kitambulisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. eliakim xavery

    SoC04 Suluhisho la changamoto ya upatikanaji wa kitambulisho cha taifa

    Kitambulisho cha taifa(Nida) Ni moja ya kipande kinachomtambulisha mtanzania au raia wa taifa lolote. Hapa tanzania kumekuwa na changamoto kwenye upatikanaji wake, serikali katika hili ilichelewa kwani kuna watu wazima ambao wana wajukuu wengine wamezeeka hadi kufariki pasipokukipata hata...
  2. S

    Mamilioni ya Watanzania hawana kitambulisho cha Taifa

    Kitambulisho cha Uraia kwa kila Mtanzania ni kitambulisho kinachotakiwa kutolewa pale tu Mtanzania huyo anapozaliwa. Na uhakika gharama ya Kitambulisho hiki kinatakiwa kilipiwe na Serikali ,mabilioni wanayolipwa wabunge kwa faida zisizo wazi yangeweza kukatwa na kulipiwa gharama za kutayarisha...
  3. Uhumbwe

    Ni Zipi faida za Kitambulisho cha NIDA na Mkazi?

    Hebu tunaomba ufafanuzi kwani kuna tofauti gani kati ya NIDA na Kitambulisho za Mkazi?
  4. Suley2019

    CAG: Kitambulisho cha NIDA kiwe kigezo cha lazima kwa Wanafunzi wanaoomba mikopo

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu uweke mwongozo unaohitaji uwasilishaji wa NIDA kuwa ni lazima kwa Woambaji wote wa mikopo wenye umri wa zaidi ya miaka 18 na Waombaji walio chini ya umri wa...
  5. A

    DOKEZO Chuo cha DMI (Dar es Salaam Maritime institute) kuna sintofahamu kwenye malipo ya Kitambulisho cha Wanafunzi

    Chuo cha DMI (Dar es Salaam maritime institute) kuna changamoto wanafunzi tunapitia. Watu wanalipa ada na pesa ya usajili ambayo kwenye iyo pesa ya usajili wamechanganua kua kuna kupatiwa ID Larkin cha kushangaza tunalipa ada na pesa ya usajili kw wakati lakn hawatoi id mpaka tulipie bima ya...
  6. Roving Journalist

    NHIF: Tutaanza kutambua Wanachama wetu kwa Kitambulisho cha NIDA

    Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umebainisha kuwa umeanza utaratibu wa utambuzi wa wanachama wake kwa alama za vidole kupitia usajili wao wa kitambulisho cha Taifa (NIDA). Kauli hiyo imetolewa wakati wa kujibu hoja ya Mdau wa JamiiForums aliyedai baadhi ya Wafanyakazi wa NHIF waliopo...
  7. Influenza

    Wadau washauri kusiwe na Ada ya kupata Kitambulisho kipya cha Mpiga Kura iwapo cha awali kitafutika au kupotea

    JamiiForums , Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jukwaa la Katiba (JUKATA), Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Taasisi ya Twaweza na Centre for Strategic Litigation (CSL) wametoa maoni kwenye Miswada ya Sheria ya Uchaguzi na kushauri kusiwe na gharama za kupata Kitambulisho kipya...
  8. Msanii

    Faida ya kuwa Mtanzania ni ipi basi iwapo raia wataanza kuuziwa NIDA na Kitambulisho cha Kura?

    Muswada uliosomwa kwa mara ya Kwanza kuhusu sheria ya Uchaguzi umeelekeza wananchi kulipia Kadi ya Mpiga Kura endapo atataka kuihuisha tena. Hili suala halipo mbali na NIDA ambapo jambo la Kulipishwa wakati wa kukihuisha lipo. Nini maana ya kuwa Mtanzania endapo hadi kutambuliwa uwepo wake...
  9. A

    Nikiweka namba ya kitambulisho cha TASAF haikubali, nisaidieni

    Wadau kwa wale wanao appeal loan, pale kwenye kipengele kinachohusu udhamini wa TASAF, pale mimi niki weka namba ya kitambulisho cha tasaf haikubali, msaada plz
  10. BB_DANGOTE

    Msaada: Njia ya kufungua account ya forex bila ya kitambulisho cha mpiga kura

    Wakuu, nahitaji kufungua account ya forex ambayo nitakuwa na uwezo waku withdraw. Nina taarifa zote ila sina tu hicho kitambulisho, kwahiyo naomba mnipe njia kama ina wezekana na kwa wazoefu mnisaidie experience zenu katika biashara hii.
  11. BB_DANGOTE

    Hivi kwanini kitambulisho cha Mpiga Kura kinapatikana kwa siku moja lakini kitambulisho cha taifa kinapatikana baada ya miaka miwili?

    Ndugu wana JF hili ni swali nililojiuliza sana kwa muda mrefu. Kwa tathimini kwamba zaidi ya asilimia 60 taarifa za wananchi zanapatikana mtandaoni kwa kuwa siku za saivi asilimia kubwa ya watu wamesoma na kama wamesoma na kuhitimu unamaanisha taarifa zao zote zinapatikana kwenye mfumo wa...
  12. Replica

    Waziri Masauni: Mpaka kufikia 'March' mwakani wananchi wote mtakuwa mmepata kadi za NIDA

    Waziri wa mambo ya ndani, Hamadi Masauni amesema kabla ya kufikia mwezi wa tatu mwaka 2023 wananchi wote watakuwa wamepata kadi zao za NIDA na haitazidi hapo, Masauni kasema inaweza kuwa hata Disemba mwaka huu. Pia Masauni amesema wananchi ambao hawajapata vitambulisho lakini wana namba za...
  13. M

    SoC03 Tanzania: Katiba Mpya sio 'Tatizo', Viongozi wetu wanapatikanaje?!

    Miongoni mwa udhaifu mkubwa wa mfumo wa demokrasia ni nadharia yake ya 'wengi wape'. Nadharia maarufu ya utawala inayotaka kiongozi achaguliwe na kundi kubwa la watu bila kujali wasifu au uwezo wa watu hao kwenye kuchambua ubora wa kiongozi wanayemtaka. Viongozi wengi wanaofanikiwa kuingia...
  14. Gill Rugo

    SoC03 Akirudi mkoloni atukute na Kitambulisho cha Taifa

    Mfalme Leopold Philippe, nina uhakika yupo kuzimu, meza moja na Henry Morton Stanley. Wanapokaa, unaliona pembe la kushoto la shetani kiangavu zaidi. Najua watakua wanacheka. Ndio, kuna moto unawasubiri; lakini, kazi yao duniani inameremeta mpaka leo. Wanacheka kwa sababu kuna kijana atachomwa...
  15. R

    Kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani inatekelezeka? Kitambulisho kilichoisha muda kinaweza kuwa hai kwa amri ya Waziri?

    Nimemsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani na nimesoma sheria inayotoa vitambulisho vya NIDA sijaona sehemu ambayo Waziri ana mamlaka yaku-extend validity ya kitambulisho cha NIDA Bila kuprint kitambulisho kipya. Niombe wanasheria watusaidie legal gap endapo kitambulisho kilichomalizika muda wa...
  16. benzemah

    Serikali yaondoa ukomo wa Matumizi ya Vitambulisho vya Taifa

    Serikali imesikia kilio cha Wananchi na imetangaza rasmi kuondoa ukomo wa matumizi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA), vilivyomalizika muda wake baada ya kufanya mabadiliko ya kanuni za usajili na utambuzi wa watu. Hayo yamebainishwa leo Jumanne tarehe 21 Februari 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani...
  17. Elias K

    Nimekosa kibarua kisa kitambulisho cha Taifa. Ni Mwaka wa nne sijapata kitambulisho cha NIDA

    Wakuu Kama mmesoma threads zangu za nyuma, ni wazi kwamba napitia kipindi kigumu kimaisha. Sasa wiki hii Kuna kibarua nilipata hapa Arusha wakahitaji kadi ya nida na ya chanjo ya Corona, nikawapa ya Corona na namba ya NIDA, wakasema wanahitaji kadi kabisaa siyo namba! Nilijiandikisha tangu...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Uhamiaji tusaidieni kwanini passport haitumiki kama National Identification card katika baadhi ya ofisi nchini

    Nimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki? Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi hazitambui kama passport ya kusafiria ni kitambulisho. Wananiambia hicho hakitambuliki sisi hapa...
  19. Zombieboss

    Kwanini kitambulisho cha taifa kina muda wa kuisha matumizi

    Habari za muda huu wakubwa kwa wadogo. Hongereni kwa majukumu ya kila siku ya kujitafutia riziki. Niende moja kwa moja kwenye mada. Naomba kujua ni kwanini national identity card iwe na expire date,kuna taarifa ambayo itabadilika ama lengo ilikua nini? Pia soma; Serikali yaondoa ukomo wa...
Back
Top Bottom