwa ni kipindi kinachokuja na neema ya unafuu wa maisha kwa jamii hususani hata wale wasiofunga yaani Wagalatia na wasio na dini.
Unafuu wa maisha unatokana na kwamba, Wachuuzi wengi wanachuma rehma na fadhila zitokanazo...
Challenge.
Binafsi ungepata nafasi ya kuchagua uzaliwe wapi na race gani ?
- Je, unge chagua kuzaliwa katika hiyo race uliyopo ?
- Je, ungechagua kuzaliwa katika hilo eneo ulilopo( nchi & bara ) ?
Binafsi hapana kwa maswali yote. Wewe je ? Na sababu zako zingekuwa ni zipi ?
JISAJILI SASA UWT - KIGANJANI KWAKO
Jisajili kuwa MWANACHAMA WA UWT kwa kutumia Simu Janja (Smart phone) Yako popote ulipo mkononi Kwako.
#UWTJisajiliKidijitali
Pasipo kujali umri wako,
Una watoto wangapi,
Kuna watangulizi wangapi,
Una komwe,
Nakuhakikishia, unatembea na nusu ya moyo wangu, fanya hima nipate ukombozi🌹🍎💔
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo.
“Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana...
Muwe na alasiri njema!
====
Moshi/Arusha. Sukari inakwenda wapi? Ni swali linaloumiza wengi, huku wakazi wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wakitaka vyombo vya usalama kuchunguza biashara hiyo, wakisema licha ya bidhaa hiyo kuingizwa sokoni, bado bei imesimama kati ya Sh3,500 na Sh4,000...
Hello, kwa wale wanaohitaji Rozela (maua ya choya) kiasi chochote kile nafanya delivery. Mimi napatikana mkoa wa Dodoma mahali ambapo rozela inalimwa kwa wingi, ikiwa unahitaji na uko mkoani nitakutumia kwa uaminifu.
Au kama una ndugu, jamaa au rafiki yako anayeishi Dodoma unaweza kumtumia yeye...
Natumaini mmeamshwa salama.
Karibuni mnitume samaki toka mwanza sangara, sato (wabichi au waliokaangwa) na dagaa waliokaangwa wakiwa wabichi. Kwa wanaohitaji wabichi mara nyingi wanatumwa kwa ndege.
Moja kwa moja mimi siuzi samaki direct ila natoa huduma ya kwenda kumnunulia mteja samaki au...
Kuna matunda ya asili mengine yanapatikana kwenye maeneo fulani tu, unakuta umekua ukiyala na baada ya kuondoka hapo kwenda sehemu nyingine huyaoni tena.
Leo nimekaa nimeyakumbuka matunda ya kwetu yanaitwa ndati, sema siwezi yapata hadi nirudi kwetu, ila ili kupoza moyo nitaenda sokoni kutafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.