vyoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mjingamimi

    Serikali fanyeni ukaguzi kwenye vyoo vya shule

    Habarini ndugu members? Mimi ni mwananchi wa kawaida ninayeishi bagamoyo. Nina kero nataka kuileta kwenu. Ni kuhusu vyoo vya shule za sekondari na msingi. Hali ni mbaya sana vyoo vimejaa, vinanukaaa hata ukipita nje, hakuna maji, wanafunzi ni wengi vyoo vidogo. Sijajua kwanini uwa hamfanyi...
  2. U

    Expert, naomba kujua ni kampuni gani Ina vyoo imara vya kuchuchumaa

    Kwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa nikashindwa ninunue vya kampuni gani . Nikasema kwakuwa jamii forum Kuna jukwaa ambalo wapo watu wamesomea...
  3. B

    Si uungwana kuandika matusi kwenye vyoo vya umma

    Wadau poleni sana na mihangaiko ya Jumamosi. Kuna hili la kuandika matusi na maneno ya kejeli kwenye vyoo vya kulipia, unakuta ukutani pale pameandikwa matusi makubwa na maneno ya kejeli, kiukweli huu si uungwana kabisa. Swali langu ni kwamba wanaosimamia hawaonagi au wameridhika wateja wao...
  4. A

    KERO Ubovu wa miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma Ndaki ya Sayansi ya Kompyuta na Elimu Angavu

    Mimi ni mwanafunzi wa UDOM college of informatics and virtual education(CIVE). Hali ya miundombinu ya college hii ni mibovu sana na hatarishi kwa afya hususani vyoo. College ya CIVE ina jumla ya blocks 6, tatu katika hizo sita ni mbovu kupindukia. Block moja zima unaweza kukuta vyoo(matundu)...
  5. R

    Maajabu ya vyoo vya umma!

    Salaam, Shalom!! Nimewahi kuwa kiongozi wa wanafunzi katika shule Moja katika Moja ya mikoa ya nyanda za juu kaskazini, Mbali na matumizi mabaya ya vyoo vya shule, Kuna jambo Moja ambalo Hadi Leo sijawahi kujua lilitokana na nini, Yaani unaingia chooni, unakutana na gunzi la muhindi...
  6. Roving Journalist

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara: Baadhi ya Wananchi wa Kisangaji (Babati) hawataki kujenga vyoo wanajisaidia porini

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sengida amejibu hoja ya Member wa JamiiForums.com aliyedai Wilaya ya Babati, Kata ya Magugu, Kijiji cha Kisangaji kuna Ugonjwa wa Mlipuko wa Kipindupindu lakini Serikali haisemi. Kusoma hoja ya member ipo hapa - Serikali iweke wazi Ugonjwa uliopo Kijiji cha...
  7. Roving Journalist

    Dar: Mlinzi wa Kanisa anayetuhumiwa kumlawiti Mtoto Muimba kwaya kwenye vyoo vya Parokia apandishwa kizimbani

    Mtuhumiwa Baraka Benedicto ambaye kabla ya kutiwa mbaroni alikuwa mlinzi katika Kanisa Katoliki la Sinza, Parokia ya Bikira Maria Mama Mwokozi-Sinza, amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka moja la kumuingilia mtoto kinyume na...
  8. Mjanja M1

    Spika Tulia: Tusijadili masuala ya vyoo Bungeni

    "Wabunge hapa wameuliza kuhusu vyoo na wewe (Naibu Waziri Dugange) kwenye majibu yako ukatoa majibu, nafikiri kwa nchi yetu tulipofikia ni mahali ambapo hatutakiwi kuwa tunazungumza vyoo kwenye zahanati, choo kimoja pale vyoo viwili pale, serikali inafanya kazi sana na hakuna sababu ya kujadili...
  9. Roving Journalist

    Madai ya Mlipuko wa Kipindupindu Simiyu, RC asema ‘Ni Ugonjwa wa Matumbo, tumewapiga faini Wananchi wasio na vyoo’

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amezungumzia madai ya uwepo wa mlipuko wa maambukizi ya Kipindupindu katika Wilaya ya Bariadi Mkoani hapo akisema kuwa kilichotokea ni magonjwa ya tumbo na tayari Serikali inachukua hatua kisha akatoa ushauri kwa Wananchi. Amesema hayo siku chache...
  10. BARD AI

    Hali ya chemba za majitaka Kariakoo ni mbaya, Utapishaji Vyoo unafanyika kiholela

    Nimepita Kariakoo leo kwakweli hali ya Miundombinu zikiwemo Barabara za Mitaa na Chemba za Majitaka ni mbaya inatia kinyaa na Mamlaka zinaendelea kukusanya Kodi pale kama hazioni. Mbaya zaidi Chemba zimepasuka katika maeneo ambayo watu wanalazimika kutembea kwenye uchafu unaotoka katika mitaro...
  11. Dr Matola PhD

    Vyoo vya abiria Stendi ya Msamvu Morogogoro vinasikitisha, mamlaka husika zitembelee kujionea

    Kwakweli Watanzani tunasikitisha Sana, sijui Sisi ni kitu gani ambacho tunaweza kufanya kwa umahiri? Leo alfajiri nimepita na bus stand ya Msavu Morogoro nikitokea masafa ya mbali, basi ikatangazwa kuchimba dawa nikasema ngoja niende nikatowe maji yaliyobaki kwenye blada. Basi kufika mlangoni...
  12. A

    DOKEZO Vyoo vya Hospitali ya Vijibweni Kigamboni ni vichafu na vimechoka kuliko maelezo

    Hospitali ya Vijibweni Kigamboni ndani ya Dar es Salaam kuna kero ya vyoo ambayo ni hatari kwa watumiaji. Vyoo hivyo vya ni vichafu kwa ndani, vinanuka harufu kali mno kuna uchakavu mwingi pia sasa ni zaidi ya miezi mitatu hakuna taa za chooni na chache zilizopo haziwaki, kila nikienda hapo...
  13. Miss Zomboko

    Tanzania imekuwa na ongezeko kubwa la watu wanaotumia vyoo bora kutoka asilimia 21 Mwaka 2016 hadi asilimia 74.8 Mwaka 2022

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Tanzania imekua na ongezeko kubwa la watu wanao tumia vyoo bora kutoka asilimia 21 mwaka 2016 hadi asilimia 74.8 mwaka 2022 ambapo ni hatua chanya ya kufikia lengo la 6.2 la Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Dunia ya 2030 “Sustainable Development Goals”...
  14. F

    DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

    Nimehitimu chuo kikuu cha Dodoma hivi punde, lakini mazingira tuliyokuwa tunaishi pale chuoni hakika yanasikitisha. Colleges nyingi za pale UDOM kuna changamoto kubwa ya usafi chooni na ukiachilia mbali suala la usafi ila maintenance kwenye vyoo vya UDOM ni hovyo kabisa. Wanafunzi wanalipa ada...
  15. T

    Vyoo vya stendi ya Kahama ni vichafu sana na hatari kwa Afya

    Ninaomba nikufikishie hii kero iliyoko Stand ya Mabasi - Kahama mjini. Pamoja na kuwepo choo bora cha manispaa, bado kuna vyoo hatarishi (kama hiki) kwa afya za Watanzania na wasafiri wanaotumia stand hii ya Kahama. Nimeambatanisha picha hapa chini kama ushahidi. Mamlaka husika tunaomba mchukue...
  16. Bull Bucka

    Mamlaka Iringa shughulikieni ukosefu wa miundombinu ya vyoo Soko la Machinga

    Wafanyabiashara katika Soko la Machinga, lililopo kata ya Mlandege, mkoani Iringa, wanakabiliana na changamoto kubwa ya kukosa miundombinu ya vyoo. Hali hii inawalazimu kutumia eneo la nyuma ya soko, ambalo ni la makaburi, kama sehemu ya kujisaidia. Hii ni hali ya hatari kwa afya, kwani eneo...
  17. BARD AI

    Wananchi watakiwa kuoga kwa Dakika 2 tu na Kutoflash Vyoo kila wakati ili kutunza Maji Afrika Kusini

    Ni tahadhari ilitolewa na Mamlaka ya Huduma za Maji ya Jiji la Johannesburg Nchini Afrika Kusini ikiwataka Wananchi kutumia Maji kidogo vinginevyo watasababisha Mfumo wa Usambazaji Kuishiwa Maji kabisa. Wananchi wametakiwa kumwaga Maji kwenye Vyoo baada ya kwenda haja kadhaa na sio kila wakati...
  18. Wadiz

    Mbunge wa Sengerema, Hamis Tabasamu amwaga chozi hadharani akiwa kwenye ziara ya kukagua changamoto za shule hasa vyoo na madarasa

    Ndugu wana jamii tafadhali pokea taarifa hiyo yenye uchungu mkubwa toka kwa Mhe. Tabasamu ametoa machozi hadharani, mwenye video tafadhari atuwekee hapa. Video ipo kwenye comments (Manjagata ameiweka) Hii ni taarifa halisi isipokuwa kwa kuwa sina video ndio mana sijaweka katika uhakika wake...
  19. Jaji Mfawidhi

    Benki za Tanzania zagoma kuweka Vyoo kwa Wateja

    Tanzania tuna mabenki mengi, ya Serikali na watu binafisi. Kwa walimu wengi ambao ni wateja wa NMB mtu anaka kwenye foleni masaa 2 mpaka 3 na hakuna huduma ya vyoo, inasemekana hawaweki vyoo kwasababu mteja wa kawaida huwa na fedha kidogo na hivyo hachangii chochote. Naomba sasa Naibu Waziri...
  20. R

    DOKEZO Vyoo kama hivi kwenye Mabasi ya Luxury ni kinyaa na hujuma kubwa

    Wakuu, Mtu analipia basi luxury kupata huduma extra, nzuri na bora, asafiri akiwa anajisikia huru. Inakuaje unalipia kusafiri basi luxury halafu unakutana na choo kama hiki? Choo hiki ni kwa huduma ya haja ndogo pekee na hauruhusiwi kuingiza tishu/toilet paper na haiwekwi kabisa chooni lakini...
Back
Top Bottom