utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jamii Opportunities

    Utumishi watangaza nafasi mbalimbali za kazi

    SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Kumb.Na.JA.9/259/01/A/539 24 Mei, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mamlaka za Serikali ya Mtaa (LGA's) anakaribisha maombi ya kazi kutoka...
  2. Mganguzi

    Tume ya maadili ya utumishi wa umma imeondoka na magufuli ?au Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake!

    Wakati wa magufuli watumishi wa umma walikuwa wanaitwa na tume ya maadili si tu kula kiapo Bali kuthibitisha mali wanazomiliki na upatikanaji wake ! Rais magufuli alikuwa mstari wa mbele kwa kujitokeza hadharani na kwenda tume kuhojiwa na kuweka wazi mali zake na upatikanaji wake ! Baada ya...
  3. mfate42

    MSAADA: Afisa Utumishi amegoma kusitisha makato yangu hata baada ya kuwasilisha barua ya kusimamisha makato hayo kutoka benki

    Miaka miwil iliyopita nilienda kukopa benki fulani hapa Tanzania, na wakatuma deni kwa Afisa Utumishi na deni lilikuwa ni 12M, kilichotokea Afisa utumishi akakosea akaandika bilioni 1.2! Cha ajabu baada ya kumaliza mkopo benki ikanipa stop deduction nimpelekee afisa utumishi ili aondoe deni...
  4. S

    SoC04 Utumishi kwenye Kata na Tanzania tuitakayo

    Imekua ni dhana iliyoko kwenye vichwa vya watu wengi hasa watumishi, wapya na wengine wazoefu kuwa kufanya kazi kwenye kata ni jambo gumu sana kuweza kulitekeleza, na hiyo inathibitika kutokana na hali ilivyo katika kata nyingi nchini Tanzania. Watumishi wengi wanaofanya shughuli zao kwenye kata...
  5. Bravo247

    Kilichofanyika jana katika usaili wa tume ya utumishi wa umma ni ubadhilifu

    Jana zimefanyika interview mbalimbali nchini kwa kada tofauti kwa njia ya mtandao. Lakini mtandao ulisumbua, kuna watu hawakusubmit kazi zao wakaambiwa na wasimamizi kuwa kazi zao ziko ziko submitted. Kuna watu walisubmit zikafail wakalog in wakapata muda wa kulog in wakakuta katika maswali 50...
  6. Brightly

    Je? Nikifaulu oral interview utumishi naweza kubaki database?

    Habari wanajf, kuna suala ambalo linanitatiza naomba wenye uelewa wanisaidie!! Iko Hivi Mimi nina Diploma ya Civil engineering (Civil technician) nikafanya Oral interview ya ( VOCATIONAL TEACHER II PLUMBING AND PIPE FITTINGS) ambayo ilihitaji mtu mwenye diploma ya civil nikafaulu ila kutokana...
  7. F

    Usaili wa Afisa utumishi daraja la pili

    Jamani nisaidieni, nini cha kuzingatia kwenye interview ya Afisa utumishi?
  8. J

    Online inteview za utumishi

    Wakubwa habari za majukumu samahani kwa walio fanya interview Za utumishi hivi karibuni setting yao inakuaje kwa intervier za online au maswali yao yanakua katika mfumo gani?
  9. M

    Ukiitwa interview Utumishi na umepoteza original ya cheti kimoja unapaswa kufanyaje?

    Habari wadau, nilikuwa nahitaji kufahamu.. Ikiwa umeitwa kwenye interview ya written Utumishi, na cheti cha kuzaliwa kimepotea ila una copy yake iliyokua certified na mwanasheria. Je, napaswa nifanye nini?
  10. D

    Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

    Habari wadau! Naomba kujua mchakato wa kupata kibali cha uhamisho kwa Mtumishi aliyepata Barua ya Ajira kwenda Taasisi au wizara Nyingine kupitia Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS). NB: Mtumishi huyu alifuata taratibu zote zinazotakiwa wakati wakati wote wa kuomba nafasi hiyo...
  11. C

    Kwanini Utumishi wa Umma na Utawala hawasemi tatizo linalozuia vibali vya Uhamisho vya baadhi ya watumishi hata kama mwajili amesharidhia?

    Wizara hii imekuwa ni kero kubwa sana kwa Watumishi wa Umma hasa wanaofatilia vibali vyao vya uhamisho wakiwemo wale wa kutoka Taasisi mbalimbali kwenda TRA, imekua ni kasumba ya wahudumu wa ofisi ile kujibu mbovu watumishi hawa hasa wanapofika wizarani. Mfano mtu anatokea Geita, Katavi au...
  12. Lady Whistledown

    Mbunge Francis Mtinga: Watendaji wa Kata Waajiriwe na TAMISEMI, sio Utumishi

    Akuzungumza Bungeni, Mbunge wa Jimbo la Iramba Mashariki, Francis Mtinga amesema Utaratibu wa Utumishi kuajiri Watumishi Kada ya Mtendaji wa Kata umesababisha ufanisi umekuwa mdogo Ameshauri badala ya Watumishi wa Kada za Utendaji wa Kata kupangiwa kazi na Utumishi, ajira hizo zirejeshwe...
  13. Crocodiletooth

    Uzalendo na utumishi waliokuwa nao akina Sokoine, Warioba haupo tena, waliopo ni wote ni wezi tu wenye wivu

    Watanzania wa leo kwa asilimia 99%, ni wezi tu, uzalendo na utumishi kwa ajili ya umma wa watanzania haupo tena, kwa leo hii usione mtu anapigia kelele mwenzake au kiongozi fulani ni mwizi ukazani huyo ni mzalendo, sivyo kabisa, huyo anapiga kelele kwa kukosa uteuzi ili yeye yale ya wizi...
  14. peno hasegawa

    DOKEZO Kaimu Afisa utumishi Halmashauri ya wilaya ya Mwanga ameshindwa kusimamia maslahi ya watumishi

    Watumishi wa umma Kwa umoja wenu ninawasalimu na kuwaomba msome ujumbe huu,wenye kilio cha Afisa utumishi Halmashauri ya Mwanga. Mh Waziri uliyeaminiwa na Mh Rais Samia suluhu Hassani, tunakuomba , ufahamu, kumtambua na kumuondoa huyu kaimu Afisa utumishi wa hiyo Halmashauri. Suala la haki...
  15. engineerafrican

    Maoni yangu kwa utumishi (Secretariat ya ajira) especially kwa kujiongeza kufanya usaili wa ajira online

    Awali ya yote ningependa kuipongeza Secretariat ya ajira kwa hatua nzuri waliofikia ya kufanya interview online, ni kweli mfumo itakiwa na manufaa sana kwa kupunguza gharama za uendeshaji usaili kwa pande Zote mbili. Msailiwa na msaili.. kwa hlo naipongeza ssrekali kwa hapo walipo fikia, Ila...
  16. Mwizukulu mgikuru

    Interview kufanyika online utumishi hiki ni kiini macho kingine kwa watoto wa wakulima

    Sektretarieti ya ajira na utumishi wa umma, leo wametangaza kuanza mchakato wa kufanya usahili kwa njia ya mtandao (online interview) hiki ni kipigo kingine kwa watoto wa wakulima wasiokuwa na mjomba, shangazi, au baba wa kuwashika mkono..
  17. Ofsaa

    Nini kitatokea usipochukua Barua ya Kazi Utumishi?

    Habari wana Jukwaa nina maswali kadhaa ambayo nimekutana nayo kwa watu wa karibu nikaona niwashirikishe kupata mawazo yenu. 1. Hivi ukiitwa kuchukua barua ya kupangiwa kituo cha kazi na usipoenda kuchukua, zikitokea kazi nyingine unaweza kuomba au unazuiwa kuomba tena kazi Utumishi? 2. Ukiitwa...
  18. Pascal Mayalla

    Tribute to Dr. Geoffrey Mkamilo, Kipenzi cha Wanahabari, Umefanya Makubwa TARI, Tanzania na Watanzania!, Asante kwa Utumishi Uliotukuka!.

    Wanabodi 23/5/2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI). Dr Mkamilo alikuwa Kipenzi cha wanaabari...
  19. B

    Ridhiwani Kikwete: Mifumo mitatu mipya ya utumishi itakavyosaidia kupima utendaji wa watumishi na kusaidia wananchi

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji kazi wa mtumishi yeyote aliyepangiwa majukumu na kuona kiwango cha utekelezaji wa majukumu yake...
  20. Professorheist

    Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa Mfumo wa Uhamisho ESS?

    Habari, Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa kutumia huu mfumo? Aje atupe ushuhuda kidogo. Huu mfumo bado ni changamoto.
Back
Top Bottom