Uchaguzi 2020 CHADEMA yakosa wagombea Makete na Bukombe

Ndata

JF-Expert Member
Mar 2, 2017
226
321
Hali tete kwa chama Kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA baada ya kukosa wagombea na kuanza kununua wagombea walioandaliwa na NCCR Mageuzi.

Ikumbukwe hawa ndio wanaojinasibu kila siku wamejiandaa kutwaa dola, maajabu ni uwezo tuu wa kuandaa wagombea imekuwa tabu.

Viongozi na wanachama wake wanaona aibu kusimama kupitia tiketi ya CHADEMA na njia pekee waliyobaki nayo ni kulaghai wagombea walioandaliwa na NCCR.

Hili lingefanywa na NCCR wangedai ni CCM B wakifanya wao ni sahihi na ndio upinzani.

Kwetu NCCR tumejiandaa haswa na uchaguzi huu na tuna uhakika wa kusimamisha kila jimbo na kushinda uchaguzi ukiwa huru na haki. Mtihani kwa wenzetu Chadema ambao wamekosa watia nia karibu nusu ya majimbo yote Tanzania.

IMG-20200719-WA0170.jpg
 
Hivi kwanini Viongozi wanang'ang'ania kuongoza wakati chama kinaenda kufa hivi hivi tukishuhudia? Unakosaje mgombea Makete...? Unakosaje mgombea bukombe? Halafu unajiita chama kikubwa cha upinzani?
 
Aiseeh, unafikiri ukiongopa ndio posho inaongezeka...?hamna ulichoandika Leo...BUKU SABA HUPATI
 
Back
Top Bottom