mbolea

Tanzania Mbolea and Petrochemical Company (TMPC), a Tanzanian company that was specifically formed to design, build and operate a fertilizer-manufacturing factory in the Mtwara Region of Tanzania, using natural gas as raw material.When completed, the plant will be the largest fertilizer-manufacturing factory in Africa, with capacity of 3.8 million metric tonnes of product annually.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    SoC04 Mapinduzi ya Usimamizi wa Taka: Teknolojia ya SMART DUMPSITES itakayotokomeza taka mitaa yote Tanzania

    Kuongezeka kwa idadi ya watu ulimwenguni kumesababisha ongezeko kubwa la uzalishaji wa taka ngumu na vimiminika katika mazingira yetu. Ambapo ni asilimia 40 tu ya taka ngumu zinahifadhiwa katika madampo (dumpsites) na asilimia 60 zinatupwa kiholela katika mazingira, hii ni kwa mujibu wa Sanga et...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Fyandomo: Rais Samia Alitoa Ruzuku ya Mbolea Bei Ikashuka Kutoka 150,000 Mpaka 60,000 kwa Kilo Moja

    MBUNGE SUMA FYANDOMO: RAIS SAMIA ALITOA RUZUKU NA BEI YA MBOLEA IKASHUKA KUTOKA TSH. 150,000 MPAKA TSH. 60,000/KILO "Nampongeza sana Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na Amir Jeshi Mkuu kwa kazi kubwa nzuri ambayo aliwaona wakulima maana walikuwa kwenye kipindi kigumu sana ambapo Mbolea...
  3. ACT Wazalendo

    Mtutura: Mbolea ya Ruzuku haiwafikii wananchi, fedha zinazotengwa zinakwenda wapi?

    Waziri Kivuli wa Kilimo, Umwagiliaji na Maendeleo ya Ushirika, Ndugu Mtutura Abdallah Mtutura, ameitaka Serikali ieleze fedha za ruzuku zimepelekwa wapi ikiwa wakulima milioni 2.55 sawa na asilimia 75 ya wakulima waliosajiliwa katika mpango wa ruzuku hawakupata wala kutumia mbolea hiyo licha...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Joseph Kakunda: Lini Serikali Itaweka Utaratibu wa Mbolea Kuwekwa Kwenye Vifungashio vya Kilo 5, 10, 15, 25 na 50.

    Mbunge Joseph Kakunda: Lini Serikali Itaweka Utaratibu wa Mbolea Kuwekwa Kwenye Vifungashio vya Kilo 5, 10, 15, 25 na 50. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema kwa sasa mbolea imeanza kufungashwa kwa ujazo tofauti na inapatikana madukani. Akijibu swali Bungeni jijini Dodoma Bashe amesema...
  5. zipompa

    Waziri Bashe kemea uhuni unaotaka kufanywa na TCJE, kuwanyima neema wakulima wanaolima kupitia vyama vya msingi mbolea ya ruzuku

    Habari wakuu Moja kwa moja kwenye mada Bashe kupitia wizara yako ulituhaidi wakulima tunaolima kupitia vyama vya msingi kunufaika na mboleo ya ruzuku Kweli mwaka huu tumepokea mbolea zilizo na vifungashio vyenye nembo ya ruzuku, tukakubali kwamba ahadi ya kumuinua mkulima kunufaika na ruzuku...
  6. Pdidy

    MALAMIKO YA MBOLEA MH WAZIRI YANAISHA LINI..??MBOLEA ZINAFIKA LATE WHY??

    Wapendwa kuna watu nikiona wanateseka sinagar shida lakini hawa wakulima wazee wetu inauma sana sana jaman embu angalieni itv wikisasa na nusu mikoani wakulima wanalalamika wanalaani mbolea inaletwa haitolewi kwa wahusika na mikoaa mingine wanalaani mboleaa inachelewa iufikaaa haitoshii...
  7. mugah di matheo

    Naomba ufafanuzi kuhusu hii mbolea ya kukuuzia mahindi

    Msaada kutoka kwa wakulima na maafisa ugani. Hivi naweza kutumia SA kukuzia mahindi? Nikiichanganya na superGro?
  8. Meneja Wa Makampuni

    Viongozi wangu hiki kiwanda cha mbolea na kemikali za petroli kiliishia wapi? Tanzania Mbolea and Petrochemical Company

    Hiki kiwanda cha mbolea na petrochemical kinaonekana kipo Tanzania ukiangalia kwenye page ya wikipidia. --- Wajerumani kujenga kiwanda kikubwa cha mbolea Mtwara Kampuni ya HELM A.G ya nchini Ujerumani imeanza maandalizi ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuzalisha mbolea, kitakachojengwa katika...
  9. Per Diem

    Bashe anapaswa kujibu hili, amefeli kwenye kilimo. Hili la mbolea limeumbua, angalia idadi

    Kuna nguvu ilitumika sana kwenye suala la mbolea mwaka jana, nyimbo zilitungwa na sifa ziliimbwa kwa waziri bashe kuhusu mbolea ya ruzuku. Bashe akasema anataka kumuinua mkulima ndio maana anasaidia wakulima wote wapate mbolea ya ruzuku. Hafla ya mbolea ya ruzuku kwa wakulima ilifanyika mbeya...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Gwau Aishauri Serikali Ruzuku ya Mbolea Ipelekwe Kwenye Viwanda vya Ndani

    MBUNGE MARTHA GWAU - "RUZUKU YA MBOLEA IPELEKWE KWENYE VIWANDA VYA NDANI" AISHAURI WIZARA YA KILIMO "Tanzania tuna wakulima wa aina tatu; wakulima wadogo (Small Scale Farmers), wakulima wa kati (Middle Scale Farmers) & Wakulima wakubwa (Large Scale Farmers). Wakulima wadogo ndio Mama zetu, Baba...
  11. K

    Ulanguzi wa Mbolea ya Ruzuku

    Katika msimu wa kilimo wa mwaka huu kumekuwapo na ulanguzi wa mbolea ya ruzuku. Mfano hai ulanguzi huu unafanyika katika Mtaa wa Lumumba hapa Mwanza ambapo mbolea ya kilo 50 ya CAN na UREA bei ya ulanguzi ni Tshs.130,000 mpaka 150,000 ambapo bei halisi ni Tshs. 70,000. Tujiulize hawa walanguzi...
  12. Titicomb

    Russia kupeleka mbolea bure nchini Kenya

    Wakati MK254 akimtukana na kumshambulia Rais Putin kila siku, yeye aamua kumjibu kwa vitendo kwa kupeleka mbolea bila malipo nchini Kenya na gharama za usafiri italipia Russia yenyewe ili kuwakomboa na njaa wakenya wanaoteseka na njaa kali. Nasema hivi UUNGWANA NI VITENDO. Russia to deliver...
  13. S

    Spika amzuia Mbunge wa Iringa kujadili hoja ya kufutiwa leseni mawakala wa mbolea

    SPIKA wa Bunge, Tulia Ackson amemzuia Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu aliyeomba mwongozo wa Spika bungeni leo Aprili 18 2023 kutokana na mgogoro mkubwa wa mbolea unaotishia mazao ya wakulima kuungua kwa kukosa mbolea baada ya uamuzi wa Serikali kuwafutia leseni mawakala 721 kutokana...
  14. K

    Serikali ya Rais Samia kutoa mbolea ya ruzuku mpaka 2025

    Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dk Stephan Ngailo amesema serikali itatoa mbolea kwa miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2022/2023 hadi 2024/2025 ili kuwapunguzia wakulima gharama za kilimo. Serikali imeanza maandalizi ya kutoa ruzuku ya mbolea kwa msimu...
  15. Maguguma

    Serikali itatue changamoto zilizojitokeza wakati wa uuzaji wa Mbolea ya Ruzuku

    Wananchi Wengi wa mkoa wa Ruvuma wampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mbolea ya ruzuku ambayo imewawezesha wakulima wengi kununua na kuongeza uzalishaji kwenye mazao yao, kwa bei ya Elfu 50,000 hadi 70,000 kwa mfuko wa Kilo 50. Mbolea ya Ruzuku imewasaidia wakulima kuondokana na...
  16. R

    Waziri Hussein Bashe aagiza Mshindo Msola akamatwe

    Wazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au kuchakachua Mbolea inayopelekwa Kwa wakulima. Mifuko zaidi ya 700 imekutwa ndani ya ghala Hilo...
  17. Roving Journalist

    DC aongoza upandaji wa miti 1000 Rungwe ndani ya siku moja, aahidi Mbolea ya Ruzuku kuendelea kusambazwa

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameongoza zoezi la Upandaji miti katika Kijiji cha Ijoka, Kata ya Mpombo Halmashauri ya Busokelo ikiwa ni hatua muhimu ya kulinda vyanzo vya maji, kudumisha uoto wa asili, na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Jumla ya miti 1000 imepandwa leo...
  18. MakinikiA

    Ruzuku ya mbolea haina fada kwa Mtanzania

    Kwa bei hii ya vyakula unga, Michele, maharage ni kwamba ruzuku haijafanya lolote kumnufaisha mtanzania mlipa kodi wa mbagala Dar es salaam. Wafanyabiashara wachache na wakenya ndio wanaofaidika wa ruzuku hiyo.
  19. L

    Mbolea za Ruzuku wapewe JKT kusambaza

    Taarifa ya habari Leo kwenye vyombo mbalimbali waziri wa kilimo amesema msimu huu kulikuwa na changamoto ya usambazaji wa mbolea. Hivyo, msimu ujao watawatumia/watatumia vyama vya ushirika. Ni jambo jema kabisa. Mimi nilikuwa ninawaza hivi hawawezi kuwatumia JKT? JKT inahusika na Shughuli za...
Back
Top Bottom