UWEPO WA KIMBUNGA “IALY” KATIKA BAHARI YA HINDI KASKAZINI MWA MADAGASCAR
Dar es Salaam, 17 Mei 2024:
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar.
Mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga...
MHE QS KIPANGA SHIDA ZENU SHIDA ZANGU KIMBUNGA HIDAYA MAFIA
KILINDONI MAFIA
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga amewaambia wananchi wa mafia kata ya Kilindoni Kijiji Cha kilindoni Vitongoji kumi na moja kuwa shida zao shida zake juu ya majanga ya Kimbunga...
Kimbunga Hidaya kimeshafika kwenye pwani yetu. Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA walitoa tahadhari ujio wa kimbunga hiko kwenye pwani ya mashariki.
Uzi huu ni maalumu wa kushare matukio, picha na video za maeneo yaliyopitiwa na kimbunga hiki cha HIDAYA.
Lengo ni kupashana taarifa na kuzisaidia...
Dar es Salaam, 04 Mei 2024 saa 12:00 Asubuhi:
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo karibu na maeneo ya pwani ya nchi yetu.
Hadi kufikia saa 9 usiku wa kuamkia leo, Kimbunga “HIDAYA” kilikuwa katika eneo la bahari takriban...
Ndugu zangu!
Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa.
Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa 'statement' inaonesha kuwa michango yao haijafika PSSSF licha ya kuwa 'salary slips' kusoma kuwa...
Mamlaka ya hali ya hewa imetutadhalisha juu ya janga la kimbunga hidaya kinachowasili hapa nchini hivi karibu
Binafsi sielewi ni tahadhari zipi nichukue
1. Tusisogelee maeneo ya bahari?
2.Tusiwe kwenye misongamano ya watu?
3. Tusikae milimani?
4. Tuandae chakula cha kutosha?
5.mavazi yaweje...
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
Kufuatilia hali ya kimbunga hiki mubashara bofya hapa: Live Weather Satellite Map | Zoom Earth
====
Pia soma: TMA...
UWEPO WA KIMBUNGA “HIDAYA” KATIKA BAHARI YA HINDI MASHARIKI MWA PWANI YA MTWARA
Dar es Salaam, 02 Mei 2024:
Kufuatia taarifa iliyotolewa jana tarehe 01 Mei, 2024 na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusu uwepo wa mgandamizo mdogo wa hewa katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya...
Habari wadau,
Mganga wa kienyeji maarufu kwa kunywa damu za paka. Dr manyau nyau agundulika mbinu yake ya utapeli.
Akiwa anafanyiwa mahojiano na mtangazaji wa global online tv. Dr manyau nyau alitaka kuonesha mbwembwe kwa mwandishi huyo wa habari kwa kumuambia asalimie majini yake na aone...
10 October 2023
Kampala, Uganda
OPERESHENI KIMBUNGA YA TANZANIA YAFIKISHWA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI
Operesheni Kimbunga yasababisha serikali za Tanzania na Uganda, kushitakiwa mahakamani. Mwesigwa Rukutana & Co. Advocates pamoja na OSH Advocates mawakili wa walalamikaji 1240...
Mamia ya watu tayari wameshakufa huko nchini Libya karibu tu na Morocco ambako maelfu nako wamekufa kutokana na tetemeko la ardhi.
Vifo vilivyoripotiwa Libya ni upande wa Benghazi ambako kumetokea maporomoko ya bwawa baada ya kimbunga kiitwacho Daniel kuikumba nchi hiyo ya kaskazini ya Afrika...
Mamlaka ya huduma za dharura na zile za usalama zimewataka raia na wageni mjini Makkah kuchukua tahadhari husika ili kujilinda na dhoruba ya upepo mkali, mvua na mafuriko iliyoikumba mji huu wa Mecca
https://m.youtube.com/watch?v=ccpdPw-1T6E&pp
Heaven has fallen on Mecca! People are blown away...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni "view point" pamoja na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
Ripoti ya Polisi imeeleza watu wengi wamepotea kwenye matope baada ya Dhoruba ya kimbunga, licha ya kutumia mbwa katika msako wa kuwatafuta bado imekuwa ngumu, hivyo wanaamini inawezekana wamepoteza maisha.
Ripoti imeeleza baada ya msako wa siku 17 bado imekuwa ngumu kufanikisha zoezi hilo na...
It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.
Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi.
Ahsante Mama kwa Jambo hili.🙏
Idadi hiyo inajumuisha Vifo vilivyotokea tangu Kimbunga hicho kilipoingia Barani Afrika Februari 2023 ambapo watu 326 ni kutoka Malawi, 53 kutoka #Msumbiji na wengine 27 kutoka #Madagascar.
Wizara ya Maliasili na Mabadiliko ya Hali ya Hewa imesema licha ya dhoruba kutoweka, bado Mvua kubwa...
Idadi ya waliofariki upande wa #Malawi ni 99 na 10 kwa Msumbiji wakati 16 wakiwa hawajulikani walipo Nchini Malawi.
Inaelezwa kutokana na mvua kubwa inayoambatana na upepo mkali zaidi ya nyumba 300 zimeathiriwa wakati idadi ya watu walioathiriwa na Kimbunga hicho ni 1,350 Kusini mwa Malawi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.