Mamlaka ya Udhibiti wa Posta na Mawasiliano (POTRAZ) imeidhinisha leseni ya utoaji Huduma za Intaneti kwa kampuni ya #Starlink inayomilikiwa na Bilionea #ElonMusk
Taarifa ya Rais Emmerson Mnangagwa imesema "Uamuzi huu unatarajiwa kuongeza miundombinu ya Mtandao wenye Kasi ya Juu na ya gharama...
Baraza la Famasi limefuta matokeo ya watahiniwa wote 2553 waliofanya mitihani ya leseni ngazi ya Fundi Dawa Sanifu (Pharmaceutical Technician) iliyofanyika mwezi February 2024 baada ya kuthibitika kuwa kulikuwa na udanganyifu kwenye mitihani yote mitatu.
Watahiniwa hao sasa watalazimika kurudia...
Naangaza angaza magari ya Be-Forward nakuta wanantangazia nyumba za kupanga na kununua...
Hili ni kampuni la Kijapani, hela zao zinaenda Japan, hata mtandao wao ni real-estate-tanzania.beforward.jp..... Hiyo "dot JP" inasema ni mtandano wa Kijapan!
Tunahitaji kutoa vibali kwa wawekezaji...
Story of change yangu ni;
"Nashauri serikali ifikirie kuwa na utaratibu wa kuwa na online system ambayo Traffic anaweza kuona leseni ya dereva, hata dereva mwenyewe awe anaweza kuona leseni yake katika huo mfumo na hata akihitaji kurenew lesen yake online apate uwezo wa kufanya hvo kwa...
WAZIRI MAVUNDE AFUTA MAOMBI YA LESENI ZA MADINI 227.
-Awataka wadau kuzingatia matakwa ya Sheria
-_wamiliki wa akaunti za uombaji na usimamizi wa leseni kwa njia ya mtandao ambao sio waaminifiu kusitishiwa akaunti zao
-Zoezi la ufutaji wa maombi na Leseni kuwa endelevu
-Amtaka kila mmoja...
Watumishi wa hii serikali sijui kitu gani wanaweza!
Zamani walikuwa na mfumo wa leseni manual katika manispaa, ilikuwa ukilipa mpaka muda wa leseni unaisha hujaipata! Sasa hivi online kuomba nayo unalipia unakaa wiki nzima leseni hawatoi!
Inabidi na hizi wizara nyingne nazo tutafute...
Serikali imesema kuwa ilibatilisha leseni za maduka ya kubadilisha fedha za kigeni yaliyokutwa na makosa mbalimbali yakiwemo ya kujihusisha na uhamishaji wa fedha nje ya nchi bila kuwa na leseni wala kibali cha Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri...
Yaani Nawaza Kisichowezekana
Nimejiuliza sana, nikajiuliza tena na tena, hivi kwa nini Watoa Huduma wote wanatakiwa wawe na vyeti vya kufuzu masomo yao, na kama haitoshi, pale wanapotaka kufanyakazi wanapaswa wawe na leseni.
Mfano Madaktari, Walimu, Mafundi wanatakiwa wawe na vyeti vya ufauru...
Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba (kushoto) akimkabidhi leseni ya kuongezewa muda wa uchimbaji wa mgodi wa Barrick Bulyanhulu kwa Meneja wa Barrick nchini, Melkiory Ngido katika hafla hiyo , wanaoshuhudia nyuma (kushoto) ni Waziri wa Madini, Mh.Antony Mavunde na Mkuu wa...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, tunakuomba upitie ,ufuatilie leseni ya utafiti wa Dhahabu ambayo imekwisha muda wake PL 6973/2011.
Leseni hii Mama yetu na Rais wetu Dkt. Samia, alisema ni eneo la wachimbaji wadogo huu ni mwaka wa tatu.
Kwanini haifutwi ili kuruhusu wachimbaji wadogo...
Kama kichwa kinavyojieleza. Wiki ya 3 inakwenda mteja nafanya kubembeleza mfanyabiashara. Natumia gesi ya hawa wapuuzi baada ya kushawishiwa na sijui wakala wao baada ya kutuunga kwenye group watu wengi. Nikauliza group la nini ndio kujua habari za M gas.
Kazi iko hapa > betri imeisha, mtungi...
Habari za muda huu waungwana.
Nina leseni ya udereva yenye madaraja A, A2, B, D, E, F & G. Je nitaweza kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber, Faras, nk kwa kutumia leseni yenye madaraja haya?
Natanguliza shukrani.
Hatuwezi kusema moja kwa moja kazi ya boda ni laana!
Lakini matendo ya madereva bodaboda wengi wao nikama wana laana!
Huko barabarani honi ndiyo breki, hawana kusubiri, wanaovateki hovyo wakiamini wapo sahihi muda wote!
Bahati mbaya boda anapoovateki kushoto na mwenye gari ikawa anakwepa...
Kumekuwa na usumbufu mwingi namna ya kupata leseni ya biashara kwa njia ya mtandao yaani TAUSI PORTAL, hawatoi control number Kwa ajili ya kufanya malipo, ukiomba wana reject na wanapiga simu wakidai uende na hela halmashauri ukalipie, ni usumbufu sana
Hii taasisi kila wakati inatoa taarifa kwa umma kupitia tovuti yao ya www.bot.go.tz kuonya watu waache kufanya biashara ya kukopesha bila leseni yaani kinyume na Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 na kanuni zake.
Kinachinishangaza ni kuona matamko mengi ya kuonya watu wanaojihusisha...
Habari wakuu,
Kama heading inavyoeleza hapo juu, Naomba kwa mwenye experience na masuala haya ya mafuzo ya udereva yanavyokwenda anishauri ni Driving school gani niende ili kupata elimu ya mafunzo ya kuendesha Magari japo haya mdogo kwanza lakini muhimu nijipatie cheti...
Ningeomba kujua pia...
Hoja yangu kama inavyojieleza, hivi haya matukio ya Fatuma Karume, na swala la Mwambukusi wajuvi au wasomi wetu wa Sheria imekaaje na ukimya wa TLS?
Je, haki ilitendeka au ndio ile funika kombe mwanaharamu apite?
Kiukwel inanitia shaka juu ya mstakabali wa wasomi wetu wenye uelewa wa kutokuwa...
Mwaka huu wa Fedha kumekuwa na usumbufu mkubwa kwa wafanyabiashara wanapoenda kukata leseni za biashara. Mfanyabiashara anapofika kwa Afisa Biashara anaelekezwa kufanya taratibu zote akitakiwa kwenda kwenye Internet cafe ili kukamilisha taratibu zote za kupata leseni.
Aidha wanaombwa na...
Tume ya Utangazaji imeitaka WASAFI FM Radio kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kuvunja masharti ya leseni kwa kuidanganya Tume juu ya Studio zao za Unguja kutotumika kwa vipindi vya aina yoyote kwa karibu miezi mitatu sasa
Tume imeitoza ZBC Faini Tsh. Milioni 1 kwa kipindi cha MICHAPO kuonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.