kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Naomba turuhusiwe kutumia VPN wakati wa hili janga la Internet

    Tangu jana sisi ambao asilimia kubwa ya kazi zetu zinategemea mtandao wa internet tumeathirika vibaya. Ningeomba mamlaka ya mawasiliano itoe ruhusa ya kutumia VPN bila kuomba kibali kwa kipindi hiki kigumu maana sidhani kama tatizo hili litatatuliwa mapema. Kuna sites kadhaa natumia kwa kazi...
  2. Friedrich Nietzsche

    Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Nina kijana wa miaka 17. Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah. Shuleni ni average sana...
  3. Webabu

    Kwa Israel kukishikilia kituo cha mpaka cha Rafah ndio imekamilisha kampeni yake ya kutumia chakula kama silaha ya vita

    Alfajiri ya kuamkia leo jeshi la Israel kwa kutumia vifaru na mashambulizi ya anga wamefanikiwa kufikia kituo cha mpaka wa Gaza na Misri na kukishikilia kituo hicho kutokea upande wa Gaza. Mara baada ya kufanikiwa kukishika kituo hicho jeshi la Israel limezuia uingizwaji wa misaada ndani ya...
  4. BARD AI

    Wizara ya Elimu yaomba kutumia Tsh. 1,968,212,534,000.00 katika mwaka 2024/25

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia chini ya Waziri Mhe. Prof. Adolf Mkenda imeomba bunge kupitisha Makadirio ya Bajeti ya Wizara yenye jumla ya Shilingi 1,968,212,534,000.00. VIPAUMBELE Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania laidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 1.97 zilizoombwa na...
  5. K

    DC kutumia Ofisi ya Umma kwa mambo ya chama ni sawa?

    Habari za wakati huu Wana jukwaa hili. Leo nimekuja hapa na hoja ya matumizi ya mali za Umma katika shughuli za Chama chochote cha siasa. Wote tunajua kuwa siyo sahihi na ni kosa kisheria, mali za Umma, mali za serikali kutumika katika shughuli za Chama chochote cha kisiasa. Zinaweza kutumika...
  6. BOB LUSE

    Wadada saidia waume zenu kutafuta Hela, sio Kutumia Hela tu Ili ndoa zenu zidumu

    Kuna baadhi ya wanawake wanaenda na kauli mbiu kuwa mwanaume ni wajibu wake kutafuta Hela, yeye kazi yake kutumia.. Hilo janga kwakuwa linapingana na neno la Mungu kuwa asiyefanyakazi na asile. Kila mtu anawajibika kuwa na Mchango katika familia, sio kusubiri kudaka tu. Heshima yako na ndoa...
  7. J

    SoC04 Kuwezesha vijana kutumia rasilimali zetu katika kutatua changamoto ya ajira

    Vijana wawezeshwe kujitegemea katika kukuza uchumi wa nchi kwa kutumia changamoto kama fursa. Mungu ametujalia ardhi yenye rasilimali nyingi ambazo asilimia kubwa hatuzitumii katika kuziongeza thamani Ipo haja serikali kuwasaidia vijana waweze kuongeza thamani katika bidhaa. Mfano sioni haja...
  8. Angyelile99

    SoC04 Kuondoa ubaguzi kwa kutumia lugha ya alama kwa walemavu wa kusikia na kuongea

    utangurizi: Pamoja na uwepo wa jitihada za serikali katika kutoa elimu maalumu kwa watu wenye matatizo ya kusikia na kuzungumza, rakini bado kumekua na changamoto mbali mbali ambazo haswa zimekua zikitokana na kukosekana kwa lugha ya pamoja kati ya watu hawa na jamii inayo wazunguka hivo...
  9. Crimea

    Napata shida sana kutumia hii app mpya ya JF.

    Haya maboreho kwenye hii app ya jamiiforums.com kwangu naona ni kero sana kuitumia. Kwanini hawa kubaki na muonekano ule ule wa zamani ulikuwa unampa mtu urahisi wa kutumia. Hii ya sasa hakuna tofauti kati ya anaetumia app na Web. Kioo kimeminywa, hebu angalia kama hiii picha hapa chini...
  10. Jamesdominic

    Tutatumia ziwa Tanganyika kwenye umwagiliaji

    "Baada ya Bunge la bajeti kukamilika tunatarajia kuanza kuyatumia maji ya ziwa Tanganyika katika shughuli za kilimo na uzuri mitambo tunayo naamini Jambo hili litafanikiwa" - Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo Tanzania Waziri Bashe pia amebainisha kuwa mikakati ya serikali ni kuanza kutumia maji...
  11. S

    Watu wamekuwa waoga kutumia sukari kwa hofu ya kupata kisukari, lakini ukisoma kuhusu chanzo cha kisukari, sioni popote wanaposema sukari ndio chanzo

    Mimi si dakari wala mtaalamu wa mambo ya lishe, bali nimejaribu kusoma vyanzo mbalimbali kuhusu huu ugonjwa na kote nilikupita sijaona palipoandikwa moja kwa moja kuwa sukari ndio chanzo cha kisukari kwa maana ya mtu asie na huu ugonjwa akitumia sukari nyingi ana uwezekano wa kupata kisukari...
  12. Equation x

    Wanaojua kutumia pesa, akaunti zao zinasoma salio kidogo

    Utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua, watu wanaojua matumizi ya hela akaunti zao zinasoma hela ndogo ndogo tu; kama elfu kumi, ishirini au hamsini na haizidi laki; ila kwa wale wasiojua matumizi ya pesa akaunti zao zimenona, zinaweza kusoma kuanzia milioni nakuendelea. Hii inatafsiri...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Sylvia Sigula: Watanzania Wanatamani Kutumia Gesi Kwenye Magari Kwasababu Gesi ni Gharama Nafuu

    Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Sylvia Francis Sigula ameihoji Serikali ni magari mangapi ya Serikali yamefungwa mfumo wa gesi baada ya kuanza kwa kuhamasisha matumizi ya mfumo huo. Sigula amehoji hilo Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Makadiro ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa...
  14. G

    Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi. Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns...
  15. Z

    Mbunge Musukuma ashauri V8 za Mawaziri zifungwe mitungi ya gesi ili kubana matumizi

    Mbunge wa Geita Msukuma ameishauri serikali Kufunga mitungi ya gesi kwenye magari yote ya mawaziri ili kubana matumzi. Ameyasema hayo leo hii 25/04 Bungeni wakati akichangia Bajeti ya wizara ya nishati. Kwa sasa magari ya mawaziri, gari moja yaani V8 ikitoka Dar kwenda Dom inatumia laki 5...
  16. ChoiceVariable

    Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria. Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo...
  17. JanguKamaJangu

    Mabalozi wa Nchi watakiwa kutumia taaluma, uzoefu kuharakisha mabadiliko ya kimfumo

    Mabalozi wamehimizwa kutumia taaluma, uzoefu na ujuzi tofauti waliokuwa nao kuharakisha mabadiliko ya kimfumo yanayoendelea ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili, 23, 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka wakati...
  18. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kutumia Bilioni 33 Kusambaza Maji Jijini Dar es Salaam, Kibamba Yapata Bilioni 13.9 Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025

    "Ipi kauli ya Serikali ya kutokamilika kwa miradi ya Maji katika Jimbo la Kibamba?" - Mhe. Issa Jumanne Mtemvu, Mbunge wa Jimbo la Kibamba "Serikali imekamilisha ujenzi wa miradi mitatu ya usambazaji wa maji kutokea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi Bagamoyo (2B2F), Mshikamano na Kitopeni...
Back
Top Bottom