Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,925
- 12,208
TAARIFA KWA UMΜΑ
Kamati Kuu iliadhimia na kufanya uteuzi wa Wakuu wa Idara mbalimbali za Sekretarieti ya Chama Taifa kama ifuatavyo:-
i) Ndugu Elisante Ngoma kuwa Mkuu wa Idara ya Uenezi na mahusiano ya Umma.
ii) Ndugu Penina Tenga kuwa Mkuu wa Idara ya mambo ya nje ya Chama
iii) Ndugu Faustin Sungura kuwa Mkuu wa Idara ya Taasisi za Dola na vyombo vya uwakilishi.
iv) Ndugu Martin Mng'ong'o kuwa Mkuu wa Idara ya kampeni na Uchaguzi.
Pia kamati kuu ya Chama imeielekeza Secretarieti ya Chama Taifa kufanya majukumu yake ya kila siku na kuandaa ratiba ya uchaguzi wa ndani ya chama unotarajiwa kufanyika mwaka huu wa 2024.
PAMOJA NA SALAAM ZA CHAMA, UTU ITIKADI YETU
Elisante M. Ngoma
Mkuuu wa Idara ya Uenezi na mahusiano ya Umma
10 Aprili 2024