uhamisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dimah _Denis

    Nawezaje kuchukua uhamisho wa mtoto wa Kidato cha Tano?

    Wakuu nilikuwa naomba kusaidiwa kwa wale wenye uzoefu. Wote tunafahamu kuwa selection za kidato Cha tano zimetoka; ila nilikuwa nataka kuichukua uhamisho kwa mwanangu. Kila nikimpigia Mkuu wa Shule nyingine anasema mpaka waripoti ndo wajue utaratibu. Shule ina HKL ila yeye anataka yeyote...
  2. R

    Kila anayefanya vibaya serikalini uhamishwa na kulipwa gharama za Uhamisho zisizopungua milioni kumi kwa mtumishi mwandamizi na 25M kwa wakuu wa Idara

    Only in Tanzania ndipo kufanya kazi kituoni muda mrefu ni kigezo cha kushuka ufanisi. Tanzania Uhamisho wa watendaji ni maamuzi ya kila mtu. Hakuna sera inayoongoza taratibu za uhamisho. Leo kwa kauli za wakuu wetu mganga mbobezi anaweza kuhamishwa kituo kisa amekaa muda mrefu; wakuu wa Idara...
  3. Bushmamy

    Kilimanjaro: Walimu wauza Rasilimali zao kupata pesa za uhamisho

    Walimu zaidi ya 50 kutoka Katika shule za msingi zipatazo 46 katika Tarafa mbali mbali wilayani Rombo,mkoani Kilimanjaro wamelazimika kuuza Rasilimali zao kama vile mbuzi,kuku na baadhi ya vitu vya ndani na wengine kuingia kwenye mikopo ili kuweza kupata pesa Kwa ajili ya kujihamisha wao...
  4. S

    Uhamisho kwenye mfumo wa EES kwa watumishi wa umma

    Wadau nimeshafanya uhamisho huu online, status inasoma ALLOWED, kwa waliowahi kufanya uhamisho huu nini kinafuatia baada ya hapo natanguliza shukrani.
  5. CHANGER

    Uhamisho kwa njia ya mfumo wa ess

    Habari Wadau, Mwenye uelewa juu ya kuomba maombi ya Moja kwa Moja kwenye mfumo naomba ufafanuzi. kati ya vacancy request na transfer request kipi kinatangulia? Je kutokujaza vacancy request inaweza ikapelekea maombi yako kukataliwa au kuandikiwa "vacancy not badgeted"?
  6. C

    Kwanini Utumishi wa Umma na Utawala hawasemi tatizo linalozuia vibali vya Uhamisho vya baadhi ya watumishi hata kama mwajili amesharidhia?

    Wizara hii imekuwa ni kero kubwa sana kwa Watumishi wa Umma hasa wanaofatilia vibali vyao vya uhamisho wakiwemo wale wa kutoka Taasisi mbalimbali kwenda TRA, imekua ni kasumba ya wahudumu wa ofisi ile kujibu mbovu watumishi hawa hasa wanapofika wizarani. Mfano mtu anatokea Geita, Katavi au...
  7. M

    Kuna haja gani kwa Watumishi kuomba uhamisho kutumia mfumo ikiwa...

    Utumishi kupitia Tamisemi walianzisha mfumo rasmi kwa watumishi kuweza kuomba uhamisho kupitia online (ESS), lengo likiwa ni kuzuia urasimu unaofanywa na baadhi ya watendaji wasio waadilifu. Japo ni jambo jema lakini kwa sasa ni kama changamoto imekuwa kubwa kuliko awali kwa wale wanaoomba...
  8. E

    Tueleweshane kuhusu uhamisho ESS

    Naomba tujuzane kuhusu UHAMISHO status ina soma kama ambavyo mishale inavyoonyesha ni miezi saba sasa mwenye ufafanuzi juu ya hili. Vipi pia kuhusu wewe uliyeomba transfer status yako ikoje kwenye mfumo huu, au kama kuna mtu amefanikiwa kuhama kupitia mfumo atupe uzoefu kidogo juu ya status hizi.
  9. Greatest Of All Time

    Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)

    Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo. Pamoja na masuala...
  10. BigTall

    Mfumo wa Mtandao kuomba uhamisho Serikalini ni tatizo, unatakiwa kuboreshwa

    Kuna changamoto ya Mfumo wa Employee Self Service (ESS), Watumishi wa Serikali tunateseka. Nimeanza kutumia Mfumo kwa ajili ya kuomba Uhamisho wa kuhama kutoka ‘Taasisi A’ kwenda ‘Taasisi B’ kwa takribani miezi sita sasa tangu kuanza kwa Mfumo huo rasmi bila ya mafanikio huku nikikumbana na...
  11. K

    Viambatanisho katika mfumo wa uhamisho (ess.utumishi.go.tz)

    Habari za Jumapili ndugu zangu wanajamii na wenzangu, Ninaomba kufahamu taratibu za kuomba uhamisho (transfer) kutoka Taasisi X kwenda Taasisi Y kupitia mfumo wa Utumishi (e-Utumishi). Je, kuna viambatanisho ambavyo vinahitajika kuambatanishwa na maombi? Na ikiwa ndivyo, ni viambatanisho gani...
  12. S

    Chiza Marando, Mkurugenzi Halmashauri ya Tunduru na PS wako toeni barua za uhamisho za watumishi, kwanini mnazificha?

    Ndg Chiza siyo Chizi Marando na PS wako aitwaye Prisca Nyoni mmekuwa na tabia za watumishi hasa zinazohusu uhamisho, mnakaa nazo hata zaidi ya miezi 6, kwanini? Mnajua sababu kwanini mtumishi husika aliomba uhamisho? Kwanini mna roho za kikatili hivyo? Je huo ndio mwongozo wa kazi zako...
  13. Kiboko ya Jiwe

    Njooni tujadili zinakokwenda fedha za umma

    Maskini Watanzania walipa kodi nawaonea huruma mno. Simlsumu Rais Samia bali naulamu mfumo wetu wa kutawala. Leo tumeona notice ya wateuliwa wapya na wengine wengi wamepata uhamisho kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine, wengine kutoka wilaya moja kwenda wilaya nyingine. Hapo fedha...
  14. F

    Mrejesho kuhusu shule ya EM iliyogoma kutoa uhamisho wa mwanangu anayetakiwa kufanya mtihani wa std 4: Asanteni sana wanaJF kwa msaada wenu

    Habari zenu wana Jf mwezi ulio pita nilianzisha Uzi hapa kuhusu namna ambavyo shule moja ya EM ya huko Mwanza ambao waligoma kutoa uhamisho kwa kijana wangu wa darasa la nne jambo ambalo lingeleta ugumu kwa kijana wangu huyo kuandika mitihani yake ya darasa la nne. Nashukuru sana kwa wana Jf...
  15. Kilunguru

    Feedback kwenye mfumo wa ESS

    Huu mfumo ni mzuri sana, Ila sjajua feedback ya huduma tulizoziomba tunazipataje na kwa muda gani, kwa anayejua au alishawahi pewa feedback atupe elimu kidogo.
  16. Professorheist

    Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa Mfumo wa Uhamisho ESS?

    Habari, Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa kutumia huu mfumo? Aje atupe ushuhuda kidogo. Huu mfumo bado ni changamoto.
  17. Niwaheri

    TAMISEMI na tabia ya kukwamisha uhamisho wa Watumishi

    Jamani mkwe wa samia emu fanya makeke kama uliyofanya kule utumishi,tamisemi wanazingua sana,imagine maombi ya uhamisho tena wa kubadilishana wamepokea toka juni sasa wanachakata nini mda wote huo? Mmekaa ofisini mnazungusha matako hamjui shida zetu sio?
  18. R

    Makonda na Nchimbi wapendekeza wakuu wa wilaya, mikoa, RAS na DED; utenguzi, uhamisho na utenguzi kufanyika hivi karibuni

    Kila kiongozi anayeingia ofisini kwenye chama jambo la kwanza ni kupendekeza kutengua na kuteua. Tayari wawili hawa wamewasilisha majina ya watu wanaotamani wapewe nafasi waonje keki ya Taifa. Kufuatia utamaduni huu wa kila mtu kumpa shavu rafiki yake, nawajulisha wakuu wa mikoa, wilaya...
  19. C

    Pole sana Mwamposa baada ya kulikoroga Tanganyika packers na kukataliwa na Feza School ulipoambiwa uhamie jirani nao

    Tulikuonya kuwa acha dharau kutokana na utajiri wako wa kuwahadaa kimapumbazo waumini wako na kamwe usiwaamini hao viongozi waandamizi watatu wa serikalini wanaokupa jeuri kwani kuna siku utageukwa na hutoamini hukutaka kutusikiliza Mwamposa najua unaficha sana hii taarifa ili isienee wala...
  20. M

    Msaada: Uhamisho kwa watumishi wa umma

    Wakuu, habarini, Naomba kupata elimu kidogo naamini humu wataalamu wapo. Je, mtumishi wa umma aliyepewa ruhusa ya kwenda masomoni (mafunzo ya muda mfupi yasiyo zidi mwaka) anaweza kuomba uhamisho kwenda taasisi nyingine ya umma na akahamishwa kwa kipindi ambacho yupo masomoni? Tafadhali...
Back
Top Bottom