Ndata
JF-Expert Member
- Mar 2, 2017
- 226
- 321
FAHAMU SIRI YA UENYEKITI NDANI YA CHADEMA.
Chadema kama ilivyo taasisi zingine za kisiasa (sio vyama vya kisiasa mfano wa Ccm) inajengwa kwa misingi ya maslahi yabaki ndani ya familia.
Chadema ni sawa ma kampuni yake Dewji au kampuni za Bakhresa, wataajili watu yofauti kwa vyeo Tofauti ila CEO ataendelea kutoka ndani ya familia.
Kwakua muasisi wa Chadema ni Mzee Mtei moja ya sifa ya kuongoza Chadema ni lazima utengeneze uhusiano wa nguvu na ukoo wa mtei. Kama ilivyo kampuni zingine tuu unaweza kuiongoza kwa kuoa ndani ya familia ya mwenye kampuni.
Marehem Bob Makani alitakiwa kuoa kwa Mtei ili aweze kuwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa the same case applied to Mbowe ilibidi aoe mwana wa Mtei.
Kwa muenendo huo ni dhahiri kina Zitto, Wangwe, Waitara na sasa Mwambe ni wadandiaji wenye nia ovu ya kuiharibu Taasisi kwa kukataa kufuata misingi ya uongozi ndani ya Chama.
Kina Zitto no sawa na mfanyakazi wa Kawaida ndani ya Metl companies kutaka kugombea nafasi ya uongozi na Mo Dewji tena kuunda na makundi ya pembeni ili kumuangusha huu ni uhaini.
Ushauri tuu kwa wenye malengo ya uenyekiti ndani ya Chadema, kama bado hawajaoa basi wajitahidi kujipenyeza kwa Mtei na kutengeneza udugu.
Kwa sasa tuacheni Mbowe aendelee kuiongoza Chadema maana maumivu ya ujenzi wa Chadema upo ndani ya familia yake. Uhuni wa kutaka kupokonya kampuni ya watu ufike mwisho.
Mkitaka kujua machungu ya kujenga Taasisi mwambieni Zitto akae pembeni baada ya ACT kuanza kupokea Ruzuku.
Cwu