Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,541
- 1,080,268
😂 😂 😂 kuna jamaa mkewe kazaa mtoto wa kiume kaanza kwa kumshukuru mama Samia kwa uongozi bora
😂 😂 😂 kuna jamaa mkewe kazaa mtoto wa kiume kaanza kwa kumshukuru mama Samia kwa uongozi bora
Nadhani na sisi pia ni kiboko kwa Uchawa mchana na Uchawi usiku.Huyu bibie ni too much
Si sawa hata kidogoNi sawa lakini?
Bungeni ndio kisangaHuko bungeni Sasa.
Shule imejenga matundu mawili ya vyoo kwa gharama ya milioni Mia tano lkn utasikia MTU akisema, tunamshukuru Fulani kwa kutuletea hela na sisi si Haba tumefanya ubadhirifu wa kutosha.
Kidumu chama Cha majizi.
Njaa mingi mtaani..ukitoa sentensi mbili tatu za kusifia..unakula kiubwetereendo mambo wanayopenda,kabla hujafanya chochote kwanza mshukuru raisi
Inategemea uwezo wa kiakili alionao huyo Rais, kama ni rais mpumbavu na mjinga mjinga anaweza akawa sehemu ya kutengeneza mazingira ya kutaka kusifiwa na kila mtu au kutajwa tajwa kila mahali kila mara.Habari wanajukwaa.
Kumeibuka mtindo kila mtu anapopata nafasi ya kuongea kumsifia Rais hata kwa yale ambayo Rais hausiki wala hayajui.
Mfano Mrisho Ngasa alipoalikwa Kwenda Ivory Coast kama Legendary kipindi cha AFCON alipohojiwa alianza kumshukuru Rais Samia.
Binafsi yangu naona hii ni aina mpya ya Uchawa kwa Rais.
Mtoto wa Lowasa alifikia kusema bila ya Samia yawezekana Lowasa angekufa mapema, hii ni kama kumpa Samia mamlaka ya kimungu ilihali ni binadamu.
Swali langu kwenye wana Jamii Forum ni sawa kwa Rais kushukuriwa, kutajwa na kutukuzwa kwenye kila jambo?
Marais husifiwa ila kwa mama imekuwa too muchInategemea uwezo wa kiakili alionao huyo Rais, kama ni rais mpumbavu na mjinga mjinga anaweza akawa sehemu ya kutengeneza mazingira ya kutaka kusifiwa na kila mtu au kutajwa tajwa kila mahali kila mara.
Ni kwa sababu huyo mama anapenda kusifiwa. PeriodMarais husifiwa ila kwa mama imekuwa too much