mkaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Ripoti ya mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali kuhusu ukaguzi wa Mashirika ya Umma kwa mwaka wa Fedha 2022/23

    Ripoti hii ya mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha 2022/23 imetolewa kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura 418. Ripoti hii imeangazia matokeo ya ukaguzi na mapendekezo ya hatua stahiki za...
  2. JF Toons

    Je, huwa unafuatilia uwasilishwaji wa Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)?

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hufanya ukaguzi wa matumizi ya fedha za umma ili kuthibitisha matumizi yamefanywa kwa mujibu wa sheria na kanuni husika na kuna uwazi katika matumizi ya fedha hizo. Ufuatiliaji wa uwasilishwaji wa ripoti hizi ni muhimu kwa wananchi ili...
  3. GENTAMYCINE

    Leo nimepekuapekua Video Clips za Hayati Magufuli nikakutana na ile ya Yule Mkaguzi wa Gereza la Butimba aliyechafua Hali ya Hewa

    Alimwambia Hayati Magufuli kuwa anamshukuru yule Mfungwa Albino Kumsemea/ Kumchongea kwake ( akiwa Rais wa JMT) kwani KUMEMUINUA MNO Kiumaarufu na Kiutendaji. Yaani nimejikuta NACHEKA sana hasa Uso wake ulivyokuwa Mkavu, Sura Ngumu huku akiomba Msamaha kama Mtoto Mdogo zilizokuwa zikisindikizwa...
  4. Roving Journalist

    Mkaguzi Kata: Mkiwapa Elimu watoto mtatengeneza Jamii isiyo na uhalifu

    Mkaguzi kata Mkiwapa Elimu watoto mtatengeneza Jamii Isiyo na uhalifu, atoa madaftari kwa Salim. Mkaguzi Kata ya Kerege, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Suleiman Ameir amewataka wazazi wa kata hiyo iliyopo Wilaya ya Korogwe Mkoa wa Tanga Kuhakikisha watoto wanapata elimu ambayo itawakomboa kifikra...
  5. K

    Majadiliano ya ripoti ya mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali bungeni

    Nimemsikiliza sana kwa maakini taarifa ya Mhe. Mpina kuhusu ubadhirifu uliofanywa na Mhe. Mwigulu - Waziri wa Fedha, Mhe. Prof. Mbarawa aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na sasa Waziri wa Uchukuzi, na Meneja Mkuu wa TRC Ndugu Kadogosa kwa ubadhirifu mkubwa walioufanya kwenye Mradi wa SGR. Kama yale...
  6. Suley2019

    Baraza la Mawaziri lapitisha Muswada wa kuimarisha uhuru na uwazi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu

    Baraza la Mawaziri limeidhinisha Muswada wa Marekebisho ya Ukaguzi wa Umma 2023, hatua inayolenga kuimarisha uhuru na uwazi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu. Rais William Ruto alitoa tangazo hili wakati wa hotuba yake katika tukio la Siku ya Kodi ya Mamlaka ya Mapato ya Kenya, akifichua...
  7. Suley2019

    Mdhibiti wa hesabu za Serikali: Serikali inatumia Bilioni 3.16 za Kenya kulipa madeni kila siku

    "Ripoti kutoka Afisi ya Msimamizi wa Bajeti inaonyesha taswira yenye kiza kutokana na takwimu zinaonesha kuwa asilimia 83 kubwa ya mapato yote yaliyokusanywa na serikali yametumika kwa malipo ya deni. Msimamizi wa Bajeti, Bi. Margaret Nyakango, ambaye alijitokeza mbele ya Kamati ya Bajeti na...
  8. Suley2019

    Mkaguzi Mkuu wa Serikali afichua wizi wa Mabilioni unavyofanywa na Kampuni za maji

    Ripoti iliyotolewa na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Kenya imefunua ufisadi mkubwa, udanganyifu, na utendaji mbovu katika kampuni za maji na usafi unaofanyika katika mikoa mbalimbali. Ripoti hiyo imebaini kwamba licha ya kuwa ni jukumu la ugatuzi, kampuni za maji na usafi katika mikoa mingi...
  9. comte

    Chadema jibuni hizi hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Raia (MMKR)

    Mwaka 2015 mhesmiwa Mbowe ilichukua na kufufua magari matatu chakavu na spika tatu chakavu kutoka vyomba vya muziki vilivyokuwa vinamilikiwa na Birricana Club na kuvigeuza kuwa PA kwa thamani ya shs 100,000,000/= akifanya jumla ya shs 300,000,000/=. PA hizi alizitumia kwenye kamepeni jimboni...
  10. E

    Siyo sahihi Waziri Mkuu kumkemea Mkaguzi wa Ndani MSD

    Yawezekana mimi ambaye sijawahi kupitia chuo cha uongozi "Uongozi Institute" sijui namna bora ya kuongoza lakini kwa busara tu za kawaida siyo sahihi kabisa kwa waziri mkuu kumkaripia mkaguzi wa ndani wa MSD. Ilitakiwa waziri mkuu kuonyesha ukali kwa waziri wa afya, na kuhoji haya yanatendeka...
  11. Roving Journalist

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2020/21

    Charles Kichere (CAG) Hii ndiyo ripoti kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kwa Mwaka wa Fedha 2020/21, imewekwa hadharani Jumanne Aprili 12, 2022. Baadhi ya mambo yaliyoguswa: Mashirika ya Umma kutopeleka michango Sh bilioni 129.33 Mashirika ya umma...
  12. Jamii Opportunities

    Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Chama Kikuu cha Ushirika Kagera (1990) Ltd (Nafasi 1)

    Chama Kikuu cha Ushirika Kagera (1990) Ltd kinaundwa na vyama vya msingi 134 kutoka katika wilaya tatu za Muleba, Bukoba na Misenyi. KCU (1990) LTD yenye makao makuu katika manispaa ya Bukoba, inaendesha shughuli zake chini ya Sheria ya Ushirika namba 6 ya mwaka 2013, Ili kutekeleza kwa ufanisi...
  13. Roving Journalist

    Ileje, Songwe: Hoja 38 za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) tangu 2009 bado hazijajibiwa

    ILEJE: Hoja 38 za tangu 2009 bado hazijajibiwa RC Mgumba ageuka mbogo kwa Baraza la Madiwani. SONGWE: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Omary Mgumba amegeuka mbogo kwenye Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Ileje baada ya taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali CAG kuonyesha...
  14. S

    ACT–Wazalendo waichambua Ripoti ya CAG - Aprili 11, 2021

    Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya ACT-Wazalendo UDSM ambapo wamearifu uchambuzi huo utaanza saa sita kamili mchana wa leo. =============== ZITTO AMSHAURI RAIS SAMIA KUUNDA TUME YA MAJAJI KUCHUNGUZA KESI ZILIZOLIPWA KWA DPP Kuanzia mwaka 2017 kumekuwa na kawaida ya watu wanaokamatwa na...
Back
Top Bottom