kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Biashara kati ya China na Afrika inazidi kukosa uwiano? Ukweli uko hapa

    Kwa mujibu wa takwimu mpya zilizotolewa na Wizara ya Biashara ya China, jumla ya biashara kati ya China na Afrika iliongezeka kwa 1.5% mwaka 2023 kuliko mwaka 2022, na kufikia rekodi mpya ya kihistoria ya dola za Marekani bilioni 282.1. China imekuwa mwenzi mkubwa zaidi wa kibiashara barani...
  2. Kaka yake shetani

    Anaye kwamisha nchi kukosa maendeleo ni ccm au mpinzani

    Tokea tupate uhuru hakuna hata chama pinzani kilicho shikilia nafasi yoyote kama raisi,waziri mkuu wala waziri yoyote mwenye dhamana. tuna fahamu kila raisi anayetoka ni wa ccm lakini kila anayekuja kubeba nafasi hiyo uonesha mwenzake aliyetoka alishindwa au kasoro fulani huku akisindikizwa na...
  3. Mjanja M1

    Tanesco yatangaza hitilafu, Mikoa iliyoungwa Gridi ya Taifa kukosa umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo. “Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana...
  4. Mjanja M1

    Madiwani walalamika uhaba wa Viti (Wanakaa Chini)

    Madiwani wa Halmashauri ya Tanganyika mkoani Katavi, wamelalamika kukosekana kwa meza na viti katika ukumbi wa mikutano na ofisi ya Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo na kupelekea madiwani hao kukaa chini wafikapo katika ofisi hiyo huku wakidai kushindwa kuandika kumbukumbu pindi wakiwa katika vikao...
  5. Mjanja M1

    Joh Makini alalamika kukosa sapoti kwenye wimbo wake

    Msanii wa miondoko ya Hip Hop nchini Joh Makini, amelalamika kukosa sapoti toka kwa msanii mwenzake aliefanya nae wimbo. Joh ameandika kwenye ukurasa wake wa X, “Hii tasnia yetu bana kuna vitu vinafikirisha sana sometimes kufundishana uoga kwiingi mtu anakubali kushiriki kwenye wimbo kiroho...
  6. B

    Uchambuzi ziara ya muenezi Paul Makonda, serikali ya CCM 2024 kukosa kura?

    January 2024 TATHMINI YA ZIGO ZITO ALILOTWISHWA MUENEZI PAUL MAKONDA KURUDISHA IMANI KWA RAIA Ziara ndefu ya Paul Makonda ambaye ni katibu uenezi, itikadi na mafunzo wa CCM imeibua na kuweka wazi jinsi chama hiki kongwe dola kimeshindwa kuweka mifumo ya utawala bora. '...
  7. Mhafidhina07

    wale tuloingia na 4 figure kwenye chumba cha mtihani wa kidato cha nne na kukosa cha kujibu kuja hapa.

    leo nimekumbuka sana maisha nikiwa ya kidato cha nne na hasa nilipokuwa naenda kufanya mtihani wa hesabu with zero brain in calculation lakin cha ajabu nilitumia muda mwingi kufikiri kuliko mtihani wowote na ajabu zaidi niliingia na kitabu cha four figure wakati sikuwahi kujifunza kabisa yaani...
  8. Roving Journalist

    Arusha: Jeshi la Polisi lawafutia madaraja Madereva 776 kwa kukosa sifa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama. limeendela kuimarisha ulinzi na usalama hali iliyopelekea kupunguza vitendo vya uhalifu katika Mkoa huu. Sambamba na hilo katika kuhakikisha lina dhibiti ajali za barabarani, hivi karibuni Jeshi la Polisi...
  9. Maleven

    Kukosa ulichokitaka na kupata ulichokitaka yote ni majanga

    Nimekaa nikatafakari endapo ningemkosa huyu mwanamke nilienae, huenda ningekua na mjuto kwa kuamini kulikua na chaguo zuri ambalo sijalipata. Lakini leo nimepata kile ambacho niliamini ndio kitu bora zaidi huku uhalisia ukipingana na nilichokua naamini.. Kweli pema usijapopema ukipema si...
  10. P

    Suala la DAWASA kukosa mita za kuwafungia wateja miezi minne limulikwe

    Unapoongea na wafanyazi wa DAWASA kuomba wakuunganishie maji alafu mtu unajibiwa hatuna mita zaidi ya miezi mitatu; inatia huruma. Mtu unabaki unajiuliza tumekwama wapi kama nchi?
  11. Joe Navarro

    City au Girona Mmoja kukosa Uefa

    Kutokana na Sheria kutoruhusu vilabu viwili tofauti vyenye mmiliki mmoja kushiriki michuano hiyo. Kazi kwao kuchagua aende Nani abaki nani. ? Angalizo : Vipi kuhusu RB SALZBURG na RB LEIPZIG Hawa hawatufichi Jambo kweli ? #Scores90
  12. A

    UN inaonekana kukosa meno kwenye masuala nyeti yanayoikumba Dunia. Dunia inapasuliwa katika pande mbili

    UN ni shirika la Umoja wa Mataifa, Shirika hili lina makao yake makuu katika jimbo la Kaskazini Mashariki mwa Marekani ya Kaskazini linalofahamika kwa jina la New York. Shirika hili lilianzishwa Oktoba 24, 1945 katika mji wa San Francisco katika jimbo la California nchini Marekani (USA). Moja...
  13. DR HAYA LAND

    Hizi ndio sababu zinazopelekea wanawake wa wazuri kukosa kuolewa na baadhi yao kujiuza

    Hili jambo la wanawake wenye mwonekano mzuri na umbo kukosa kuolewa na kuishia kuwa malaya lipo kiroho zaidi. Kwanza ieleweke hivi sio wanawake wote wazuri hawana akili au ni Malaya Ila baadhi yao hawana akili na wameishia kuwa michupuko na Malaya. Hipo hivi binadamu anapozaliwa huwa anapewa...
  14. RUSTEM PASHA

    Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa

    Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao. Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya...
  15. Surya

    Niseme tu namkubali sana Prophet Lovy Elias (Tarehe 08/12/2023 sio ya kukosa)

    Kama ni nondo Huyu nabii anazo kweli kweli, chakula kigumu haswa Prophet Lovy karibu nyumbani watoto wa Mungu tunakupenda sana.
  16. Makamura

    Prince Harry Adai Kukosa haki Ya Ulinzi Akiwa UK

    Prince Harry "bila uhalali, ametendewa vibaya kuliko wengine" juu ya mipango yake ya usalama na ulinzi wake wakati yuko Uingereza. "The Duke of Sussex" anachukua hatua za kisheria dhidi ya Ofisi ya Mambo ya Ndani juu ya uamuzi wa Februari 2020 ambao ulimaanisha kuwa hatapewa tena "kiwango...
  17. K

    Mbona Serikali haisemi ukweli kuhusu suala la umeme?

    Wananchi wanateseka hasa akina Mama machinga kama wauza barafu, saluni, vinywaji baridi nk. Tuliaminishwa kuwa tatizo la umeme litapungua sana katika muda wa wiki mbili lakini haya yamekuwa ni maneno tu huku wananchi wakiteseka sana. Umeme unakatika saa moja asubuhi na unarudi saa moja usiku...
  18. UMUGHAKA

    Hivi tatizo ni kukosa Elimu,Uelewa au Exposure?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Nimekuwa nikifuatilia mambo yanayoendelea kwenye hii nchi nabaki kushangaa tu kama mtalii! Ukiangalia hata mambo madogo tu ya mtu mmoja mmoja bado ni tatizo kubwa mno!,Hivi Tatizo ni nini? Nimekuwa nikipitia mitandao kadhaa ya kijamii na kuona namna...
  19. Mganguzi

    Jeshi la polisi linachangia timu zetu kukosa matokeo mazuri viwanjani ,polisi mnawasaidia wageni kutamba nyumbani

    Polisi wetu kila mahali wao wanaleta upolisi mimi huwa nachukia sana ! Timu zetu zinakwenda kucheza nje ya nchi ,zikifika zinakutana na balaa la mashabiki ,, kulipua mafataki wakati mechi inaendelea,moshi kujaa uwanjani,kuwasha miale ya kila rangi ,nk ,si fifa wala caf waliowahi kusema kufanya...
  20. UMUGHAKA

    Hivi ni Kukosa akili au ndo Utandawazi?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Hivi sasa kumeibuka wimbi la Vijana na wanaume kuvaa Chupi ambazo wao wanaziita "VINJUNGA" Hivi Vinjunga inapaswa uelewe mara zote zinakuwa hazizidiani sana na Boxer,yaani wewe fikiria mtu anavaa Kinjunga na anatembea bila wasiwasi mjini kote huko! Ni...
Back
Top Bottom