serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr George Francis

    Wajibu wa serikali za mitaa kuwalinda watu wenye ulemavu

    Baada ya kuangalia wajibu wa ndugu kwa watu wenye ulemavu katika mada iliyopita. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake. Jukumu hili...
  2. Richard

    Mjadala: Upinzani utaanzaje kujipanga kwa uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na hatimae uchaguzi mkuu wa uraisi wa 2025 ndani ya mazingira magumu?

    Lengo la mada hii ni kuona wale wapenda demokrasia na siasa za kweli wakijongea hapa na kushusha nondo na madini mbalimbali katika kufanya kitu chitwa "brain storming". Katika muktadha huo basi, tutaweza kuangalia sera za chama cha CCM ambacho ndicho chaongoza serikali ya Tanzania kwa sasa na...
  3. BARD AI

    Sababu ya wananchi kususia vikao serikali za mitaa

    Wakati vumbi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 likiwa bado halijatulia, baadhi ya wenyeviti wa mitaa na vijiji nchi nzima wanashindwa kuitisha mikutano ya kila robo mwaka kutokana na wananchi kudaiwa kuisusia. Mbali na wananchi kususia mikutano hiyo katika baadhi ya mitaa na vijiji...
  4. J

    CHADEMA watashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024?

    Nauliza tu kwa sababu huku mitaani hakuna ofisi wala bendera za Chadema Ni vema watutaarifu mapema maana kupanga ni Kuchagua Mungu ni mwema wakati wote
  5. Mr George Francis

    Wajibu wa Serikali za mitaa kuwalinda watu wenye ulemavu

    WAJIBU WA SERIKALI ZA MITAA KUWALINDA WATU WENYE ULEMAVU. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake. Jukumu hili linatekelezwa na...
  6. M

    Ajira sekta binafsi Vs ajira za serikali za mitaa

    Hili lipoje , mnapomaliza chuo na mkafanikiwa kuajiriwa , mmoja akijiriwa sekta binafsi na mwingine akajiriwa serikalini hasa hizo ajira za local government, maisha ya aliyeajiriwa private sector huwa mazuri ukilinganisha na wale wa serikalini,lakini as time goes on wajiriwa wa serikali maisha...
  7. Huihui2

    Wanasema Hayati Magufuli Alikuwa Anakubalika sana: Kwanini basi aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020?

    Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri. Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020? Kama alikuwa anakubalika kwannini...
  8. B

    Aina za halmashauri kwenye serikali za mitaa

    Naomba kuuliza wataalamu, je kuna aina ngapi Za halmashauri kwenye serikali za mitaa?
  9. Suley2019

    Viongozi wengi wa Serikali za Mitaa wapiga dili. TAKUKURU wamulikeni

    Salaam Wakuu, Leo kijana wenu nimeona niseme kidogo kuhusu kero ya rushwa na kutaka chochote kitu kwa Viongozi wengi wa serikali za Mitaa wakiwemo Wenyeviti, Wajumbe, Watendaji na wengineo wa ngazi hiyo. Kumekuwa na muendelezo wa tabia ya viongozi hawa kutaka pesa kidogo (rushwa) kila...
  10. Mawematatu

    Wenyeviti Serikali za Mitaa amkeni: Wakuu wa Wilaya angalieni hii inawahusu

    Viongozi wa mitaa ndiyo base ya mambo yote serikali inayopanga. Bila Hawa viongozi kufanya kazi yao kazi haiwezi kufanyika. Mabalozi wa shina ndio msingi mkuu wa kuunganisha wananchi. Dhana yote ya utawala bora itategemea oganaisheni(organization) ya Mh DC, na wananchi bila Hilo hakuna kitu...
  11. L

    Je, Mkurugenzi wa manispaa kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa ni sahihi?

    Kuna taarifa kuwa siku ya kesho mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni anaenda kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa yote ya Kinindoni zaidi ya 150. Nauliza haya ndio matumizi sahihi ya kodi zetu? Je, akitokea mwingine akaamua kipaimara cha mtoto wake alishe wajumbe wote kwa hela za umma...
  12. ommytk

    Vibali vya ujenzi moja ya kichaka cha rushwa Serikali za Mitaa

    Serikali ebu ijaribu kuweka mfumo mwepesi wa kupata kibali cha ujenzi.urasimu ni mkubwa sana na utaratibu mgumu unachukua muda na inapelekaa watu wengi kumalizana na wajumbe tu kwa kutoa chochote na maisha yanaendelea. Yaani ili la vibali kwasasa ndio chanzo kikubwa. Cha Serikali za mitaa...
  13. beth

    CAG 2019/20: Mapungufu katika Usimamizi wa Mali za Mamlaka ya Serikali za Mitaa

    CAG ameonesha mapungufu yafuatayo katika usimamizi wa mali za Mamlaka ya Serikali za Mitaa; 1. Kutokuwepo kwa Hati za Umiliki wa ardhi zenye thamani ya TZS. 1.14 trilioni katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa 27, kutokana na uzembe wa menejimenti za Halmashauri husika kutokupima ardhi...
  14. beth

    Ripoti ya Uwajibikaji: Changamoto za Usimamizi wa Rasilimali watu katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa

    Katika ukaguzi wa mwaka 2019/20, CAG ameonesha changamoto zifuatazo katika usimamizi wa rasilimali watu katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa; Idara ya Ujenzi, Sekta ya Elimu na Afya kuathiriwa na Upungufu wa Watumishi 119,753 Katika mapitio ya idadi ya wafanyakazi katika Halmashauri 123, CAG...
  15. beth

    Kuongezeka kwa Hati zenye shaka na hati mbaya za ukaguzi kwa mwaka 2019/20

    Ripoti za Ukaguzi za mwaka 2019/20 zinaonesha kuongezeka kwa Hati Zenye Shaka na Hati Mbaya zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa na Miradi ya Maendeleo. Mwenendo wa Hati zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa a Miradi ya Maendeleo ni kama ifuatavyo; Hati za Ukaguzi...
  16. pombe kali

    Yaliyonikuta ofisi ya kata nimeelewa kwanini wananchi wa Msumi walijichukulia Sheria mikononi

    Inaudhi, inaumiza nimedunduliza nimenunua eneo ambapo nimepitia kwa mamlaka zote za Serikali ya mtaa/kijiji na pia ofisi ya kata cha kusikitisha wanatokea watu wawili au watatu wenye nyaraka za manunuzi ambazo pia zimepewa Baraka na mamlaka hizi, namtafuta mtendaji wa kata haonekani ofisini wiki...
  17. idoyo

    Tuboreshe Utendaji wa Serikali za Mitaa ili kuleta Tija

    Kumekuwa na tabia ya kuunda mikoa mipya (na hata wilaya) kwa kigezo cha kusogeza huduma kwa wananchi. Tunafanya hivi kwa sababu hatuzingatii utendaji wa tamisemi. Tamisemi zilianzishwa kwa makusudi ili kusogeza huduma karibu zaidi lakini hazifanyi kazi ipasavyo. Tuboreshe muundo kama ifuatavyo...
  18. U

    TAMISEMI: Tume ya Utumishi wa Walimu, fanyeni msawazo wa walimu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuweka uwiano

    Waziri Ummy - Fanyeni msawazo wa waalimu nchini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ameielekeza Tume ya Utumishi wa waalimu nchini kuhakikisha wanafanya msawazo wa waalinu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuweka uwiano sawa wa waalimu...
  19. S

    Ushauri kwa CCM kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Ushauri kwa Chama Cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025: 1. IGP Simon Sirro aendelee kuimarisha jeshi la polisi na kuhakikisha anaendelea kutetea Chama Cha Mapinduzi, 2. Tume ya Taifa ya Uchaguzi iendelee na utaratibu wa kukata majina ya wagombea...
  20. Saint Ivuga

    Nani anapanga tozo za tunazolipa Serikali za mitaa?

    Wakuu naomba kuelimishwa hapa. Anayepanga hizi tozo tunazolipa Serikali ya mitaa ni nani? hasa Kinondoni. tozo kama Garbage fee collection, Ulinzi shirikishi. Nani anapanga kiwango na je hwa jamaa wapo chini ya nani? who regulate them.
Back
Top Bottom