Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,473
- 11,456
Msemaji wa Hamas,Osama bin Hamdan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Beirut jana Jumanne, amesema iwapo Israel itaendelea kutoyazingatia mambo hayo na kuendelea na kuivamia Rafah basi hakuna namna nyengine ila ni kuendeleza vita.
Walichokubali Hamas ni :
1 .Kuwepo usitishwaji wa vita kwa muda wa wiki sita yaani mwezi moja unusu.
2 .Katika kipindi hicho misaada ya chakula na mahitaji mengine muhimu yaruhusiwe kuingia bila vikwazo vyovyote
3 Katika kipindi hicho Hamas wataachia na kuirudishia Israel wamteka 33 wakiwa hai au maiti.
4 .Kwa kila mateka mmoja atakayeachiwa basi waachiwe wapalestina 30 walio kwenye magereza ya Israel hasa watoto na akinamama.
Katika mapendekezo yake Hamas wameondoa sharti lao kubwa ambalo Israel mara zote walikataa kulitekeleza ambalo ni kuondosha vikosi vyake Gaza.