Search results

  1. BabaMorgan

    Ukweli usemwe kuwa na machawa ni raha sana

    Kama mzigo upo basi kuwa na machawa ni jambo la muhimu sana. Vita yako ni yao kazi yako kubwa ni kuwaweka kwenye payroll kuhakikisha flow ya cash haikati.
  2. BabaMorgan

    Lexus gs300 bila usajili yard DSM ni Tsh ngapi?

    Kama una details za hii gari naomba abc zake hususani bei yake ikiwa Yard hapa bongo kuna mtu shimo limetema huko.
  3. BabaMorgan

    Mpaka leo bado sijafanikisha kupata Mwanamke mwajiriwa..

    Ndoto ni kuwa na Mwanamke Nesi, Mwalimu au Askari ikishindikana hapo basi mwaajiriwa katika sekta yoyote ile sometimes maisha hayakupi kile unachotaka huu mwaka wa sita toka nimekuwa na hiyo ndoto na still inabaki kuwa ndoto. Maana katika kipindi chote hicho wanawake niliokuwa nao wote ni...
  4. BabaMorgan

    Miongoni mwa waigizaji wachache waliofanya nipende Isidingo the need.

    Nikiwe Sibeko alivyokuwa anacheka huku anashangaa mi nilikuwa napenda balaa
  5. BabaMorgan

    Mbona wengi wanapenda kutuma salamu recently?

    Nini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea kwenye mic. Hivi sasa ile umezubaa tu mtu kashadaka mic nakuanza kutuma salamu watoto uoga wa...
  6. BabaMorgan

    Tatizo la kusahau kwa kijana

    Nini sababu na tiba ya kusahau hususani kwa kijana? Wakati nasoma nilikuwa bingwa wa kumeza hadi wahuni wangu wakawa wanastaajabu naweza vipi yaani definition hata iwe ni kurasa nzima basi nitaimeza yote bila ya kuacha neno hata moja. Recently nimekuwa mtu wa kusahau ndani ya huu mwaka...
  7. BabaMorgan

    Huyu jamaa ni Genius

    Kwa muziki wa bongo Diamond platinum anajua kucheza na mindset za watu ona sasa Sarah wa Kamwambie anavyotrend behind the scenes unaweza kuta ni tukio la kusadikika ila tayari watu washakuwa brainwashed.
  8. BabaMorgan

    Musa Hussein yuko wapi?

    Yuko wapi huyu mwamba alifanya jahazi kuwa kipindi kizuri sana ni muda sijapata kumsikia popote pale.. Je alikuwepo kwenye msiba wa G??
  9. BabaMorgan

    Kwa Bajeti ya Tsh. 50,000 napata wapi chumba standard Dar es Salaam?

    Kwa Bajeti ya Tanzania shilling elfu hamsini naweza kupata wapi chumba standard ambapo nitapanda gari moja mpaka mjini na kuweza kurudi night kali bila hofu ya vibaka. Natanguliza shukurani.
  10. BabaMorgan

    Kama kijana nawezaje kuishi kwenye misingi ya dini(mlokole)

    Kuna wakati unafika unatamani kuishi katika misingi ya imani lakini ujana ni kama unakwamisha. Changomoto kubwa ni vishawishi vya uzinzi na ulevi nawazaga sana vijana waliokoka wanawezaje kushindana na dhambi ya uzinzi na ulevi tena katika mji ambao wanawake wanavaa vimini na suruali za kubana...
  11. BabaMorgan

    Msaada Subwoofer kujizima kila mara nini tatizo?

    Wakuu nina subwoofer ndogo nimenunua haijamaliza mwezi ina tatizo la kujizima kila mara mfano umeweka flash unasikiliza mziki au upande wa radio itajizima kama vile umeme umekata lakini muda huohuo inawaka inabidi uanze tena kuweka upande wa radio au Bluetooth haipiti hata dk 2 inazima tena japo...
  12. BabaMorgan

    Kesho ni sikukuu?

    Aliyeko karibu na Mufti tusaidieni kumuuliza kama kesho ni sikukuu. Confirmed kesho ni Eid
  13. BabaMorgan

    Hizi mvua zinazoendelea sasa utazifurahia kama unaishi kwenye mitaa ya kishua

    Imagine unaishi Manzese, Buguruni, Luhanga, Mburahati, Tandika, Keko, Mbagala kwanza asilimia kubwa nyumba zinavuja miundombinu ya mitaa ni mibovu ongezea mifereji ya maji machafu inayotoa harufu watu wanatake opportunity ya mvua kuzibua vyoo very disgusting mitaa inatia kinyaa na hakuna...
  14. BabaMorgan

    Wadogo zangu wa kike hata kama nyumbani kwenu maisha ni magumu usikubali ndoa ya sogea tukae

    Mtu akitaka kuishi na wewe kanuni ni kutambulishana kwa wazazi wa pande zote mbili tena physically kama kwao ni mbali hakikisha mnaenda achana na biashara za kutambulishwa kwenye simu ama video call kama ni Kigoma pandeni Saratoga muende. Flat TV, sofa set, bedsofa, friji na sabufa zisifanye...
  15. BabaMorgan

    Kadri Mwanamke anavyokuwa mzuri ndio wasiwasi wa kuchapiwa unakuwa juu

    Possibility ya mwanamke mzuri kuliwa ipo juu kulinganisha na mwanamke wa kawaida au mbovu ni jambo ambalo liko wazi kabisa jaribu kufikiria mwanamke ambaye akipita sehemu kila mmoja anapiga salute kuwa chombo kimepita mpaka wanawake wenzake wanakubali kuwa mwenzao ni mzuri.. Sasa ukiwa na...
  16. BabaMorgan

    Naomba ushauri juu ya dawa za kuongeza mwili

    Kadri siku zinavyoenda wembamba wangu unazidi kunipa stress nilifikiri nikiwa mbaba nitaongezeka mwili ila imekuwa kinyume kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kupungua. kila nikikutana na mtu tunayefahamiana swali la kwanza kuniuliza mbona umekonda sana unaumwa? Kinachoniumiza siyo kukonda ni...
  17. BabaMorgan

    Asanteni wamiliki wa magari kwa kutii maagizo ya kubandua namba za 3D bila shuruti

    Hivyo ndivyo maagizo ya serikali yanapaswa kuheshimiwa bila ya kuanza kuhoji hoji serikali ina watu makini inapokataza kitu means imeona mbali haiwezi kukataza kitu chenye maslahi kwa Taifa. Sasa mkachukue plate namba nyingine ni elfu thelathini tu haipendezi kuona plate namba zina mabaka...
  18. BabaMorgan

    Design hii ya wanawake wanastahili kutorokwa kwenye bill

    Sometimes nakubaliana na baadhi ya wanaosema Mwanamke hapaswi kuonewa huruma kutokana na tabia zake za ubinafsi. Kuna mwanamke ameomba tukutane tusalimiane kwa mtazamo wangu ni kuwa amenimiss anahitaji kuniona tupeane salamu then kila mtu ataendelea na ratiba zake nikapigia pamba zangu kawaida...
  19. BabaMorgan

    Kama kazini kwako hawajali kuhusu wewe unapata wapi nguvu ya kujali kazi zao?

    Unapata kile unachotoa haiwezekani usambaze chuki utegemee return ya upendo. Kuna baadhi ya mabosi wanatreat wafanyakazi wao kama takataka kazi kubwa isiyolingana na mshahara, mazingira hatarishi bosi anachofocus nacho ni kazi yake nothing else. Unakutana na mfanyakazi anajituma kwa kufanya...
Back
Top Bottom