chochote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Seif Mselem

    Kama ningekuwa naanza kujifunza kitu chochote kile basi ningeanza kwanza kujifunza hivi vitu vitatu (3) hapa...!

    PS: Sio Copywriting, Sales, Content Marketing, Freelancing, Affiliate Marketing, Forex, Crypto, Graphic Design wala Coding! 1). Ningejifunza Kuhusu…MINDSET! Kwanini? Hakuna kitu kina SHAPE Tabia ya mtu kama vile…“BELIEVE SYSTEM”. Imani ndio Inafanya watu Waabudu SANAMU na MIBUYU na Imani...
  2. G

    Kuogopa kutendwa nimeamua kuoa asiyejua kusoma na kuandika, zaidi ya kuandika jina lake hajui chochote kingine

    Nimeamua kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba. Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume. Je, mwanaJF, unadhani...
  3. IDDY S MHANDO

    Niagize chochote Dubai

    Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi! Kwakweli kipindi naandika huo Uzi nilikuwa kwenye...
  4. G

    Elimu ipo chuo chochote, uzito upo UDSM: Wanapewa kipaumbele kwenye ajira, maofisini asilimia kubwa ya vyeo vizito ni zao la UDSM

    Mambo ya kubishana chuo gani kimeiva, chuo gani kinatoa wanafunzi cream, n.k. huwa yanaishia vyuoni. Baada ya kumaliza chuo kama huna connection, je chuo ulichosoma kinakuboost upewe kipaumbele kwenye ajira ? chuo ulichosoma kimejaza watu kwenye nafasi za juu wanaoweza kukupigia debe kwenye...
  5. L

    Kwa watumiaji wa Honda Fit

    Wanaotumia honda Fit, naomba mniulize chochote tushirikishane uzoefu. Watu wengi wamekuwa wakiharibiwa magari yao kwa sababu tu ya kukosa uzoefu Kuhusu Honda Fit Asante
  6. BOB LUSE

    Usiweke Hela benki zisizokuingizia chochote, Weka Hela zako kwenye masoko ya Hisa au fungua miradi

    Kawaida ya Waajiriwa wengi, kuweka Akiba, Saving account kwenye benki zetu, kwaajili ya usalama. Account hizo kuna ledger fee unalipa, huingizi chochote. Nikushauri, wekeza kwenye masoko ya Hisa, akiba yako itaongezeka Kila mwezi, Kwa riba utakayokuwa unalipwa. Usipate hasara, kusubiri mpaka...
  7. S

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha. Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional...
  8. Webabu

    Hamas waziambia nchi 18 vita visimame kwanza kabla ya chochote

    Nchi kumi na nane zimejaribu kuwalaghai viongozi wa Hamas kwamba waachie mateka wote ilionao. Hata hivyo nchi hizo zimekutana na kigingi kutoka viongozi hao wakisema ili mateka hao waachiliwe ni lazima kwanza vita visimame na Israel iondoke Gaza sambamba na watu kuruhusiwa kurudi majumbani...
  9. Mwizukulu mgikuru

    Mzazi pambana umrithishe mtoto chochote kitu, elimu ni haki ya mtoto

    Wazazi wenzangu tupambane tuwaachie watoto wetu chochote kitu, elimu na malezi ni haki ya mtoto. Mimi Namshukuru mungu kwa hiki kidogo basi anachochakuanzia kwenye maisha yake. Tusiwe na ubinafsi, tupunguze uvivu wa kufikiri, mimi mzee wangu nilimuambia asinipe chochote ili niwe na amani...
  10. LIKUD

    Kuna mtu kawauliza swali wanaosema "Mungu hafananishwi na kitu chochote" wameshindwa kujibu wanamtukana na kumpa vitisho. Mpeni majibu tafadhali

    Ilikuwa kwenye mjadala kuhusu maoni ya Harmonize kwamba katika miaka ishirini aliyo ishi duniani amegundua kwamba huenda Mungu ni mwanamke.. Wenye dini zao wanasema Harmonize apigwe mawe kwa sababu amekufuru na kwamba " Mungu hafananishwi na kitu chochote kile" Swali la jamaa lilikuwa: 1...
  11. MK254

    Siri yafichuka, Israel imepania kupiga vinu vya nyuklia iwapo Iran itafanya chochote

    Israel walipiga ubalozi wakijua Iran itaingia kwenye mtego wa kujaribu kulipa kisasi, ambapo hao Israel walitaka watumie fursa hiyo kutatua issue ya Iran kuendelea kuzalisha nyuklia, walipania kupiga vinu vyote hapo Iran. Iran washashtukia mchezo hivyo wameufyata maana hamna namna...
  12. FaizaFoxy

    Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

    Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote. Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
  13. marcoveratti

    Niulize chochote kuhusu google Admob

    Mambo vipi watu wa Tech. Kwa uchache niwaeleze kuhusu google Admob, ambayo kwa namna moja au nyingine inaweza kua fursa. Kwanza kabisa google Admob ni child company ya google ,ambayo ina jihusisha na shughuli za matangazo(ADS) kwenye Apps Kinacho fanywa na google Admob ni kushare mapato...
  14. Kiboko ya Jiwe

    Hiyo fedha unayoihangahikia na kuitolea macho kila ipo siku utagundua kuwa fedha si lolote, si chochote, ni suala la muda tu

    Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa. Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha. Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado...
  15. Kenenisa

    Ushawahi kufanya chochote Cha maana kwa pesa ya boom/betting/kuhongwa/kuokota?

    Nakumbuka nilipata mkopo 100%lakini sikifanya chochote Cha msingi zaidi ya kula bata tu Share experience yako
  16. D

    Kuna Muislamu anaendelea kuwafata Bakwata kwa chochote?

    Hii clip ni fikirishi sana, Mufti alipewa amri kutoka Juu atangaze muandamo wa mwezi ambao haupo.
  17. M

    Waropokaji wakisimuliwa habari huwa haawataki kujiridhisha kuwa ni kweli au la

    WAROPOKAJI HUWA HAWAJUI CHOCHOTE BALI MIHEMKO TU Hutakiwi kuumizwa na habari za waropokaji na tena ukiweza usipoteze nguvu zako kujibizana nao maana wengi wao huwa wanaongozwa na mihemko tu Waropokaji hata ukiwakuta kwenye vikao mara nyingi huwa wanataka tu wajulikane kwa kuongea chochote...
  18. D

    Kwanini watu ambao hawajui chochote ndo hujiona wanajua. Au mtu mdhaifu siku zote haoni udhaifu wake?

    Natoa mfano Magufuli ambaye kiukweli kabisa alikuwa mweupe kiungozi, kiakili na kimaadili. Lakini Cha ajabu ndo alikuwa anajisema sema eti watu wengine hawafai wakati yeye ndo hafai. Nakumbuka Kuna wakati alikuwa natolea ufafanuzi wa CAG, akasema eti kama huwezi kumfukuza uliyemteua basi hufai...
  19. Lycaon pictus

    Niulize chochote kuhusu matangazo ya kulipia Facebook na Instagram

    Mimi siyo expert wa kutangaza online kwenye Facebook na Insta lakini nina uzoefu kidogo wa kama miaka miwili hivi kutangaza huko. So niulize swali lolote kuhusiana na sekta hiyo nami nitakujibu. Nikishindwa watakuja wataalamu zaidi na mimi nitazidi kujifunza. Karibuni.
Back
Top Bottom