Nyumba kama hii inaweza kugharimu kiasi gani cha pesa?

Ndata

JF-Expert Member
Mar 2, 2017
226
321
Kujenga kanyumba ka aina hii Maeneo ya Mwanza, kahama au Bukoba inaweza gharimu kiasi gani cha pesa.

Asante

FB_IMG_1653897206016.jpg
 
Iwe kwa matofali ya block au kuchoma
 

Attachments

  • FB_IMG_1653897472310.jpg
    FB_IMG_1653897472310.jpg
    55.9 KB · Views: 91
  • FB_IMG_1653897466074.jpg
    FB_IMG_1653897466074.jpg
    49.8 KB · Views: 86
Bila bati tofari block mil 4-6 kutokana na bei ya tofari.
4-6 anaifikisha level gani ?
Mi namshauri kama ni kujenga aanze na alichonacho polepole kusubiri ela ya mkupuo na sio mtu wa mishe za ela ndefu hatajenga
 
Back
Top Bottom