Kwanza I have to declare interest mimi ni mkulima wa mazao ya biashara. Na kama mkulima wizara ya kilimo ndio mlezi wangu ila kwa uongozi wa Bashe nachelea kusema tutachelewa sana.
Tanzania ilikuja na wazo la kufanya mchikichi kuwa zao la biashara, ilikuwa hatua nzuri kweli na Kigoma...
Habari wanajukwaa.
Kumeibuka mtindo kila mtu anapopata nafasi ya kuongea kumsifia Rais hata kwa yale ambayo Rais hausiki wala hayajui.
Mfano Mrisho Ngasa alipoalikwa Kwenda Ivory Coast kama Legendary kipindi cha AFCON alipohojiwa alianza kumshukuru Rais Samia.
Binafsi yangu naona hii ni aina...
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema.
Historia inatuambia, waanzilishi wote wa Chadema walikuwa Benki kuu. Yaani Mtei, Bob Makani na Mbowe na...
ZITTO ANAPOMFUNDA MBOWE KWA VITENDO.
Aliyekuwa kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na mpigania demokrasia ndani ya vyama na serikali kwa ujumla Zitto kabwe aachia ngazi baada ya miaka kumi ya utumishi ndani ya chama cha ACT.
Hii ni habari chungu sana kwa Mbowe, kiongozi aliyekiongoza chama...
Kwa jinsi bandari ilivyotushinda naamini hata Magufuli angekubali kuibinafsisha.
Hivi bandari hii ndio kitu cha kwanza Tanzania inabinafsisha?
Kwanini bandari imekuwa na kelele nyingi ilihali inalalamikiwa kwa miaka mingi?
Tumuache mama afanye kazi yake, atumie muda wake kuijenga nchi...
Habari za humu ndani wadau, nimesoma maandiko mengi na kusikiliza wataalamu wengi juu ya kilimo cha mahindi.
Wapo wanaosema unaweza tumia viua magugu km round up kuandaa shamba badala ya kulima. Hili wadau mnasemaje
Na pili ni kwenye matumizi ya mbolea. Nataka kupanda kwa kutumiwa mbolea ya...
UPOTOSHAJI WA ZITTO KUHUSU MIRADI
2. BANDARI
Mwaka 2017-2019..
Mikakati imefanyika kuimarisha BANDARI na Kuongeza Mzunguko bandarini.
a. Kupunguza Tozo za Bandari Lake Tanganyika(kutoka Dola 12.5 kwa tani mpaka dola 10 kwa tani 1)
b. Ziwa Tanganyika kulikuwa na Bandari 3 tu, (Kigoma Main...
Historia ya siasa za Kigoma mjini ni historia tofauti na majimbo mengine ambayo watu wenye umaarufu au pesa nyingi kuwa na uhakika wa ushindi mbele ya wanasiasa wapya, wasio na pesa nyingi au umaarufu mkubwa.
Zitto pamoja na umaarufu wake wote bado hajafanikiwa kuingia kwenye mioyo yetu Wana...
MBWEMBWE ZA MAALIM MWISHO OCTOBER
Wanasiasa wote wenye historia Safi ya kushindwa huwa na ushamba Fulani hivi wa kushabikia nyomi la watu.
Kuthibitisha hili taenda na mifano hai kabisa tena nitacheza na mifano ya juzi juzi sio ya mbali Sana.
Uchaguzi wa mwaka 2015 Mh Lowasa alikusanya nyomi...
Hali tete kwa chama Kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA baada ya kukosa wagombea na kuanza kununua wagombea walioandaliwa na NCCR Mageuzi.
Ikumbukwe hawa ndio wanaojinasibu kila siku wamejiandaa kutwaa dola, maajabu ni uwezo tuu wa kuandaa wagombea imekuwa tabu.
Viongozi na wanachama wake...
Ni nani asiyefahamu Dr Slaa alikuwa mtafunaji Zitto mmezaji. Yaani Slaa alikuwa akifanya Tafiti yeye Zitto anakuwa speaker tuu ya kusema yale yaliyoandaliwa na Slaa. Huu ulikuwa mkakati wa kuikuza Chadema. Hapa homeboy akavimba kichwa baada ya umaarufu.
Alivyokuja Kafulila, Kafulila akawa...
Nimeona Ndugu Ado Katibu Mkuu ACT akidai mwaka huu ni jino kwa jino, kifupi anataka kuturudisha kule tulipotoa Ngali ngali.
Kwanza aina hii ya siasa sio iliyoasisi chama cha ACT, ila kwakuwa wameungana na kundi linaloamini katika siasa za visasi na Chuki huu umekuwa utaratibu wao mpya.
Hofu...
Mwanasheria wa zamani wa ACT ajiunga NCCR.
- Akwepa kushambulia chama chake cha zamani.
- Aahidi kuhimiza watendaji kutekeleza agizo la Rais Magufuli.
Na mwandishi wetu, Kigoma.
Aliyekuwa mwanasheria mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Thomas Msasa amejiunga rasmi na chama cha NCCR mageuzi na...
Nimekuwa kimya kwa siku kadhaa nikiutazama muelekeo wa siasa zetu za upinzani haswa sasa tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu wa October 2020. Naona mapicha picha tuu.
Dhana ya kuona wengine CCM B inazidi kusambaa na wasambazaji wakubwa wakiwa ni Chadema na viongozi wao, yaani hadi kiongozi...
SIKU TUKIKUBALI KUBADILIKA KIGOMA MJINI ITABADILIKA.
Kwa tulio wafuatiliaji wazuri wa siasa za Kigoma mjini haswa baada ya kuasisiwa mfumo wa vyama vingi lazima tutakubaliana watu wa Kigoma mjini tumeamua kuwa makabwitunge wa wanasiasa Uchwara wanaojivua majukumu ya uwakilishi na kujivika...
Chama cha Nccr Mageuzi ndio chama kilichoasisi vuguvugu la Mageuzi nchini Tanzania na ndio chama pekee kisichopoteaga kwa kila kizazi, yaani walioshuhudia nguvu yake 1995 na wanaoshuhudia mwaka huu 2020 ni vizazi viwili tofauti.
Mawimbi hubadilika, Nccr hupoteza mvuto na pasipo kutarajia mvuto...
Tuliandika hapa madhara ya mtu mmoja kuamka na kutoa maamuzi ya Taasisi kama alivyofanya Zitto Kabwe kwenye suala la kujitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji.
Zitto alifuata mkumbo wa CHADEMA ambao kiuhalisia wao walikaa kikao Dodoma na kuamua, Zitto alikaa na nani?
Lipumba...
FAHAMU SIRI YA UENYEKITI NDANI YA CHADEMA.
Chadema kama ilivyo taasisi zingine za kisiasa (sio vyama vya kisiasa mfano wa Ccm) inajengwa kwa misingi ya maslahi yabaki ndani ya familia.
Chadema ni sawa ma kampuni yake Dewji au kampuni za Bakhresa, wataajili watu yofauti kwa vyeo Tofauti ila CEO...
Nimebahatika kumsikiliza Rais akiwa Momba, Rais kawa very clear kwa waliomlalamikia suala la maji jimbo la Momba.
Rais anajitahidi kuwakumbusha watanzania umuhimu wa kuchagua wawakilishi watakaoenda kuwakilisha wananchi na sio wanaoenda Bungeni au kwenye mabaraza ya madiwani kujijengea majina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.