Mawe matatu hutengeneza mafiga na chakula huiva

Ndata

JF-Expert Member
Mar 2, 2017
226
321
Nimebahatika kumsikiliza Rais akiwa Momba, Rais kawa very clear kwa waliomlalamikia suala la maji jimbo la Momba.

Rais anajitahidi kuwakumbusha watanzania umuhimu wa kuchagua wawakilishi watakaoenda kuwakilisha wananchi na sio wanaoenda Bungeni au kwenye mabaraza ya madiwani kujijengea majina na kujikuza kisiasa.

Mwaka 2005, Kikwete aliwaambia watu wa Kigoma mjini wachague mafiga matatu. Rais Ccm, Mbunge Ccm na diwani Ccm Kigoma itaungana na Tanzania na kweli tuliona mabadiliko.

Kabla hujapiga kura hebu ishirikishe akili yako, Mbunge wako kutwa kupambana na masuala yasiyowahusu mliomchagua, kupinga budget inayokuletea maji na kususia vikao. Unataka Rais afanye nini sasa.

Cwu Tanzania tunamfano hai, Kigoma mjini kuna mbunge kutwa kuongelea korosho halafu kesho rais aje tuseme zao la michikichi linakufa? Muwakilishi wetu anatuwakilisha au anawakilisha mashamba yake Mtwara.

Tuchague wawakilishi walio tayari kutuwakilisha, sio wawakilishi washinda mitandaoni kuishambulia serikali yenye wajibu wa kutuletea maendeleo.

Magufuli anaendelea kuwa Rais mkweli asiyeweka siasa mbele bali ukweli.

2020, Rais Ccm, Wabunge Ccm na madiwani Ccm muone jinsi kasi ya maendeleo itavyoongezeka.

Cwu
 
Karne ya kupikia gas na umeme ww unaleta mifano ya karne za matumizi ya kuni? Hizo hela sio za Magufuli na hakuna ulazima wa kumchagua yeye au ccm ili maendeleo yaje. Mbona kodi anakusanya bila kuangalia majimbo ya ccm. Mwambie aache siasa za kishamba, maendeleo sio ombi wala hisani bali ni lazima. Abaki anawahadaa hao wananchi kwa kuzindua barabara za awamu iliyopita.
 
Umeandika porojo tu. Umejawa na mawazo ya kizamani na ya hovyo kupitiliza. Wenye mioyo myepesi, watadiriki hata kukuporomoshea tu matusi! Maana hii mada yako inakera.
 
Back
Top Bottom