Kumekuwa na mada nyingi kuhusu mambo yote yahusuyo magari, nikaona basi na sisi tuwe na Uzi huu ambapo habari zote zihusuzo magari kuanzia kuchagua, kuagiza, kuuza, kubadili nyaraka, matengenezo...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU WA JF
Twende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu.
Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini(based katika matumizi binafsi)?
1. Boxer...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU GARI HII
Wakuu rafiki yangu mmoja yupo interested na hizi gari aina ya Subaru Forester lakini kabla hajaingiza maamuzi mzima mzima alitaka kujua yote...
wadau naomba mwenye uelewa au uzoefu wa gari aina ya Land Rover Discovery 4, anipe maelezo.. specifications, bei, fuel consumption, upatikanaji wa spare parts, na kama inafaa sana kwa barabara zetu..
Nilikuwa naangalia mitandao mbalimbali ya magari ambayo wanaleta magari used hapa Tanzania. Bahati nikapata mtandao ambao umenivutia, una magari yanayoonekana ni mazuri kwa picha, lakini kwa kuwa...
Land cruiser vx v8 hii gari isikie tu!
Hii ni ndege ya chini!
Ukionja hii gari unaweza ishauri Serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah!
Nahisi...
Nisipoongea nitakua sitendi haki maana niliahidi likifika langu katika hali yoyote. Nitakuja kutoa ushuhuda
Siku mbili tu tangu nilipie gari yangu nilikutana na ule uzi wa aliyeagiza alphard...
Habari za majukumu ndugu zangu,, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu napenda kuuliza bei ya control box ya gari tajwa hapo juu maana gari yangu iliingia kwenye maji ikapiga shot So...
Naomba kufahamu unapoongeza maji kwenye gari je injini inatakiwa iwe inanguruma au gari inatakiwa iwe imezimwaka kabisa au switch iwe on?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Habari za majukumu wakuu?
Gari yangu aina ya Toyota RAV 4 miss TZ jana ilinasa kwenye dimbwi la maji kwenye kina kirefu kidogo ikabidi mpaka tuite watu yale magari ya breakdown waje waitoe baada...
Tanzania bara na (au) visiwani tulikua katika moja ya nchi za Africa zilizopendekezwa au zilizofikiriwa kuhost Grand Prix.
Ikumbukwe kwa Africa ni South Africa tu waliwahi host F1 GP, first time...
Nipo Dar es Salaam, na kuna mvua + Mafuriko ila nafuatilia yanayoendelea uko China kwenye Beijing Auto Show ya mwaka 2024, ilioanza tar 25 April hadi 4 May.
Hii Beijing Auto Show kwa jina jingine...
Sijui nani amemcopy nani, ila kuna chuma nimeiona mitaa ya matajairi bwana, inaitwa Toyota Century 2023. Kwa mbali nikajua ni Rolls Royce Cullinan kumbe ni mali ya Wajapan aisee.
Hii chuma ni...
Wakuu. Sijui umri unanienda au? Kuna baadhi ya "trend" za magari naona zinazidi kushika kasi. Najua "maybe" ata Automatic transmission zinavyoingia kuna watu waliona jau, ila ishazoeleka sahivi...
AVAILABLE AT DAR E SALAM PORT NOW YOU CAN CHECK BY YOUR SELF
Make: SUBARU
Model: FORESTER
Year: 2010
Colour: Black
Chassis: SH5
Package: 2.0XT Black Leather - Selection STI SPORT
Transmission...
Kumiliki gari na kumaintain gari ni vitu viwili tofauti, ndo maana unaweza kuta mtu ananunua gari kwa furaha anafanya na sherehe mambo ya maintenance yakianza inakua balaa..
.
Unaanza kuona gari...
Nimejaribu kupick European Cars ambazo watu wanazinunua sana.
Kwa bahati mbaya sina story nyingi za kununua Mercedez Benz, japo nilitamani ningeweka maelezo ya C class na E class sababu ndio gari...
Sekta ya usafirishaji wa mizigo kwa kutumia magari (malori) ni muhimu sana hapa nchini na duniani kwa ujumla. Magari ya mizigo yanafika jirani zaidi na mlaji wa mwisho au sokoni ambako meli, reli...
Wakuu, naamini wengi Gari inakuvutia kwanza muonekano, then ndio unaanza kufuatilia kujua engine, fuel consumption, spare etc hadi unaamua kuinunua.
Sasa kuna gari apa naona kabisa zilikua...
Wadau poleni na majukumu ya kulijenga taifa.
Napenda kujua,maana mara nyingi escudo zenye shape hii,ona picha huwa ni v 6 cc 1990.Je kuna zenye Cc 1590.
Na je kama watalaam wa magari mnanishauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.