baraza

Violet Awindi Barasa (June 21, 1975, Sikhendu village, Bungoma District, Kenya – February 12, 2007, Webuye) was a volleyball player from Kenya. Her surname is sometimes spelled as Baraza.
She was a long-time captain for the Kenyan women's national volleyball team. Baraza represented Kenya in the 2000 and 2004 Olympic Games, three times in the World Championship and in numerous continental events.She was one of the few Kenyan players to play professional volleyball abroad, for Al Ahly in Egypt, Vileo and Unic-Romania in Romania, Panellinios in Greece and Dicle University in Turkey.She died in February 2007 at the Webuye District Hospital of undisclosed causes. At the time of her death, she was still an active player with the Kenya Commercial Bank volleyball club, although she had been dropped from the national team.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kwa mara ya kwanza

    Rais Samia Suluhu Hassan muda mchache ujao ataongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri. Updates; Mawaziri wote wako ukumbini wakiongozwa na waziri mkuu na tayari Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameshaingia ukumbini. Rais wa JMT mama Samia ameingia ukumbini na kufungua kikao na sasa majadiliano...
  2. J

    Dkt. Faustine Ndugulile afungua Kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi cha Shirika la Mawasiliano Tanzania

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndugulile afungua kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi cha Shirika la Mawasiliano Tanzania leo katika ukumbi wa Kambarage, jengo la Shirika la Nyumba la Taifa, jijini Dar es salaam. #Siku100ZaUtekelezaji.
  3. M

    #COVID19 Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya laitaka Serikali kuruhusu chanjo zote za COVID

    Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Kenya limeitaka serikali ya Kenya kukubali na kuruhusu kuruhusu chanjo zote halali za COVID-19. Kwamba kanisa katoliki limeruhusu mtandao wa hospitali zake zote nchini Kenya kkutumika kama vituo vya chanjo za COVID-19 --- Catholic Bishops have now...
  4. Ikaria

    Rais Uhuru Kenyatta akutana na Rais wa Baraza la Ulaya

    Rais Uhuru Kenyatta leo tarehe 9 Machi, 2021 amefanya kikao na Rais wa Baraza la Ulaya Charles Michel katika Ikulu ya Nairobi. Viongozi hao wamejadili masuala pana yanayohusu uhusiano wa Kenya na Umoja wa Ulaya yakiwemo: • Kukuza uhusiano wa sekta binafsi ya Kenya na Umoja wa Ulaya ili kubuni...
  5. mkamanga original

    Nahitaji msaada wa kupata mwongozo wa ufanyikaji wa vikao vya baraza la wafanyakazi la Halmashauri

    Wakuu naomba msaada wa kusaidiwa mwongozo wa vikao vya baraza La wafanyakazi LA Halmashauri .Ikiwa ni pamoja na 1.wajumbe wake 2. Ikidi 3. Meza kuu wanakaa watu gani 4. Linatakuwa lifanyike Mara ngapi kwa mwaka 5. Mwenyekiti wake anapatikanaje
  6. Buyaka

    #COVID19 Marekani: Maaskofu wa Kanisa Katoliki wapinga chanjo ya Covid-19 ya Johnson & Johnson

    OFISI KUU ya Mafunzo ya Imani ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Marekani. Pamoja na maaskofu wa dayosisi kadhaa nchini humo wamewaonya wana kondoo wao kuepuka chanjo ya Covid-19 inayozalishwa na kampuni ya Johnson and Johnson kwa sababu imekiuka misingi ya maadili ya kanisa kuanzi...
  7. Papaa Mobimba

    Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

    Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji. Ameongeza kuwa vifo...
  8. Mama Amon

    Ushauri kwa Waziri wa Afya: Andaa na Kupeleka Waraka wa kuanzisha Tume ya Kupambana UVIKO katika Baraza la Mawaziri

    Kwa mujibu wa mchakato wa utafiti wa kisayansi, bila kuchukua vipimo kwa ajili ya kuthibitisha usahihi wa rai (hypotehsis) kwamba Tanzania kuna UVIKO ni vigumu kukanusha usahihi wake. Taifa lilifanya vizuri miaka ya 1980 pale janga la VVU na UKIMWI lilipozuka. Tuliunda TUME YA TAIFA YA...
  9. britanicca

    Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

    Askofu JUDE THADEUS: Asante mlovaa barakoa/nawalaum msiyo Vaa/Hali n Tete. Ameyasema katika mazishi na kaongea mengi sijui kama hii Serikali hii itamuachaa Pitia video Britannica
  10. Miss Zomboko

    Chato: Baraza la Madiwani lawasimamisha kazi Watumishi 15 kwa ubadhirifu wa Tsh bilioni 3.6

    Baraza la madiwani halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita limewasimamisha kazi watumishi 15 wa idara mbalimbali kutokana na ubadhirifu wa Sh3.9 bilioni za miradi ya maendeleo. Miongoni mwa watumishi hao sita ni wa idara ya manunuzi ,wengine sita ni watendaji wa vijiji, wauguzi wawili na...
  11. B

    Baraza la Senate laamua Donald Trump hana hatia

    13 February 2021 Ni wajumbe 57 walikubaliana na tuhuma wakati wajumbe wa senate 43 wamemuona hana hatia . Baraza la Senate kwa utaratibu wake wa kutoa adhabu ya kumuona Rais anawajibika kwa lolote , ilitakiwa baraza la senate likubaliane kwa kura 67 yaani 2/3 ya wajumbe wa baraza la Senate...
  12. Analogia Malenga

    Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

    Baraza la Chuo Kikuu Huria, limekaa kikao cha dharura na kuagiza Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda aombe radhi kwa Wizara ya Elimu, Chuo Kikuu Huria na Umma kwa waraka wa tahadhari ya #CORONAVIRUS alioutoa Februari 8, 2021. Prof. Bisanda alitoa waraka kuwatahadharisha wafanyakazi...
  13. Erythrocyte

    TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini CHADEMA, Arcado Ntagazwa afariki dunia

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kwa masikitiko makubwa kinatangaza kifo cha Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama, Mhe. Dennis Arcado Ntagazwa, kilichotokea asubuhi, Jumatano, Februari 10, mwaka huu katika Hospitali ya Mlonganzila, alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Zaidi. soma: Thomas...
  14. Superbug

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), naomba majibu ya maswali haya...

    1. Jamii ya watanzania haipendi kujisomea. 2. Wanafunzi wa Tanzania hasa O level hawawezi kujisomea bila usimamizi wa mwalimu. 3. Familia nyingi Tanzania hazina uwezo wa kuwanunulia watoto vitabu ili wajisomee nyumbani. 4. Shule pia hazina vitabu kabisa vya kutosha. 5. Shule zilifungwa muda...
  15. Q

    Tundu Lissu: CHADEMA haijapokea ruzuku hata senti 5, Baraza Kuu kukaa Machi au Aprili

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Ndg Tundu Lissu amesema, chama hakijapokea ruzuku yeyote toka serikalini na kama kuna mtu ana ushahidi kuwa wamepokea basi auonyeshe, kaongeza kusema, fedha za ruzuku kwa vyama vya siasa ni chanzo kimoja tu cha mapato ya chama, kuna vyama havina ruzuku lakini...
  16. Sky Eclat

    Baraza la kwanza la Mawaziri, Mwalimu Nyerere akiwa Waziri Mkuu

    HILI NDILO BARAZA LA MAWAZIRI LA KWANZA KABISA KWA SERIKALI YA TANGANYIKA BAADA YA KUPATA UHURU MWAKA 1961. Baraza hilo lilikuwa na Waafrika 8, Wazungu 2 na Mhindi 1, Jumla Mawaziri walikuwa 11. Siku hiyo ya uhuru ilipigwa picha ya Baraza hilo la Mawaziri. Katika picha hiyo, anakosekana Sir...
  17. J

    Ni dhahiri Baraza kuu la CHADEMA halitaketi hivi karibuni kwa hofu ya Corona, Mbowe ana hesabu kali!

    Mwenyekiti wa Chadema kupitia twitter amesema " Tanzania Corona iko tele" na ameitaka serikali kuchukua tahadhari. Kwa maana nyingine Freeman Mbowe anatuambia CHADEMA inachukua tahadhari zote za kupambana na Corona ikiwemo social distancing. Na kwa maana hiyo vikao vya watu wengi kama Baraza...
  18. Miss Zomboko

    Muuguzi aliyempiga Mjamzito vibao akutwa na hatia na kuondolewa kwenye baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania

    Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, limemwondoa kwenye orodha ya wauguzi na wakunga Tanzania, Valentine Kinyanga wa kituo cha afya Mazwi, Sumbawanga Mkoa wa Rukwa, baada ya kumkuta na hatia ya kumpiga vibao Zulfa Said aliyefika kujifungua kituoni. Tukio hilo, lilitokea tarehe 5 Januari 2021...
  19. Z

    Siridhiki na utendaji wa Baraza la mitihani la Taifa, NECTA

    HAYA NI MAONI YANGU MIAKA MIWILI ILIYOPITA, LEO 29 JANUARI 2023 NDO YAMETEKELEZWA NA NECTA. NAOMBA LIKES ZENU KWA WALE AMBAO MULIONA VINGINE. _____________________________________________________ Nimeangalia matokeo ya kidato cha 4. Kwa ujumla wake wanafunzi wameshindwa hesabu. Je, Baarza...
Back
Top Bottom