Uchaguzi 2020 NCCR Mageuzi tegemeo jipya kwa wapenda mabadiliko

Ndata

JF-Expert Member
Mar 2, 2017
226
321
Chama cha Nccr Mageuzi ndio chama kilichoasisi vuguvugu la Mageuzi nchini Tanzania na ndio chama pekee kisichopoteaga kwa kila kizazi, yaani walioshuhudia nguvu yake 1995 na wanaoshuhudia mwaka huu 2020 ni vizazi viwili tofauti.

Mawimbi hubadilika, Nccr hupoteza mvuto na pasipo kutarajia mvuto hurudi rejea kilivyorudi kwa kasi mwaka 2010. Na laiti wasingejiunga UKAWA yawezekana leo tungekuwa na Nccr yenye wabunge sawa na Chadema..

Achana na vyama vyenye chembechembe ya ukabila na udini ambavyo ni karibu vyama vyote vya upinzani Tanzania, Nccr ndio chama pekee kisicho na doa la udini eidha ukabila.

Nccr ndio chama kisicho na ruzuku kubwa ila kina wanachama nchi nzima, kina ofisi karibu kila jimbo na kina uongozi. Hili limewashinda Chadema, Cuf na hata haka ka chama ka Kigoma na Pemba pia.

Nccr haijawahi kukubali kutumika, wakati Chadema wakiwa na skendo kibao za kuuza majimbo kwa Ccm Nccr tangu mwaka 95 hadi leo hawajawahi kuwa na skendo hii.

Ukitazama wapiganaji karibu wote wenye majina leo lazima walilelewa na kukulia Nccr, kuanzia Mabere mpaka Tundu Lissu.

Inaaminika maji huwa hayasahau chanzo chake, leo tunaona Anthony Komu karudi Nccr, maana yake mageuzi yanaenda kutimia.

Hatuwezi kufanikiwa kuiondoa Ccm kwa kutumia vyama vichanga vyenye target ya ruzuku kwa kuviua vyama vilivyoasisi mageuzi na visivyo survive kwa kutegemea Ruzuku.

Mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko na mabadiliko ya kweli yataletwa na Nccr Mageuzi.

Ndatama Hassan
FB_IMG_1587811683317.jpg
 
Ndatama HassanView attachment 1430038
Ahadi ya majimbo 20 na magufuli! CCM C
TLP CCM B
 
Back
Top Bottom