serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 nini kifanyike ili uchaguzi uwe huru na wa haki

    Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano (1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na eliimu ya kutosha. (2) Mpaka sasa Wizara husika haijatunga kanuni za kuendesha uchaguzi huu na bado...
  2. R

    Je, umeziona na kuzisoma kanuni mpya za uchaguzi wa serikali za mitaa?

    Nimejiuuliza zilipo kanuni za kusimamia uchaguzi wa serikali za mtaa. Nimezisaka mitandaoni na kwenye gazeti la serikali zijaziona. Lakini Mzee Lipumba na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi wanasema kanuni zipo tayari. Mwana CCM mwenzangu umeziona kanuni hizi mpya za uchaguzi? Nani amezitunga? Je...
  3. Guantanamoh

    KERO Wakazi wa Goba njia ya Tegeta A kwenda Madawa na Kulangwa tuna changamoto kubwa ya Barabara

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kazi iendelee. Mama Samia, wakazi na wapiga kura wako wa Goba njia ya Tegeta A kwenda kutokea Madawa na njia Tegeta A kuelekea Kulangwa kupitia makanisa ya Katoliki Tegeta A, na Anglikana Tegeta A tuna changamoto kubwa sana ya barabara haitaki kutatuliwa kwa...
  4. K

    Uchaguzi 2025 Ushauri wa Serikali: Uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho

    Mimi nashauri uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho na sheria ziwekwe vizuri. Wataalamu wengi wanasingizia muda wakati huo huo wanasema sheria zinahitaji kubadilishwa. Hivyo hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi ambao kwa ulivyo sasa utashusha na kupunguza uaminifu wa hata...
  5. Roving Journalist

    Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa juu ya Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea Chaguzi za 2024/2025 (siku ya pili)

    Leo ni Siku ya pili ambapo TCD inawakutanisha wadau katika Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 na uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025. Mkutano huu ulianza jana Mei 8 na unamalizika leo...
  6. Roving Journalist

    Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja wa Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea Chaguzi za 2024/2025

    TCD kuwakutanisha wadau kutafakari Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu. Mkutano huu wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 na uchaguzi...
  7. Comrade Ally Maftah

    Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 - sera (tutawainua kiuchumi na kifikra)

    MAPENDEKEZO KUHUSU SERA NA KAULI MBIU KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA - 2024 MKOA WA DAR ES SALAAM ( WILAYA YA KINONDONI ) Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA PENDEKEZO LA KAULI MBIU "TUTAWAINUA WANACHI KIUCHUMI NA KIFIKRA" Mapendekezo yatakuja zaidi kwa maana ya matamshi. MANTIKI YA...
  8. B

    Serikali za Mitaa zinavyoshilikiana na polisi wa Madale kuwaumiza wananchi kwa rushwa

    Habari ndugu! Kuna kero inaendelea huku Tegeta Msigani kwenye Mto wa Kinondo. Mwenyekiti wa CCM wa Serikali za Kijiji amezidiwa tamaa ya pesa na mapolisi wa Madale. Kuna wachota mchanga kwenye bonde ambapo sasa hivi limepanuka zaidi na kuwa mto, hivyo wanafunzi wanaosoma Msigani Primary wapo...
  9. T

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Matumizi ya Sayansi na Teknolojia Katika Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Utangulizi: Uchaguzi ni Haki ya msingi katika nchi yenye utawala bora ambao ni utawala unaofuata misingi ya sheria, haki, usawa, uwajibikaji, ushirikishwaji, demokrasia katika kuchochea uhuru binafsi katika ushiriki wa wananchi kuchagua viongozi wanaowahitaji na kuwaona wanafaa katika kuwaletea...
  10. Fazzah5x

    Rushwa kwenye Serikali za Mitaa

    Wakuu hivi ni sheria gani inayoruhusu mtendaji wa mtaa kudai sh.10,000 kwa saia kwaajili ya kugonga muhuri?
  11. Roving Journalist

    Ripoti Kuu ya Mwaka ya Ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2022/23

    Ripoti ya mwaka ya ukaguzi wa Tawala za Mikoa na Setikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha 2022/23 kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418. Ripoti hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi na...
  12. P

    Mbunge Ulanga: Viongozi wa dini wadumishe amani na utulivu kuhakikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu unapita salama

    Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro, Salim Alaudin Hasham wakati akishiriki ibada ya Pasaka katika kanisa la Roma Kwiro wilayani Ulanga amesema viongozi wa dini wanatakiwa kudumisha amani na utulivu kuhakikisha chaguzi zote mbili; Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 pamoja na Uchaguzi Mkuu...
  13. chiembe

    Barabara za mitaani kuamua uchaguzi wa serikali za mitaa 2024

    Kwa maoni yangu, moja kati ya mambo ambayo yataamua hatima ya chaguzi za wenyeviti wa vitongoji, mitaa na vijiji, ni barabara za mitaani. Mvua kubwa za 2023/2024 zimeacha miundombinu hiyo ikiwa imeharibika sana, na ni kero kubwa kwa wananchi
  14. Suley2019

    Prof. Lipumba: Napata wasiwasi kanuni zipi kutumika Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti, kwa kuwa haijulikani utatumia kanuni zipi. Lipumba ametoa kauli hiyo leo Machi 11, 2024 wakati wa...
  15. Heparin

    Freeman Mbowe: Naagiza ngazi zote za chama ziandae wagombea wa kushinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025

    Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Viongozi hawa wawe na...
  16. Stephano Mgendanyi

    Zawadi Pekee kwa Rais Samia ni Wanawake Kuingia Nafasi za Maamuzi Wenyeviti Serikali za Mitaa katika Mitaa 564 Dar es Salaam

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Dar es salaam Ndugu. Mwajabu Mbwambo, ameshiriki katika mkutano wa waandishi wa habari uliondaliwa na katibu mkuu Uwt Taifa Ndugu Joketi Mwegelo. Ukiwa na lengo la kuwahabarisha wanawake katika kuelekea siku ya wanawake duniani kuendelea kumuunga...
  17. Papaa Mobimba

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu, CCM waanza kutoa kauli tata

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya makada wa CCM wameanza kutoa kauli tata ambazo zinaashiria kuwa vyovyote itakavyokuwa lazima CCM ibaki Madarakani. Kwamba CCM hakijaombwa kushindwa. Kada mmoja amenukuliwa akiwaponda ACT Wazalendo kuwa haiwezekani wao...
  18. Stephano Mgendanyi

    Emmanuel Cherehani: Wananchi Jitokezeni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    📍Ushetu - WANANCHI JITOKEZE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA-MBUNGE CHEREHANI Wananchi wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2024. Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga Mhe Emmanuel Cherehani ameyasema hayo tarehe...
  19. mwanamwana

    Uchaguzi 2025 Vyama vya Siasa vya upinzani vijikite kuwaandaa wagombea mapema kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ni vyema vyama vyote vya upinzani vitakavyoshiriki vikaanza maandalizi mapema kabla giza halijazama. Wote tunakumbuka uchafuzi uliofanyika katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ambapo vyama vya upinzani vilipata pigo moja...
Back
Top Bottom