Kwa jinsi bandari ilivyotushinda naamini hata Hayati Magufuli angekubali kuibinafsisha

Ndata

JF-Expert Member
Mar 2, 2017
226
321
Kwa jinsi bandari ilivyotushinda naamini hata Magufuli angekubali kuibinafsisha.

Hivi bandari hii ndio kitu cha kwanza Tanzania inabinafsisha?

Kwanini bandari imekuwa na kelele nyingi ilihali inalalamikiwa kwa miaka mingi?

Tumuache mama afanye kazi yake, atumie muda wake kuijenga nchi.

Tusitegemee hata siku moja mpinzani kukubaliana na chochote kizuri kinachofanywa na utawala uliopo.

Hawa wapinzani walimpinga Magufuli kukataa mkataba wa bandari ya Bagamoyo na ndio hawa leo wanamsifia Magufuli kwa kuulataa.

Ni muda wa mama, tumuache afanye anachoona kinafaa
IMG-20230804-WA0006.jpg
 
Wabinafsiche vyote.. Wakichamaliza waje kutuongezea tozo, AMKENI WAJINGA NYINYI
 
Back
Top Bottom