masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 15,737
- 12,622
Nisipoongea nitakua sitendi haki maana niliahidi likifika langu katika hali yoyote. Nitakuja kutoa ushuhuda
Siku mbili tu tangu nilipie gari yangu nilikutana na ule uzi wa aliyeagiza alphard mpaka sasa ni milioni 24 na gari haitembei maana ilikuja mbovuu haifai. Mpaka matengenezo gari imekula ela za kutosha.
Katika koment watu wakasema hakikisha unapoagiza gari unapata inspection sheet.
Basi nikamuendea yule dada wa bfoward tuliyefanya nae mchakato wa kuliagiza. Nikamwambia naomba fomu ya ukaguzi akasema huwezi pata kwa sasa.
Nikapata tumbo joto sana
Nikamuuliza je gari ikija haieleweki itakuaje. Majibu yake hayo hapo chini. Ni kwamba kkiri gari za japani ni nzuri sana ila SINGAPORE KUNA SHIDA, gari yangu imefika iko manga’nyu sana.
Ipo vizuri mno na ilitokea japan
Ukaguzi wa awali na wa baada gari ina asilimia 98 ya ubora.
Bado hatujaifanyia service ndogo
RAI yangu kama unaagiza gari na bfoward usijaribu gari za singapore
Maana kama mfanyakazi wao kakiri zinachangamoto wewe ni nani ujichanganye?