kero za muungano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Uhasama wa Tanzania bara na Zanzibar unazidi kukua na utaleta madhara makubwa kama yanayosemwa hayatashughulikiwa

    Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota mizizi, majani ya chuki yakizidi kuchanua. Ni kiongozi mjinga tu asieweza kuona kwamba jinsi haya...
  2. Ileje

    CCM na Muungano vyote havitakiwi na Wazanzibari; kwa nini wanalazimishwa?

    Wazanzibari kwa umoja wao wanataka utaifa wao utambulike kimataifa, wanataka sarafu yao, wanataka makabila yao na wanataka ardhi yao. Wazanzibari wanataka Zanzibar na siyo Dodoma na wanataka vyama vyao vya kisiasa na siyo hivi vya kubambikiwa. Wazanzibari wanataka uhuru wao! Hamsikii?
  3. N

    Vyama 11 vya Siasa vyalaani kauli za Tundu Lissu

    Kauli za hivi karibuni za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, Vyama 11 vya Siasa Zanzibar vimelaani vikali kauli hizo ambazo wanadai kuwa ni kauli za Kebehi na uchochezi zinazolenga kuleta ubaguzi kwa Watanzania kupitia Muungano wa Tanganyika na...
  4. bitare

    Kwanini Tanganyika iliuhitaji zaidi Muungano kuliko Zanzibar?

    Kwamaelezo ya Tundu Antipasi Lisu aliyoyatoa kwenye mikutano yake ya hivi kalibuni niwazi kua Tanganyika iliuhitaji zaidi muungano kuliko Zanzibar, ndiomana tukawa tayali kuingia hata hasara ili tuu tuungane. Ikumbukwe baada ya muungano Tanganyika ikafa, Zanzibar yenyewe ipo, Mtanganyika...
  5. OLS

    Kuna kero za muungano au muungano ni kero?

    Muungano ulioasisiwa na Karume na Nyerere ni tofauti sana na muungano tunaouona leo. Maana baada ya muda tayari tunawaza uwepo wa Tanganyika baada ya kuona uwepo wa Zanzibar. Wakati awali Karume alikuwa makamu wa Rais, leo Zanzibar ina Rais kamili na ina makamu wako. Na hiki ndicho chanzo cha...
  6. Mjanja M1

    Tanesco yatangaza hitilafu, Mikoa iliyoungwa Gridi ya Taifa kukosa umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo. “Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana...
  7. BIG THINKER

    Vuguvugu la Muungano taratibu linaanza kupata joto

    Niliwahi kusema Muungano wa Tanzania una makosa na mapungufu mengi kiutekelezaji tunakoenda tutake tusitake utavunjika kama hautafanyiwa mabadiliko kufatia kero za kimuungano zilizopo. Mfano; 1. Mzazibari anaweza kumiliki ardhi bara lakini mtanganyika Hilo kwa Zanzibar haliwezekani. 2...
  8. M

    Chenga ya mwili: Walininukuu vibaya, sikusema nyongeza ni asilimia 23.3 kwa kima cha chini bali nyongeza ni sh 23,300/= kwa kima cha chini!

    Kama nyongeza kwa kima cha chini ni sh 23,300/= maana yake nyongeza inapungua kwa kadri mshahara unavyokuwa mkubwa hadi nyongeza inakuwa chini ya sh 10,000/=. Na ndivyo watumishi mlivyopata kwenye mishahara yenu! Bila shaka sasa nimeeleweka!
  9. M

    Kero za Muungano: Ni wakati muafaka kwa Wazanzibari kufanya Referendum

    Nafikiri niwakati sasa umefika Zanznibar wafanye referendum kwamba wanataka muungano Ndio/Hapana. Baada ya hapo ndo tutakuwa na jibu sahihi la kupata ufumbuzi wa kudumu wa hiki tunachoita muungano.
  10. W

    Ni nafasi adhimu kwa Zanzibar kuitumia kutatua kero za Muungano

    Ndugu zangu, kwanza nitoe pole kwa wote kufuatia kifo cha Raisi wetu mpendwa. Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye mada, kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 37(5) Makamo wa raisi, mama Samia, ndiye atakaye kuwa raisi wetu kwa kipindi chote kilichobakia kuelekea...
  11. Kakke

    Sheikh Karume angeshauvunja Muungano

    _Na Ahmed Rajab_ TUNAUHITIMISHA mfululizo huu wa makala matatu kuhusu Zanzibar baada ya kupinduliwa wa serikali huru ya Zanzibar Januari 12, 1964 kwa kuuangalia Muungano ulioundwa baina ya Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, mwaka huo. Licha ya kuwa hai kwa miaka 55 hakuna asiyetambua kwamba...
  12. Rev. Kishoka

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe. Lakini imekuwa ni dhambi, tena yenye sumu kali kwa mtu yeyote kuhoji au kutaka kuuchambua Muungano huu. Lengo langu si...
Back
Top Bottom