Ripoti Kuu ya Mwaka ya Ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2022/23

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,848
12,084
Ripoti ya mwaka ya ukaguzi wa Tawala za Mikoa na Setikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha 2022/23 kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418.

Ripoti hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi na mapendekezo ya hatua za kuchukua ambazo zinalenga kukuza uwajibikaji katika ukusanyaji na matumizi ya rasilimali za umma.

Pia soma: CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22
- Ripoti 21 za CAG zatua Bungeni kwa ajili ya kuanza kujadiliwa
============

The report of the annual audit of Regional and Local Government Authorities for the financial year 2022/23, according to Article 143(4) of the Constitution of the United Republic of Tanzania of 1977 and Section 34 of the Public Audit Act, Chapter 418.

This report presents the audit findings and recommendations for actions to enhance accountability in the collection and utilization of public resources.
 

Attachments

  • Ripoti_Kuu_ya_Ukaguzi_wa_Serikali_za_Mitaa_kwa_Mwaka_wa_Fedha_2022.pdf
    16.4 MB · Views: 6
Back
Top Bottom