ofisi

  1. encyclopaedia Tanzaree

    Leseni mbili za biashara kwenye ofisi moja

    Habari wakuu, kutokana na hali ya biashara kuwa ngumu imetulazimu baadhi ya wafanyabiashara kufanya biashara zaidi ya moja kwenye jengo moja ili kuongeza kipato na kupunguza gharama za uendeshaji. Jambo hili linatuweka matatani baadhi yetu kwa kugombana sana na watu wa leseni wakidai kwamba...
  2. Patriot

    Mhe. Rais uliyoyaona Morogoro Manispaa yako Ofisi zote za Serikali

    Maafisa wa manispaa ya Morogoro wamejimilikisha ’vizimba’ na kupangisha upya kwa gharama ya juu! Kwa ujumla kilichotokea Morogoro ni matumizi mabaya ya ofisi ambayo ktk serikali, yako kila sehemu. 1. Ukiwa Afisa Ardhi, unapima viwanja na kujimilikisha viwanja vingi ili uwauzie wengine. 2...
  3. J

    Rais Magufuli anaweka jiwe la msingi ujenzi ofisi ya halmashauri ya Malunga Kahama - Shinyanga!

    Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV. Up dates; Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya. Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka. Maendeleo hayana vyama!
  4. Stroke

    Wanaoning'iniza vitambulisho vya kazi nje ya ofisi zao huwa wanamaanisha nini?

    Huwa nashindwa kuwaelewa jamaa ambao huwa wanatoka mazingira ya ofisi zao wakiwa bado wamening'iniza vitambulisho vyao. Yaani utawakuta mtaani wanatembea navyo hata huko migahawani bado wanavyo tu. Huwa inakua ni mikwara tu. Au ni Usongo baada ya kusota mtaani Bila ajira kwa muda mrefu Ama...
  5. Ta Muganyizi

    Mtandao - Jini linalosumbua ofisi za Serikali Tanzania, TANESCO hawakosi

    Habari Wadau. Imenibidi niseme tena maana najua imeshasemwa sehemu kibao. Kwa serikali yetu hii ilivyo kasi katika kutuletea maendeleo naona suala la mtandao wa internet limekuwa tatizo kubwa hata katika awamu hii. Mfano unaenda TANESCO kujaza fomu ili uwekewe umeme lakini inamaliza hadi wiki...
  6. S

    Tahadhari dhidi ya corona: Tigo waanza kuchukua hatua, ukiingia katika ofisi zao unapimwa joto mlangoni

    Naona Watanzania wameamka na kuanza kuchukua tahadhari ambapo uvaaji wa barakoa sasa umeanza kurudi mitaani. Kwa upande wa kampumi ya simu za mkononi ya Tigo, wao wameenda mbali zaidi ambapo ukitaka kuingia katika ofisi zao, unapimwa kwanza joto mlangoni na askari kabla ya kuruhusiwa kuingia...
  7. M

    IGP Sirro, mulika Ofisi ya OCD Musoma

    Kiongozi Wangu IGP Nyankoro Sirro, kuna malalamiko ambayo yamekuwepo miongoni mwa jamii za wavuvi katika wilaya ya Musoma Vijijini wakituhumu POLISI wako kuhusu masuala ya rushwa na uonevu. Wananchi wengi wa Musoma Vijijini wanategemea Shughuli za uvuvi ndani ya Ziwa Victoria kuendesha maisha...
  8. Albedo

    Nini hatima ya Ofisi ya Spika iliyojengwa Urambo?

    Kipindi cha Uspika wake ndugu Samwel John Sitta alijenga Ofisi ya Spika Jimboni Mwake Urambo ( Sijui huyu alikuwa anawaza nini) 1. Je Haukuwa Ubadhirifu wa Mali ya Uma ukizingatia sasa hivi ile ofisi haitumiki? 2. Je itakuwa ni Busara kwamba Bunge liweke kigezo cha Kuwa Mbunge wa Urambo kama...
  9. Chagu wa Malunde

    Kwa makusanyo yaliyopatikana kupitia ofisi ya DPP ni dhahiri Wapinzani muache kupinga kila jambo

    Wanabodi hapa JF ninyi ni mashahidi jinsi wapinzani Tanzania walivyopinga utaratibu wa kisheria wa mtuhumiwa wa baadhi ya makosa ya jinai hasa uhujumu uchumi kuingia mkataba na DPP ili kukiri kisha kulipa na kurejesha walichokuwa wamewaponza watanzania. Utaratibu huu ulipata baraka za Bunge la...
  10. pingli-nywee

    State of the highest office; The Office of The President

    In my opinion, must be a true reflection of the state of the nation and in extension its policies and aspirations. Unlike staged colourful speeches, chest-beating declarations and rehearsed public appearances. Just the raw image of a leader(or any man/woman), at his element, in his official...
  11. Guus

    Ujenzi wa Ofisi za Serikali: Nazo tuchangishane!!!

    Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma (Dodoma Mjini kabisa). Jioni moja nikachanganya makongoro kwenda kumsabahi rafiki wa muda mrefu mitaa fulani anayoishi, panafahamika kama Iringa Road. Muda wa kutoka, tutoke na jamaa, shemeji akamkumbusha kuhusu tangazo lililotolewa la uwepo wa mkutano wa mtaa...
  12. Erythrocyte

    Uteuzi: Diwani wa Kata ya Mbagala, Michael Makwega ateua wasaidizi watatu kushika nyadhifa kwenye ofisi yake

    Hii ndio awamu ya sasa nchini Tanzania ambapo kila kiongozi anayo mamlaka ya Uteuzi kwenye eneo lake, kama ambavyo Mh Diwani amefanya. Bado haijafahamika kama wateule hawa wataapishwa lini ili waanze kulitumikia rasmi Taifa.
  13. Black Thought

    Ni sababu ipi hupelekea watu kujenga bila ramani au kwa ramani za kukopi kutoka kwa watu wengine?

    Habarini wakuu. Hivi ni kwanini watu hujenga kwa ramani za kufikirika tu zisizokuwa na mpangilio wa kitaalamu. Yaani umejibana kukusanya milioni zako flani, unamtafuta fundi na kumtajia idadi ya vyumba tu ajenge au unampa mfano wa ramani uliyoipata kwenye mtandao. Hebu fikiria umetumia milioni...
  14. M

    TRA yadaiwa kuvamia Waturuki na kufunga Ofisi jioni ya Leo (Desemba 14, 2020)

    Jioni ya leo, TRA imevamia na kufunga ofisi moja ambayo ilikuwa bado haijaanza kufanya kazi wakidai kodi. Hii ni kampuni ya Waturuki inayohusika na kutengeneza tiles za majengo. Mashine zililetwa lakini kwa bahati mbaya jamaa walishindwa kuanza kufanya kazi kutokana na mtaji kutokutosha...
  15. S

    Mpaka leo Serikali bado haijakamilisha kuhamishia Ofisi zake Dodoma (Makao Makuu ya Serikali)

    Ukiangalia mpango mzima wa Serikali kuhamia Dodoma mpaka mwaka huu wa 2020 ukiwa unaenda ukingoni kuna taasisi nyingi za Umma bado zinaendesha shughuli zake zikiwa nje ya makao ya serikali wengi wao wakiwa Dar es Salaam wakati mkuu wa nchi tayari yeye alishafuta makazi yake ya Dar es Salaam ...
  16. Erythrocyte

    Hamis Kigwangwala akabidhi ofisi kwa Waziri Mpya

    Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii Mh Hamisi Kigwangalla amekamilisha mchakato wa kukabidhi ofisi kwa Waziri mpya Dkt. Damas Ndumbaro. Mchango wa wadau
  17. Infantry Soldier

    NEW CABINET 2020: Ninaomba iwe desturi kwa Waziri wa Utalii kuakisi shughuli za ofisi yake kwa mavazi anapokuwa anakula kiapo cha utii kwa Jamhuri

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Ninaomba sasa iwe desturi kwa Waziri wa Maliasili na Utalii kuakisi shughuli za ofisi yake kwa mavazi ya asili anapokuwa anakula kiapo cha utii kwa Jamuhuri. Waziri wa zamani wa utalii (Dr. Khamis...
  18. GENTAMYCINE

    Je, hii 'Leadership Style' / 'Management Style' ya Rais Dk. Magufuli 'ikihamia' katika Ofisi nyingi hakutakuwa na 'Ufanisi' mkubwa?

    1. Kutoonyesha anampenda sana fulani 2. Kutopenda Makundi baina ya wale aliowateua 3. Kutopenda Kutabirika na Wanaomzunguka 4. Kutopenda Kusomeka kwa haraka na Wateule wake 5. Kufuatilia Nyendo za Wateule wake ili kama ni mbaya anawaonda upesi 6. Kumchana Mtu waziwazi hata kama ni Rafiki yako /...
  19. Erythrocyte

    CHADEMA Makambako waanza ujenzi wa ofisi ya Jimbo

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka huko Makambako, hii ni baada ya shughuli za kilichoitwa Uchaguzi mkuu kumalizika, ambapo wanachama na viongozi wa CHADEMA wa Jimbo hilo wameanza rasmi kuimarisha chama chao.
  20. Infantry Soldier

    Hata kama mteja ni mfalme (Customer Caring), Watanzania ni lazima tujifunze kuwa wastaarabu pindi tuendapo kupata huduma katika ofisi za watu wengine

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Hata kama mteja ni mfalme (Customer Caring), watanzania ni lazima tujifunze kuwa wastaarabu pindi tuendapo kupata huduma katika ofisi za watu wengine. Hata kama wewe ni mfalme na una stress zako za kifamilia ndio...
Back
Top Bottom