Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,471
- 11,454
Lengo halisi la Israel inaonekana ni Rafah na ile kurusha droni tatu Iran ambazo zimedunguliwa ilikuwa ni kuzubaisha ulimwengu lengo halisi likiwa ni kuingia Rafah ikijua Iran haitaiuliza kitu.
Huku watu wamecharuka kujadili shambulio la Israel lililotangazwa na US kwa upande wake Israel ndio imeongeza kasi ya kuishambulia Rafah.
Israel imejua ikiishambulia Iran kweli basi madhara kwake yatakuwa makubwa sana kama mfano uliotolewa na Iran hapo majuzi.Ama kwa upande wa Rafah imejiona iko huru kwenda kufanya maangamizi bila upinzani mkubwa kama ambavyo imefanya kwa miezi 6 iliyopita.
Kama ni upinzani basi itakuwa ni ule wa kimiujiza kama ambavyo pia umejitokeza katika kipindi hicho cha miezi sita kililichotarajiwa kuwa cha wiki chache tu kwa vile Hamas hawana silaha kali kama za Israel