shule

  1. D

    Kwanini wanafunzi wengi wenye uwezo mkubwa darasani huwa watundu na wasumbufu?

    Mara nyingi sana katika safari yangu ya elimu, walimu wamekuwa na tabia ya kusema kwamba uwezo wa mwanafunzi darasani lazima awe anawahi namba, hapigi kelele, awe mara hivi mara vile lakini unakuta wale vipanga wanaokuwa na uwezo (sio wa kariri) na maanisha wale waliokua wanaweza kusolve kila...
  2. OLS

    Watoto wa shule wanapata shida sana, kuwe na maazimio ya kitaifa

    Baada ya kusikia watoto waliofariki kwa kuzama mtoni, nikakumbuka takwimu zinazoonesha idadi ya watoto wanaovuka maji kufika shule, idadi ya watoto wanaovuka maeneo yenye wanyama hatarishi kufika shule. Serikali inajua kuhusu hilo, kwa kuwa takwimu hizi nazitoa kwao. Basi nikaingia niangalie...
  3. M

    Baada ya watoto wa shule kufariki wakivuka ndio Serikali ya CCM inafikiria kujenga daraja

    Mabilioni ya pesa za umma mnatafuna. Mnajenga madarasa hewa kwa tril 1.3 Watoto wanafariki wakivuka mto kwa mtumbwi kwenda shule. Mnakula pesa. Hamjali maisha ya wananchi mpaka wafe. ======== Serikali kujenga daraja mto uliouwa wanafunzi Kigoma Kigoma. Wakati miili ya wanafunzi wawili kati...
  4. JanguKamaJangu

    Moshi: Mwalimu mbaroni akituhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumpiga mateke

    Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’. Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
  5. Stephano Mgendanyi

    Nancy nyalusi (mb) atoa msaada magodoro 50 kwa shule ya walemavu

    MHE. NANCY NYALUSI (MB) ATOA MSAADA MAGODORO 50 KWA SHULE YA WALEMAVU Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa (CCM) Mhe. Nancy Nyalusi tarehe 24/2/2023 amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ambapo Pamoja na mambo mengine ametembelea Shule ya Msingi Mchanganyiko Makalala iliyopo...
  6. Nyendo

    Kigoma: Wanafunzi 4 wazama mto Luiche wakivuka kwenda shule. Miili 2 yapatikana kati ya watoto 4 waliozama

    Watoto wanne wamepotea kwa kuzama katika mto Ruiche na wengine wawili kuokolewa baada ya mtumbwi uliokuwa umewabeba kupinduka na kuzama katika mto huo uliopo Kata ya Kagera Manispaa ya Kigoma Ujiji. Watoto hao walikuwa wakielekea shule ya msingi Kagera, ambapo hulazimka kuvuka ng'ambo ya pili...
  7. itakiamo

    Naomba Maelekezo jinsi ya kufika shule ya Ahmes

    Hello watanzania wezangu, naomba mnipe maelekezo ya kufika shule ya AHMES (advance) nipande magari yapi nishuke wapi etc. Mimi natokea Ukonga
  8. Stephano Mgendanyi

    Ziara tarafa ya Liganga, kata ya Lugarawa - kijiji cha Mdilidili - shule ya sekondari Lugarawa, Ludewa

    ZIARA TARAFA YA LIGANGA, KATA YA LUGARAWA- KIJIJI CHA MDILIDILI- SHULE YA SEKONDARI LUGARAWA. Februari 23, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva akiambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya walifanya kikao na wananchi wa Kata ya Lugarawa juu ya majanga ya moto yaliyo tokea...
  9. Roving Journalist

    Kagera, Ngara: Shule ya Keza yataka kufungwa kwa kukosa vyoo. Ilijengwa 1945

    Shule ya Singi Keza Wilayani Ngara, hatihati kufungwa kwa Ukosefu wa Vyoo unaopelekea mazingira ya shule kuwa Magumu Kufundisha na kujifunzia. Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba George Ruhoro, ametoa Mil 3 kutengeneza vyoo vya dharura ili Shule isifungwe. Ruhoro amesema shule ni ya miaka mingi...
  10. M

    Watanzania wanaosafiri kuelekea Malawi, wapewa Namba ya simu ya dharura

    Toka mwaka 2023 uanze hatujasikia lolote toka kwa Mkuu wa shule ya Uongozi. Hivyo basi, wadau tukiwa bado tunasubiri nondo za shule ya uongozi toka kwa Mheshimiwa Balozi H. Polepole. Ni Bora tuone taarifa mpya kuhusu wanaosafiri kuelekea Malawi, alipo Mkuu wetu wa shule.
  11. Yakki Kadaf

    Ujumbe kuhusu shule ya sekondari Nyiendo umewafikia walengwa

    Wakuu habari, nafurahi thread kuhusu shule ya sekondari Nyiendo wilayani Bunda imewafikia walengwa na kumefanyika dharura ya kuitana kwa baadhi ya staff members Ni mwaka wa kupeana live bila chenga. === Kuhusu shule tajwa, soma: DOKEZO - Niliyoyabaini baada ya kuhudhuria kikao cha wazazi...
  12. BigTall

    DC wa Rungwe, Jaffar Haniu atoa wito Vyombo vya Habari vitoe elimu kwa wazazi kuwapeleka watoto shule

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametembelea vyombo vya habari vilivyopo Wilayani Rungwe na kujionea vipindi mbalimbali vinavyorushwa vituo hivyo sambamba na kuzungumza na wananchi. Vituo alivyotembelea ni pamoja na Redio Rungwe na Chai FM vyote vikiwa Tukuyu Mjini. Katika vituo hivyo...
  13. Elli

    Mrejesho wa taarifa ya ajali iliyotokea Kisutu mnamo majira ya saa 05:45

    Naiweka hapa muone wenyewe... MREJESHO WA TAARIFA YA AJALI ILIYOTOKEA KISUTU MNAMO MAJIRA YA SAA 05:45 Mnamo majira ya saa 06:58 niliweza kufika Eneo la tukio nilikuta ajali imetokea gari ya mwendokasi yenye usajili wa Plate No: T 122 DGW, JINA: SHABANI NGAUGIA Ilipata ajali Eneo la Kisutu...
  14. Yakki Kadaf

    DOKEZO Niliyoyabaini baada ya kuhudhuria kikao cha wazazi Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda Mkoani Mara. Serikali iingilie kati kwa baadhi ya mambo

    Habarini wakuu, Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nipo maeneo ya bunda,mkoani Mara. Ijumaa iliyopita tarehe nilipata mwaliko kuhudhuria kikao cha wazazi na walimu katika shule ya Sekondari Nyiendo kujadili mustakabali wa shule kwenye maeneo tofauti na hasa eneo kuu la...
  15. M

    Je, ulitumia mbinu gani kuingia kinyemela shuleni na kitu kisichotakiwa?

    Kuna dogo anasoma shule zenu za kishua ila zenye mitambo ya kukagua na ina walimu wanoko ila kaingia (kazama) getini na bangi na simu bila kugunduliwa na najua muda huu wa saa 4 kuelekea saa 5 ndiyo huwa mida yake ya kuvuta na kutupigia simu sisi washkaji na kaka zake wa mtaani tupige story...
  16. Stephano Mgendanyi

    Taarifa ya kikao cha mbunge wa jimbo na wakuu wa shule za Musoma vijijini - 2

    SEHEMU YA PILI YA TAARIFA YA KIKAO CHA MBUNGE WA JIMBO NA WAKUU WA SHULE ZA MUSOMA VIJIJINI Sehemu ya Kwanza ya Taarifa ya Kikao hicho: Sehemu hii ilitolewa na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo. *Mahali inapopatikana ni kwenye TOVUTI ya Jimbo letu ambayo ni...
  17. M

    Natafuta nyumba Arusha ya kupanga

    Natafuta nyumba Arusha ya kupanga maeneo ya Sakina, Ngarenaro shule ya msingi au Kambi ya Fisi...Budget 150000 tsh
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Eshter Malleko achangia madawati 40 Shule ya Wasichana Sekondari ya Ashira

    MHE. ESTHER MALLEKO MADAWATI 40 YA MILIONI 1.6 SHULE YA WASICHANA SEKONDARI YA ASHIRA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Malleko amechangia Madawati 40 Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Ashira yenye thamani ya Milioni 1.6, tukio hilo limefanyika mnamo tarehe 14 Februari...
Back
Top Bottom